AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA ZA MILIONI 64 UWANJA WA NDEGE DAR...
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam.Mkazi wa Tabata Liwiti, Dar es Salaam, Maulid Mfaume (36) amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)...
View ArticleMZIMU WA MZEE MANDELA WAMWANDAMA RAIS JACOB ZUMA...
Mzee Nelson Mandela akimfariji Jacob Zuma katika moja ya matukio miezi kadhaa iliyopita.Wakati shujaa wa demokrasia duniani, Nelson Mandela akiwa amezikwa tangu juzi, kura ya maoni nchini Afrika...
View ArticleMREMA AWAONYA WANAONYEMELEA JIMBO LAKE 2015...
Augustino Mrema.Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.Alisema hayo jana, wakati...
View ArticleSHIRIKA LA RELI LACHUNGULIA KABURI, LIKO TAABANI KIFEDHA...
Treni ya Shirika la Reli ikiwasili Stesheni ya Mwanza.Wizara ya Uchukuzi, imebainisha wazi kuwa hali ya kifedha ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) si nzuri kiasi cha kushindwa hata kukarabati kwa muda...
View ArticleUGOMVI WAIBUKA UPYA KATIKA FAMILIA YA MZEE MANDELA...
Askari wakitoa heshima za mwisho mara baada ya kuzika mwili wa Nelson Mandela kaburini. Siku mbili baada ya maziko ya Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, ugomvi kati ya watoto na...
View ArticleDOKTA APOKEA KIPIGO KIKALI, KISA? KAWEKA POZI KAMA MUISLAMU...
KUSHOTO: Waislamu wakiwa katika sala. KULIA: Dk Masood Ahmad. Daktari wa Uingereza mwenye umri wa miaka 72 amefungwa jela nchini Pakistani kwa 'kuweka pozi kama Muislamu' baada ya wanaume wawili...
View ArticleMBOWE ADAIWA KUPORA SAFARI YA MBUNGE WA KIKE...
Mwigulu Nchemba (kushoto) na Freeman Mbowe.Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amemshambulia na kumshitaki bungeni, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe, kuwa amehusika kumzuia...
View ArticleNDEGE YA ETHIOPIA YATUA KWA DHARURA ARUSHA BAADA YA KUPOTOSHWA...
Ndege hiyo baada ya ajali mapema leo. Picha ndogo ni gurudumu la ndege hiyo likiwa limejikita ardhini.Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha baada ya...
View ArticleABIRIA WAFURIKA STENDI KUU YA MABASI YA MIKOANI UBUNGO...
Abiria kwenye stendi ya mabasi Ubungo.Hali ya usafiri katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Ubungo (UBT) imeanza kuwa ‘gumzo’, kutokana na wananchi wengi kujitokeza kituoni hapo, kukata tiketi zao kuelekea...
View ArticleMBUNGE 'AMCHANA VIPANDE' WAZIRI MWAKYEMBE...
Dk Harrison Mwakyembe.Mbunge wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha amemtaka Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, aache kufanya kazi na vyombo vya habari na badala yake awajibike katika kutatua masuala...
View ArticleRASIMU YA PILI YA KATIBA KUKABIDHIWA DESEMBA 30...
Jaji Joseph Warioba.Rais Jakaya Kikwete, Desemba 30 atakabidhiwa Rasimu ya Katiba mpya, baada ya kufanyiwa marekebisho na Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya.Makabidhiano hayo yatafanyika katika viwanja...
View ArticleKODI YA SIMU YAFUTWA, RAIS ASAINI HATI YA DHARURA...
Rais Jakaya Kikwete.Rais Jakaya Kikwete, amesaini hati ya dharura kufuta kodi ya Sh 1,000 kwa mwezi kwa kila kadi ya simu, iliyowekwa katika Bajeti ya Serikali ya 2013/14.Kutokana na hatua hiyo, Bunge...
View ArticleMKALIMANI MSIBA WA MANDELA ALAZWA HOSPITALI KWA MATATIZO YA AKILI...
Thamsanga Jantjie.Mkalimani mtata katika ibada maalumu ya kumkumbuka kiongozi wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika uwanja wa FNB jijini Johannesburg Desemba 10 amelazwa hospitalini...
View ArticleZITTO KABWE KUANZA ZIARA KOTE WALIKOPITA AKINA MBOWE NA SLAA...
KUTOKA KUSHOTO: Dk. Willibrod Slaa, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), anatarajia kuanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma, itakayomfikisha katika majimbo...
View ArticleMCHAKATO KUMPATA RAIS MWANAMKE MWAKA 2015 WAANZA...
Anna Abdallah.Harakati za kupata rais mwanamke zimeanza baada ya ulingo wa wanawake kutangaza kufanya ushawishi kwenye vyama vyote vya siasa wanawake wenye uwezo wapewe nafasi kugombea.Mwenyekiti wa...
View ArticleHATIMAYE NDEGE YA ETHIOPIA YANASULIWA KWENYE TOPE ARUSHA...
Hapa ndipo iliponasa ndege hiyo.Hatimaye ndege kubwa aina ya Boeing 767 mali ya Shirika la Ndege la Ethiopia, iliyotua kwa dharura juzi, uwanja wa ndege wa Arusha ikiwa na abiria 213, imenasuliwa...
View ArticleAJIMWAGIA PETROLI NA KUJIWASHA MOTO MBELE YA KANISA KUU MJINI VATICAN...
Mtu huyo mara baada ya kuokolewa na wasamaria.Mwanaume mmoja amejimwagia petroli na kisha kujilipua moto nje ya Kanisa Kuu la Mt. Petro mjini Vatican mapema jana asubuhi, maofisa walisema.Sababu za...
View Article