JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YATAHADHARISHWA KUWA NA SARAFU MOJA...
Christine Lagarde.Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Christine Lagarde ameihadharisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoharakisha kutekeleza makubaliano ya Umoja wa Fedha...
View ArticleHIVI NDIVYO MWENYEKITI WA CHADEMA ALIVYOCHUNGULIA JEHANAMU...
Mhudumu wa Hospitali ya Muhimbili akimrejesha Joseph Yona wodini baada ya kufanyiwa matibabu katika Kitengo cha Mifupa cha MOI, Dar es Salaam jana.Mgogoro unaoendelea ndani ya Chadema una uhusiano na...
View ArticleSERIKALI YAWAPOZA WAFANYABIASHARA, SASA KUSHUGHULIKIA MASHINE ZA EFDs...
Serikali imewapoza wafanyabiashara wanaopinga matumizi ya Mashine za Kielektroniki ya Kukusanya Kodi (EFDs), na kuwaahidi kufanyia kazi ushauri wao.Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda,...
View ArticleKIGOGO ALIYETESWA CHADEMA AKIMBIA NYUMBA YAKE KWA USALAMA...
Josephat Yona.Mgogoro wa uongozi unaoendelea ndani ya Chadema, umemlazimisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukemea na kutaka pande zinazopingana kuzuia wafuasi kujihusisha na...
View ArticleMATOKEO YA SENSA YA IDADI YA TEMBO...
TAARIFA KWA UMMAMATOKEO YA SENSA YA IDADI YA TEMBO KATIKA MFUMO WA IKOLOJIA WA SELOUS-MIKUMI NA RUAHA-RUNGWAWizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma matokeo ya sensa ya tembo iliyofanyika...
View ArticleMVUA YASITISHA USAFIRI RELI YA KATI, ABIRIA WALETWA DAR KWA MABASI...
Abiria hao wakiwa hawajui la kufanya kabla ya kutangaziwa watasafiri kwa mabasi.Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) imetangaza kusitisha huduma za usafiri wa treni kwa muda usiofahamika kutokana na...
View ArticleKIFO CHA RAIS KAGAME WA RWANA UZUSHI MTUPU...
Rais Paul Kagame.Ikulu ya Rais wa Rwanda imekanusha uvumi wa kifo cha Rais Paul Kagame, ambao umesababisha raia wa mji wa Goma kuingia barabarani kusherehekea taarifa hiyo. Rwanda iliingia kijeshi mara...
View ArticleDIWANI WA CHADEMA AMFUNGIA OFISINI MKURUGENZI ILEMELA...
Abubakar Kapera.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela, Zuberi Mbyana amefungiwa ofisini na Diwani wa Nyamanoro, Abubakar Kapera (Chadema) na kusababisha vurugu.Diwani Kapera alimfungia...
View ArticleSERIKALI YASALIMU AMRI KWA MAJANGILI VITA DHIDI YA TEMBO...
Mabaki ya miili ya tembo waliouawa kikatili ikiwa ni matokeo ya ujangili.Sensa maalumu kwa ajili ya tembo iliyofanyika nchini kati ya Oktoba na Novemba mwaka jana imeonesha kuwa, maeneo ya mfumo wa...
View ArticleMZAZI ALIYEOZESHA KITOTO KWA ZEE LA MIAKA 54 ATIWA MBARONI...
Mzazi aliyeoza mtoto wake kwa mzee wa miaka 54, juzi alikamatwa na polisi na kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda, na kufunguliwa kesi ya kula njama kwa nia ya kutenda kosa la kuozesha mtoto...
View ArticleTATIZO LA UPATIKANAJI MAJI DAR KUBAKI HISTORIA KUANZIA MACHI...
Wachuuzi wa maji katika moja ya maeneo ya Dar es Salaam wakiwa kazini.Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wanatarajiwa kuondokana na tatizo la upatikanaji wa maji safi kwa asilimia 90 kuanzia Machi baada...
View ArticleASKARI POLISI ADAIWA KUMTOROSHA MFUNGWA MKOANI KIGOMA...
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limekumbwa na kashfa baada ya askari wake kukutwa na tuhuma za kutorosha mfungwa.Habari za uhakika ambazo mwandishi amezipata zilieleza kuwa baadhi ya askari wa Kituo...
View ArticleUCHUNGUZI WA ALIYEKUFA NA KUZINDUKIA MOCHARI SIKU YA PILI WAANZA...
Ndugu na jamaa wakimfariji Paul Mutora hospitalini.Serikali imeanza uchunguzi ili kubaini sababu ya mtu aliyethibitishwa kufa hospitalini, kuzinduka akiwa mochari siku iliyofuata.Wafanyakazi wa mochari...
View ArticleJAMBAZI LAUA WATATU AKIWAMO MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA NEWALA...
Kamanda Zelothe Stephen.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa watu watatu akiwamo Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Newala wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi muda...
View ArticleVIONGOZI WA NGAZI ZA JUU CHADEMA WASHITAKIWA KIGOMA...
Baadhi ya viongozi wa juu wa Chadema. Kutoka kushoto ni John Mnyika, Dk Willibrod Slaa na Freeman Mbowe.Wakati Chadema, ikitafuta hoja ya kukirudisha katika siasa zinazogusa watu katikati ya mgogoro wa...
View Article