Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI YAENDA NA MAWAZIRI WANNE...

KUTOKA KUSHOTO: Balozi Khamis Kagasheki, Dk Emmanuel Nchimbi, Shamsi Vuai Nahodha na Dk David Mathayo.Rais Jakaya Kikwete ametangaza kutengua uteuzi wa mawaziri wake wanne kufuatia wabunge kuungana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MUHONGO AMSHUKIA REGINALD MENGI KUHUSU UMILIKI WA VITALU...

Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) na Reginald Mengi.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya wazalendo nchini wanamiliki vitalu kwa asilimia 70 lakini baadhi yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PADRI KATOLIKI KIZIMBANI KWA KUSHINDWA KUTUNZA MTOTO SINGIDA...

Kanisa Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini hapa, akituhumiwa kushindwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO AAPA KUENDELEA KUPIGANIA DEMOKRASIA CHADEMA...

Kabwe Zitto katika moja ya mikutano yake Kigoma.Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini mkoani Kigoma, Kabwe Zitto amesema kuwa ataendelea kupigania haki yake ya kidemokrasia na uwajibikaji ndani ya chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA ATANGAZA VITA NA WALAFI SERIKALINI, 866 WASHUGHULIKIWA...

Mizengo Pinda.Watumishi 866 wa serikali wamechukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria kwa ubadhirifu wa fedha katika halmashauri mbalimbali nchini.Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZIKO YA MANDELA UTATA MTUPU, BAADHI WAHOJI KAMA ALIVIRINGWA NGOZI YA...

Jeneza lenye mwili wa Mzee Nelson Mandela wakati wa heshima za mwisho kijijini Qunu.Siku ya maziko rasmi ya kiongozi wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela katika kijiji alichokulia cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MIZENGO PINDA AKIHITIMISHA MOJA YA MIKUTANO YA KUVUTIA YA BUNGE...

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P.  PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 14 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 21...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUAJIRI WALIMU 26,000 KUANZIA MWEZI UJAO...

Kassim Majaliwa.Serikali imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu  katika shule za msingi na sekondari nchini.Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZEE WACHACHAMAA WINNIE KUTEUA KIONGOZI WA FAMILIA YA MANDELA...

Winnie Mandela.Wazee wa ukoo wa kichifu wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, AbaThembu, wameelezea kukasirishwa na kauli ya mke wa zamani wa kiongozi huyo, Winnie, kumteua mwanawe wa kike,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAKIRI KUFANYA MAKOSA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI...

Haya ni moja ya mateso yanayodaiwa kufanywa dhidi ya raia wakati wa utekelezaji operesheni hiyo.Jeshi la Polisi, limekuwa la kwanza kati ya taasisi saba zinazohusika moja kwa moja, kukiri udhaifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME NA MKE WAMCHANGIA MTALAKA NA KUMNYOFOA MDOMO RUVUMA...

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mume na mke kumshambulia mtalaka wake Faustina Komba (35) mkazi wa jiji la Mbeya kwa kumpiga ngumi, makofi na kumng'ata mdomo wake wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA LAAMRIWA KUZIMA KENGELE ZAKE, KISA? ZINA MADHARA KWA AFYA...

Kanisa la St. Mary's.Kanisa moja limefungiwa kupiga kengele zake usiku sababu kelele hizo 'zina madhara kwa afya'.Kengele hizo katika Kanisa la St. Mary's huko Ashwell, Hertfordshire, zimekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJANE MWEUPE SAMANTHA ANASWA AKIONDOKA KAMBI YA MAFUNZO YA KIGAIDI KWA NGAMIA...

Samantha Lewthwaite.Mjane mweupe wa Uingereza anaaminika kuwa anasuka mipango mipya ya mashambulio ya ugaidi kutoka kwenye kambi ya mafunzo inayohusishwa na Al Qaeda baada ya kuonekana akiondoka kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIPUMBA AIONYA CHADEMA KUHUSU MGOGORO...

Profesa Ibrahim Lipumba.Chama cha Wananchi (CUF) kimekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumaliza mgogoro wake ili kuweka nguvu kwenye Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENEO YA PWANI KUKUBWA NA DHORUBA...

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imehadharisha juu ya kutokea upepo mkali utakaoambatana na mawimbi makubwa katika maeneo ya pwani mwa bahari ya Hindi leo.Taarifa iliyotolewa na TMA kwa vyombo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live