MKE ADUNDWA NA KUTIMULIWA KWA KUASI KANISA ANALOSALI MUMEWE...
Biblia Takatifu.Bila yeye mwenyewe kutarajia, mke wa ndoa amejikuta akicharazwa bakora na kutimuliwa nyumbani na mumewe baada ya mama huyo kuacha kuabudu katika madhehebu ya Katoliki...
View ArticleHII NDIO PENALTI YA 'KIZEMBE' ZAIDI ILIYOIGHARIMU CHELSEA KWENYE SUPER CUP...
Hii ndio penalti ya 'kizembe' zaidi katika mechi kubwa iliyopigwa na Romelu Lukaku ambayo iliigharimu timu ya Chelsea ya England na kujikuta ikishuhudia Bayern Munich ya Ujerumani ikibeba Super Cup...
View ArticleWAISLAMU WANASWA WAKIVUNJA NA KUCHOMA MOTO MAKANISA...
Mmoja wa Waislamu hao akivunja msalaba uliokuwa juu kabisa ya kanisa.Video bayana imefichuliwa kutoka Misri ikionesha kuvunjwa kwa kanisa moja la Misri, na sasa kuthibitisha madai kwamba wafuasi wa...
View ArticleHUU NDIO UKWELI KUHUSU HALI YA SASA YA MZEE NELSON MANDELA...
Mzee Nelson Mandela.Mzee Nelson Mandela bado yuko hospitalini akiwa mahututi lakini hali yake ikiendelea kuimarika, ofisi ya rais wa Afrika Kusini ilisema jana.Katika taarifa, ofisi ya Rais Jacob Zuma...
View ArticleMWANAMKE AWEKA NADHIRI YA KUFANYA MAPENZI NA WANAUME LAKI MOJA DUNIANI KOTE...
Ania Lisewska.Mwanamke mmoja wa Poland ameripotiwa kuweka nadhiri ya kusafiri katika kila mji duniani katika uchunguzi usio wa kawaida kulala na wanaume 100,000.Ania Lisewska kutoka mjini Warsaw...
View ArticleJE, WAJUA? KIATU CHAKO SASA CHAWEZA KUKUTAJIA UMRI ULIONAO...
Kuna njia nyingi za kuweza kutambua umri wako. Lakini wataalamu wamegundua njia ya ajabu ambayo hakika huwezi kuamini kwa urahisi. Sasa kiatu chako kinaweza kukupatia umri ulionao kwa sasa. Kivipi?...
View ArticleWAZO LA LEO...
******************************************** Ukiona kuku anakula mchele usimfukuze, maana na yeye pia atakuja kuliwa kwa wali!***********************************************
View ArticleSIXTUS MAPUNDA ATEULIWA KATIBU MKUU MPYA WA UVCCM...
Mkutano wa UVCCM.Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), limemwidhinisha kwa kauli moja aliyekuwa Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda, kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa.Kikao hicho...
View ArticleHIVI NDIVYO ASKARI WA JWTZ ALIVYOUAWA NCHINI DRC...
Askari wa Tanzania wakiwa kazini huko nchini DRC.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeleezea namna mwanajeshi wake, Meja Khatibu Shaaban Mshindo, alivyouawa baada ya kuangukiwa na bomu,...
View ArticleRAIS MSTAAFU BUSH WA MAREKANI 'AMUUA MZEE MANDELA'...
KUSHOTO: Jim McGrath. KULIA: Gari la wagonjwa lililombeba Mzee Mandela kwenda nyumbani kwake mjini Johannesburg jana.Rais wa 41 wa Marekani, George H.W. Bush alitangaza jana asubuhi kifo cha Rais wa...
View ArticleWASANII JAYDEE, AFANDE SELE NA JB WATAJWA KUJIUNGA CHADEMA...
KUTOKA KUSHOTO: Jacob Stephen 'JB', Judith Wambura 'Jaydee' na Selemani Msindi 'Afande Sele'.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea kuwavuta wasanii kujiunga na chama hicho, ambapo...
View ArticleMZEE MANDELA ATOKA HOSPITALI, MADAKTARI WAHAMIA NYUMBANI KWAKE...
Gari la wagonjwa linaloaminika kumbeba Mzee Mandela (picha ndogo) kuelekea nyumbani kwake.Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, ameruhusiwa kutoka hospitali na sasa yupo katika makazi yake...
View ArticleMWANAMKE ASIMULIA ALIVYOTEKWA, KUBAKWA NA KUNDI LA WANAUME KWA MIEZI 15...
Amanda Lindhout na Nigel Brennan baada ya kusilimu na kuwa Waislamu.Mhudumu wa kike aliyegeukia uandishi wa habari amefichua mkasa wake mbaya mno wa miezi 15 akiwa ameshikiliwa mateka na magaidi wa...
View ArticleRUBANI WA BRITISH AIRWAYS ADAIWA KUFANYA MAPENZI NA MAMIA YA WATOTO AFRIKA...
JUU: Moja ya nyumba hizo za kulelea watoto. CHINI: Ndani ya nyumba hiyo ya kulelea watoto iliyoko Kenya. KULIA: Simon Wood akiwa amembeba mmoja wa watoto hao.Rubani wa British Airways ametumia nafasi...
View ArticleWAZO LA LEO...
********************************Ukiona unahisi woga kulala peke yako, basi lala na njaa!********************************
View ArticleMHARIRI NA MWANDISHI WAKE WAKANA KUCHOCHEA MGOMO WA ASKARI...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.Washitakiwa wawili katika kesi ya kuchapisha makala ya uchochezi iliyokuwa ikihamasisha askari wa majeshi nchini kutotii amri ya wakuu wao, wamekana...
View Article