RASIMU YA MAHAKAMA YA KADHI ZANZIBAR YAIVA...
Msikiti mkongwe wa Chake Chake, Pemba.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rasimu ya Mahakama ya Kadhi imekamilika na inatazamiwa kuwasilishwa katika ngazi za makatibu wakuu kabla ya kufikishwa...
View ArticleALIYEMUUA KIKATILI DEREVA WA BODABODA NAYE AUAWA KIKATILI...
Jacob Mwaruanda.Wananchi wamemuua mtuhumiwa wa mauaji wakati akijaribu kutoroka kutoka mjini Namanyere wilayani Nkasi, mkoani Rukwa.Mtuhumiwa huyo Denisi Gagala (31 ) mkazi wa Kitongoji cha...
View ArticleWATOTO 124 WAZALIWA MKESHA WA SIKUKUU YA KRISMASI DAR...
Baadhi wa wazazi katika Hospitali ya Mwananyamala.Watoto 124 wakiwemo wa kiume 80 wamezaliwa katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi katika hospitali za Dar es Salaam huku wengi wakiwa wa kiume.Watoto...
View ArticleGESI, MAFUTA, DHAHABU NA PEMBE ZA NDOVU KUIANGAMIZA TANZANIA...
Mtambo wa Gesi ya Msimbati.Watanzania wametakiwa kuwa makini na mali na rasilimali za nchi, ikiwemo gesi, mafuta, pembe za ndovu na dhahabu kwani zimeanza kuonesha dalili za kugawa Taifa.Akizungumza...
View ArticleMWANAMKE AMUUA MPENZI WAKE KWA KUMVUTA KORODANI ZAKE...
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi.Kamanda wa...
View ArticleWALAJI NYAMA YA NGURUWE HATARINI KUPATA UGONJWA WA KIFAFA...
Nyama ya nguruwe.Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini...
View ArticleMAWAZIRI WANNE WALIOTIMULIWA WAZUNGUMZIA KILICHOWASIBU...
Mawaziri waliotimuliwa, kutoka kushoto ni David Mathayo, Shamsi Vuai Nahodha, Emmanuel Nchimbi na Khamis Kagasheki.Baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri watatu na mmoja kujiuzulu,...
View ArticleMBARONI KWA KUSAFIRISHA MAITI YENYE DAWA ZA KULEVYA...
Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kusafirisha maiti akiwa na kete 17 tumboni kati ya 24 zinazodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya wakitokea mjini Tunduma, mkoani Mbeya kwenda...
View ArticleAUAWA KWA KUKUTWA UCHI KWENYE SHIMO LA DHAHABU...
Mkazi wa Kijiji cha Kapanda Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, Yunge Maboja (70) amekufa baada ya kushambuliwa na wananchi kwa kupigwa na silaha za jadi, ngumi na mateke baada ya kukutwa mtupu...
View ArticleBEI YA VITALU UTAFITI WA GESI ASILIA HAIKAMATIKI...
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limetangaza kuyaalika rasmi makampuni ya wazawa yenye uwezo wa kifedha na kitaalamu kushiriki katika zabuni ya kutafuta wawekezaji wa...
View ArticlePOLISI YAPIGA MARUFUKU ULIPUAJI FATAKI MWAKA MPYA...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku ulipuaji wa fataki wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya, kutokana na sababu za kiusalama.Imeelezwa kwamba zuio hilo, linatokana na...
View ArticleBOMBA LA GESI LAAJIRI VIJANA 400, WATAALAMU 200 WAZAWA PIA KUAJIRIWA...
Mradi wa ujenzi wa bomba la gesi umetengeneza ajira mpya 400 kwa vijana tangu ulipoanza Agosti. Aidha, kuna mpango wa kuajiri wataalamu wa gesi, mafundi sanifu na mchundo wazawa wasiopungua 200 katika...
View ArticleAPIGWA HADI KUFA KATIKA FUMANIZI LA MAPENZI KIGOMA...
Mtu mmoja mkulima na mkazi wa eneo la Kumsenga wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, aliyefahamika kwa jina la Yusuph Pascal, ameuawa kwa kupigwa na vitu mbalimbali katika tukio linalodaiwa kuwa ni fumanizi...
View ArticleASILIMIA 96 YA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KUJIUNGA SEKONDARI...
Asilimia 96.15 ya wanafunzi wa darasa la saba waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu na kufaulu, ndio waliochaguliwa kujiunga na sekondari za serikali.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu...
View ArticleAUA MKEWE KWA KUMCHARANGA MAPANGA BAADA YA KUDAIWA UNYUMBA...
Kamishna Dhahiri Kidavashari.Mwanamke mkazi kitongoji cha Tulieni kijijini Tumaini wilayani Mlele, Rehema Lubinza (47) ameuawa kikatili kwa kucharangwa na mapanga na mumewe kisha mwili...
View ArticleBALOZI WA PAPA ATAKASA KANISA LILILOPIGWA BOMU ARUSHA...
KUSHOTO: Askofu Fransisco Padilla. KULIA: Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi la Olasiti siku lilipopigwa bomu.Hatimaye Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi la Olasiti jijini hapa lililopigwa bomu...
View Article