$ 0 0 Jamaa mmoja kang'atwa na nyoka akaanza kucheka mpaka machozi yanamtoka. Wenzake kwa mshangao wakamuuliza: "Unacheka nini wakati umeumia?" Jamaa akasema: "Duh! Namsikitikia sana huyu nyoka maana hakujua kama mimi nina virusi vya ukimwi!" Kasheshe…