KIAMA CHA JEURI YA WAHAMIAJI HARAMU SASA CHAANZA RASMI...
Baadhi ya wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi.Operesheni kimbunga! Ambayo itakuwa kubwa kuliko zote katika historia ya Tanzania ya kukomesha ujambazi na kukamata...
View ArticleWAUAWA WAKIJARIBU KUMTETEA MWANAMKE ALIYEKUWA AKISUMBULIWA...
Baadhi ya waandamanaji kwenye ghasia hizo zilizokatisha uhai wa watu 19.Vurugu zilizoambatana na ghasia zimeua watu 19 kaskazini mwa India baada ya makundi ya Wahindu na Waislamu kushambuliana kwa...
View ArticleMAPYA YAFICHUKA TAZARA, WAFANYAKAZI WADAI NI MRADI WA WATU WACHACHE...
Ofisi za TAZARA, Dar es Salaam.Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), wameelezea namna mamlaka hiyo ilivyogeuzwa mradi wa watu wachache, mbele ya Waziri wa Uchukuzi, Dk...
View ArticleMZAZI ALIYEBADILI JINSIA YAKE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME...
KUSHOTO: Thomas Beatie akiwa na watoto wake watatu. KULIA: Beatie alipokuwa mjamzito.Mwanaume mmoja aliyebadili jinsia ni wa kwanza barani Ulaya kujifungua mtoto baada ya kuwa mjamzito kwa njia ya...
View ArticleMUHIMBILI YAITA WAGONJWA WA MOYO KWA MATIBABU...
Moja ya mitambo ya upasuaji moyo.Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ina uwezo wa kufanya tiba zote za upasuaji wa magonjwa ya moyo na hakuna tena haja kwa Serikali kupeleka wagonjwa wote wa maradhi hayo...
View ArticleWANAFUNZI 868,030 KUFANYA MiTIHANI YA DARASA LA SABA KESHO...
Baadhi ya wanafunzi wakifanya mitihani wa Darasa la Saba miaka ya nyuma.Jumla ya wanafunzi 868,030 wanatarajiwa kuanza kufanya mtihani wa darasa la saba kote nchini.Akitangaza kuanza kwa mtihani huo...
View ArticleMELI ZILIZOSAJILIWA ZANZIBAR ZAHATARISHA USALAMA DUNIANI...
Moja ya meli ikisindikizwa kuingia bandarini Zanzibar.Udhaifu wa Sheria ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini ya Zanzibar (ZMA) ya mwaka 2006, umeichafua Tanzania katika usafiri wa majini duniani, baada ya...
View ArticleBIBI HARUSI MTOTO WA MIAKA MINANE AFARIKI KWA KUVUJA DAMU NDANI YA MWILI...
Moja ya sherehe za ndoa za utotoni nchini Yemen.Bibi harusi mtoto mwenye miaka minane amekufa nchini Yemen kutokana na kutokwa damu ndani kwa ndani wakati wa usiku wa harusi yake baada ya kuwa...
View ArticleDARASA LA PILI SASA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA, WATAKAOFELI KURUDIA...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo.Mtihani mpya wa Taifa utaanzishwa kwa wanafunzi wa darasa la pili nchi nzima, ili kuchuja watakaoshindwa kusoma, kuandika na...
View ArticleMAMA AHUDUMIA MWILI WA KIJANA WAKE KWA MIAKA 18 KUMWONESHA JINSI ANAVYOMPENDA...
Tsiuri Kvaratskhelia akiwa kando ya mwili huo wa mwanae.Mama ambaye mtoto wake wa kiume alifariki miaka 18 iliyopita amemuhifadhi katika pombe na kuficha mwili wake kwenye sehemu ya chini ya makazi...
View ArticleVIGOGO WATATU ARDHI WANA KESI YA KUJIBU WIZI WA SHILINGI MILIONI 100...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambako kesi hiyo inasikilizwa.Vigogo watatu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wanaokabiliwa na mashitaka ya ubadhirifu na wizi wa Sh milioni 100...
View ArticleWAZIRI NYALANDU KUPOKEA MAANDAMANO YA KUPINGA UJANGILI LEO...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto).Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, anatarajiwa kupokea Maandamano ya Kupinga Ujangili wa Tembo yaliyopewa jina la...
View ArticleKIKONGWE WA ETHIOPIA MWENYE MIAKA 160 ATISHIA REKODI YA DUNIA...
Dhaqabo Ebba.Watu wengi hawafahamu kuhusu uvamizi wa Italia nchini Ethiopia mwaka 1895, lakini mwanaume mmoja hafahamu tu kuhusu mapambano hayo - anadai kuwa aliishi kipindi chote hicho.Mkulima mstaafu...
View ArticleTANZANIA NA RWANDA SASA ZAAFIKIANA USHURU WA BARABARA...
Baadhi ya malori yaendayo nchini Rwanda yakiwa safarini.Hatimaye Rwanda na Tanzania zimefikia mwafaka kuhusu ushuru wa barabara, ambapo nchi hizo zimeshusha viwango vya kodi na sasa kutoza dola 152 za...
View ArticleBABA ALIYEMBAKA RAFIKI WA KIKE WA KIJANA WAKE AFUNGWA MIAKA 35 JELA...
Mahakama ambako hukumu hiyo ilitolewa.Baba mwenye umri wa miaka 67 amehukumiwa kifungo cha miaka 35 jela baada ya kumbaka rafiki wa kike wa kijana wake pale alipojihifadhi nyumbani hapo baada ya...
View ArticleMCHUNGAJI AKAMATWA AKIKARIBIA KUCHOMA MOTO VITABU 2,998 VYA KORAN...
KUSHOTO: Mchungaji Terry Jones akiingizwa kwenye gari mara baada ya kukamatwa. KULIA: Mchungaji Terry Jones.Mchungaji Terry Jones amekamatwa jana wakati akielekea kuchukua vitabu vya Koran tukufu...
View Article