MAWAZIRI WAUMBUANA MPANGO WA SERIKALI 2007 KUTENGENEZA MVUA...
Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, mjini Dodoma.Sakata la kutengeneza mvua kwa njia ya kitaalamu kutokana na mawingu iliyokuwa kwenye mpango wa Serikali mwaka 2007, jana lilichukua sura mpya baada...
View ArticleMBAKAJI ACHANGANYIKIWA KUAMBIWA MWANAMKE ALIYEMBAKA ANA VIRUSI VYA UKIMWI...
KUSHOTO: Richard Thomas. KULIA: Mahakama Kuu ya Liverpool.Mbakaji ambaye alifungwa jana anasubiria vipimo kubaini kama ameathirika na virusi vya ukimwi kutoka kwa muathirika wake.Richard Thomas, mwenye...
View ArticleARIEL CASTRO AKUTWA AMEJINYONGA NDANI YA GEREZA...
Ariel Castro akisubiria hukumu yake mahakamani.Mwanaume ambaye aliwashikilia mateka wanawake watatu nyumbani kwake kwa karibu miaka kumi kabla ya mmoja wao kutoroka na kuzitaarifu mamlaka husika...
View ArticleKOMPYUTA ZA BUNGE ZATUMIKA KUPERUZI TOVUTI ZA NGONO MARA 300,000...
Moja ya picha chafu za ngono.Wabunge na wafanyakazi wao walifungua tovuti za ngono mara 300,000 kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita, rekodi rasmi zimefichua.Jumla hiyo - ambayo inawakilisha zaidi ya...
View ArticleSERIKALI KUENDELEA KUTUMIA SILAHA ZA MOTO KWA WAKAIDI...
Pereira Silima.Serikali imesisitiza, kwamba Jeshi la Polisi limekuwa likilazimika kutumia silaha za moto, kukabiliana na vurugu za maandamano na mikutano ya kisiasa, kutokana na wanaofanya vurugu hizo...
View ArticleWAKILI ISRAEL MAGESA AFARIKI DUNIA AKISHUKA KWENYE GARI...
Israel Magesa.Wakili wa kujitegemea wa Kampuni ya Magesa & Company Advocates, Israel Magesa, amefariki ghafla jana wakati akiteremka kwenye gari alilokuwa akiliendesha.Akizungumza na mwandishi kwa...
View ArticleBINGWA WA DUNIA USAIN BOLT ATANGAZA KUSTAAFU RIADHA...
Usain Bolt.Usain Bolt anapanga kustaafu mchezo wa riadha baada ya Michezo ya Olimpiki ya Rio de Janeiro mwaka 2016.Bingwa huyo anayeshikilia rekodi ya sasa ya dunia kwenye mbio zote za mita 100 na 200,...
View ArticleBINTI ALIYEBAKWA ALAZIMISHWA KUOLEWA NA MTOTO WA ZEE LILILOMBAKA...
Mahali lilipotokea tukio hilo.Binti wa India mwenye umri wa miaka sita ambaye alifungiwa kwenye chumba na kubakwa analazimishwa kuolewa na mvulana wa miaka minane ambaye ni mtoto wa mwanaume anayedaiwa...
View ArticleMSIKITI WA MANYEMA WAUNGUA MOTO DODOMA...
Msikiti wa Manyema uliopo mtaa wa saba mjini hapa jana ulishika moto na kusababisha mtafaruku miongoni mwa waumini ambao walikuwa wanaondoka eneo la msikiti baada ya kumalizika kwa swala ya...
View ArticleJWTZ YASEMA: TANZANIA HAIPIGANI NA WAASI, INALINDA AMANI DRC...
Askari wa waasi wa M23 wakiwa kwenye doria.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema Tanzania haipigani na waasi wa M23 na haina tatizo na Rwanda kuhusu Operesheni ya Ulinzi wa Amani...
View ArticleSERIKALI SASA YAVALIA NJUGA VIJANA WALIOJIAJIRI...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Watanzania wametakiwa kuelekeza nguvu zao kusaidia vijana wanaojiajiri kwa kuwawezesha kupata huduma muhimu za chakula na miundombinu muhimu ya maji na umeme.Mwito huo...
View ArticleRAIS KABILA NA WAASI WA M23 WATAKIWA KUZUNGUMZIA AMANI DRC...
Rais Joseph Kabila.Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu umewapa siku 17 waasi wa M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kumaliza mgongano baina yao kwa njia ya amani.Katika siku hizo, tatu...
View ArticleRAIA WA ZIMBABWE ALIYEMCHOMA MOTO USONI MWANAMKE ASHINDA KESI UINGEREZA...
Jaji ameamuru raia wa Zimbabwe ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka mitano na nusu jela baada ya kumtishia maisha mwanamke mmoja hawezi kurejeshwa nchini kwake sababu itakiuka haki zake za...
View ArticleAMA KWELI, DUNIANI WAWILI-WAWILI...
KAMA MAPACHA! Naomi Watts (kushoto) akimwigiza hayati Princess Diana (kulia).
View ArticleHATIMAYE TOKYO YAIBUKA KIDEDEA KUANDAA OLIMPIKI 2020, YAIBWAGA ISTANBUL NA...
Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC), Jacques Rogge akionesha jina la jiji la Tokyo, usiku wa kuamkia leo lililochaguliwa kuandaa Michezo ya mwaka 2020.Tokyo itaanda Michezo ya Olimpiki 2020...
View Article