Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4652 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHUNGU YA SERIKALI TATU HAYA HAPA...

Vuai Ali Vuai.Mapendekezo ya mfumo wa serikali tatu katika Rasimu ya Pili ya Katiba yanayoendana na kupunguza mambo ya Muungano, yameanza kutafsiriwa kwa kuangalia athari ya moja kwa moja itakayokumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI LIUNDI, MBUNGE HASHIM SAGGAF WAFARIKI DUNIA...

KUSHOTO: Mbunge wa zamani, Hashim Saggaf. KULIA: Jaji George Liundi.Aliyekuwa Msajili wa Kwanza wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji George Liundi amefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa kesho kutwa, katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAUMINI WA KIISLAMU WATAKIWA KUTOLALAMIKIA WAKRISTO...

Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakifuatilia ibada.Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake watumie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI ATAMANI ZIWEPO TANESCO NYINGINE NYINGI...

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, ameelezea kukerwa na Shirika la Umeme (Tanesco), kwa kushindwa kufikisha umeme vijijini na kusababisha miradi ya maji kusuasua.“Tungekuwa na mashirika mengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA YAKUBALI KUIPANGA UPYA LINDI, MTWARA KUWA YA KISASA...

Moja ya mitaa katikati ya mji wa Mtwara.Uchumi wa gesi unaotarajiwa kuinua maisha ya Watanzania, umesababisha Rais Jakaya Kikwete kuagiza maandalizi ya haraka ya ujenzi wa majiji ya kisasa katika miji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANAYESHIKILIA REKODI YA KUISHI MIAKA 60 BILA KUOGA SASA ATAFUTA MCHUMBA...

Amou Haji. Ni bachela na anatafuta mchumba.Lakini, kuweza kukidhi matakwa ya moyo wake, unatakiwa kukubaliana na aina yake ya maisha isiyobadilika.Amou Haji hajawahi kuoga kwa miaka 60 sasa, sababu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIYUMBA AACHIWA HURU KESI YA KUKUTWA NA SIMU GEREZANI...

Amatus Liyumba.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba baada ya kumuona hana hatia katika mashitaka yaliyokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI ARUSHA AWATUNISHIA MISULI MKUU WA MKOA, MKUU WA WILAYA NA MEYA...

Sipora Liana.Mgogoro wa uongozi mkoani Arusha umefikia hatua mbaya ambapo sasa ni wazi Mkurugenzi wa Jiji, Sipora Liana, hawezi kuiva chungu kimoja na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Meya na Baraza la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZIKO YA JAJI LIUNDI...

Jeneza lenye mwili wa Jaji George Liundi likiingizwa kaburini.Mke wa marehemu akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe Jaji Liundi.Mtoto mkubwa wa marehemu, Taji Liundi na mkewe wakiweka shada la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKARDINALI WOTE WATIMULIWA KWA KUJIHUSISHA NA FEDHA CHAFU...

Papa Francis II.Makardinali wote isipokuwa mmoja waliokuwa wakisimamia benki ya Vatican wamefutwa kazi na Papa Francis. Waliokumbwa na 'fagio hilo la chuma' ni makadinali wanne ambao ni pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AAHIDI WATANZANIA KUSHUKA KWA KIASI KIKUBWA BEI YA UMEME...

Wakati Watanzania wengi ‘wakiugulia’ bei mpya ya umeme iliyoanza kutumika Januari mosi mwaka huu, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema maumivu hayo ni ya muda, kwani bei hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MKAGUZI MKUU YAMNG'OA MADARAKANI MEYA WA BUKOBA...

Dk Anatory Amani.Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuguswa na taarifa ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).Amefanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO JINSI MAJANGILI YALIVYOMUUA FARU "MAMA SERENGETI"...

Faru akiwa ameuawa mbugani.Kasi ya ujangili imeendelea kuleta hofu dhidi ya rasilimali nchini, baada ya juzi majangili kuua faru aitwaye ‘Mama Serengeti’ na kumng’oa pembe zake katika Hifadhi ya Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAILI ZENYEWE ZA KIAFRIKA SASA MPAKA MLANGONI KWAKO...

...Usilaze damu, njoo kwenye maduka yetu ujionee mwenyewe na uchague namna ya kutoka! Bei zetu ni nafuu mno kulinganisha na ubora wa bidhaa zetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI CHUO CHA MAFUNZO ATUHUMIWA KWA WIZI WA FEDHA DUKANI...

Kamanda Mkadam Khamis Mkadam.Jeshi la Polisi mjini hapa linamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo (Magereza) kwa tuhuma za wizi wa Sh 1,635,000 katika duka lililopo eneo la Makadara. Kamanda wa Polisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article
Browsing all 4652 articles
Browse latest View live