KIFO CHA MAMA MJAMZITO CHAZUA TAFRANI SUMBAWANGA...
Kifo cha mjamzito aliyekuwa akijifungua katika kituo cha afya Mtowisa, wilayani Sumbawanga, kimezua tafrani baada ya wananchi kushambulia gari la kubeba wagonjwa wakitaka kulichoma kwa madai kwamba...
View ArticleMAJANGILI SASA WAFANYA KUFURU, WAUA TEMBO WAWILI KILA SIKU...
Tembo 60 wameuawa na majangili kwenye hifadhi mbalimbali nchini katika mwezi mmoja tangu operesheni tokomeza isitishwe. Mauaji hayo yametajwa kufanyika katika Hifadhi za Selous, Rungwa, Burigi, Katavi...
View ArticleMICHAEL SCHUMACHER MAHUTUTI BAADA YA KUBAMIZA KICHWA KWENYE JABALI...
KUSHOTO: Schumacher alipokuwa akitamba kwenye Formula One. KULIA: Akiserereka kwenye barafu.Bingwa wa zamani wa mbio za magari za Formula One, Michael Schumacher yuko hoi mahututi hospitalini baada ya...
View ArticleMKUU WA DINI YA KIYAHUDI ASHITAKIWA KWA KUFYEKA UUME WA KITOTO KICHANGA...
KUSHOTO: Rabbi Mordechai Rosenberg. JUU: Oparesheni hiyo ilidumu kwa saa 8. CHINI: Sherehe hizo zilifanyika mahali hapa.Mkuu wa dini ya Kiyahudi kutoka Pittsburgh, Pennsylvania anashitakiwa kwa kufyeka...
View ArticleKAMANDA ERNEST MANGU ATEULIWA KUWA MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI
IGP Ernest Mangu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.Taarifa iliyotolewa jana...
View ArticleUTAFITI: VINYWAJI VYA KUONGEZA NGUVU MWILINI NI HATARI KWA AFYA...
Vinywaji baridi vyenye lengo la kuongeza nguvu vinadaiwa kuwa hatari kwa afya ya watumiaji baada ya kubaini baadhi ya kemikali husababisha madhara mwilini. Watumiaji wa vinywaji hivyo wamehadharishwa...
View ArticleSERIKALI TATU YAENDELEA KUTAWALA RASIMU YA KATIBA MPYA...
Jaji Joseph Warioba akihutubia wakati alipowasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba, Dar es Salaam, jana.Muundo wa serikali tatu umeendelea kuwa ndani ya Rasimu ya Katiba iliyokabidhiwa jana kwa Rais Jakaya...
View ArticleKESI YA WALIONASWA NA KONTENA LENYE MENO YA TEMBO JANUARI 16...
Polisi wakikagua kontena hilo mara baada ya kukamatwa Zanzibar hivi karibuni.Upelelezi wa kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 7.5 inayowakabili watu sita waliokamatwa Zanzibar,...
View ArticleATISHIA KUJITUPA KUTOKA JUU YA MNARA KUSHINIKIZA AONANE NA RAIS KIKWETE...
Jamaa huyo kama anavyoonekana katika picha mbalimbali wakati wa tukio hilo.Mkazi wa Kipera mkoani Morogoro, Hassan Kibwana jana alifunga mwaka kwa mtindo wa aina yake, baada ya kupanda juu ya mnara wa...
View ArticleBEI MPYA YA UMEME KUANZA MAKALI LEO, GESI YA MAJUMBANI NAYO BEI JUU...
Nyaya za umeme.Maumivu ya huduma ya umeme leo yanaanza kuwapata wananchi baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kulikubalia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupandisha bei ya...
View ArticleRASIMU YA KATIBA MPYA YAKATAA WABUNGE WENYE ELI YA DARASA LA SABA...
Jaji Joseph Warioba akikabidhi Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya kwa Rais Jakaya Kikwete, Dar es Salaam juzi.Rasimu mpya ya Katiba imekataa watu wenye elimu ya chini ya kidato cha nne kugombea ubunge. Pia...
View ArticleSALAMU ZA HERI NA FANAKA ZA MWAKA MPYA 2014...
Tunawatakia wasomaji wetu na Watanzania wote kwa ujumla Heri na Fanaka za Mwaka Mpya 2014. Tunatumia fursa hii kuwashukuruni wote kwa kutuunga mkono kwa kipindi chote cha mwaka 2013 pamoja na michango...
View ArticleHIKI NDICHO KIINI CHA AJALI YA MELI YA MV KILIMANJARO...
Mawasiliano duni kati ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na nahodha wa meli ya MV.Kilimanjaro II, yanadaiwa kwa kiasi kikubwa yamechangia vikosi vya uokozi, kushindwa kufika katika eneo la ajali kwa...
View ArticleNAULI ZA MABASI MOSHI-DAR ZAPANDA HADI KUFIKIA 50,000/-...
Stendi Kuu ya mabasi Moshi.Nauli kutoka mkoani Kilimanjaro kwenda Dar es Salaam zimepaa kutoka Sh 18,000 hadi Sh 50,000.Hali hiyo inatokana na ulanguzi wa tiketi, unaodaiwa kufanywa na mawakala wa...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA DK MGIMWA KIJIJINI KWAKE IRINGA...
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal na mkewe, Zakia Bilal (kulia) wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dk. William Mgimwa katika viwanja vya Karimjee, Dar es...
View ArticleZITTO KABWE AENDELEA KUWAGARAGAZA AKINA MBOWE NA WENZAKE...
Mashabiki wa Zitto Kabwe wakishangilia ushindi wa Mbunge huyo mahakamani jana.Wafuasi wanaounga mkono uongozi wa Chadema chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe, jana waliondoka mahakamani kwa huzuni, baada...
View Article