Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4571 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAPANGUA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA...

Ombeni Sefue.Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya makatibu wakuu wa wizara na naibu wao, kwa kupandisha cheo naibu katibu wakuu wengi, kuwa makatibu wakuu, kuteua wapya, kuwabadilisha wizara na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YATUA KWA DHARURA NDANI YA ZIWA MANYARA...

Ndege hiyo ililazimika kutua Ziwa Manyara (pichani).Ndege ndogo aina ya Vich Grave, imelazimika kutua majini katika Ziwa Manyara kwa dharura, baada ya kupata hitilafu na kushindwa kutua katika viwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO MITAMBO YA UMEME SONGAS KUIWEKA DAR GIZANI WIKI NZIMA...

Mmoja wa askari wa zimamoto akizima moja ya mitambo hiyo jana asubuhi.Moto mkubwa uliozuka katika mitambo ya kuzalisha umeme ya Songas Ubungo, Dar es Salaam,  umeathiri mitambo na vifaa vya umeme na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ASIMULIA ALIVYOISHIWA PUMZI SHAMBULIO LA GESI YA SUMU ILIYOUA WATU...

Baadhi ya watoto walionusurika wakipatiwa hewa ya oksijeni hospitalini.Mvulana wa miaka 13 ameelezea jinsi 'pumzi zake zilivyokatika' wakati harufu yenye sumu ilivyokuwa ikitapakaa kwenye nyumba yao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREHEMU DAUDI MWANGOSI SASA AGEUZWA MTAJI WA KISIASA...

KUSHOTO: Marehemu Daudi Mwangosi. KULIA: Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mwangosi.Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini (UTPC), umekionya Chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYETHIBITISHWA KUFA NA KUZIKWA AIBUKA AKIWA HAI SIKU 13 BAADAYE...

KUSHOTO: Sharolyn Jackson. KULIA: Mahali ambako mwili uliodhaniwa ni wake ulipozikwa.Mwanamke mmoja wa Philadelphia amejitokeza akiwa hai siku 13 baada ya familia yake kumzika kwenye mazishi yaliyovuta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Baba mmoja alikuwa akila chakula na binti yake mezani. Mara simu ikaita na baba huyo kwenda nje kuongea. Baada ya dakika chache baba akarejea mezani na bila kupoteza muda binti akamuuliza: "Eti baba,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFUNGIWA PANGONI KWA MIAKA 30 NA WAZAZI WAKE KWA KUONESHA DALILI ZA UKICHAA...

KUSHOTO: Dong Watou akionesha kovu refu pajani mwake. KULIA: Dong Hai akiwa amejikunyata (kulia) pangoni mwake.Mwanaume ambaye alionesha dalili za matatizo ya kiakili wakati akiwa kijana mdogo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFISADI!! BILIONI 9/- ZATEKETEA BANDARI KWA VIKAO VIWILI TU VYA WAFANYAKAZI...

Bandarini Dar es Salaam.Kamati ya Bunge Hesabu za Serikali (PAC) imemwagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu  wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, kukagua maeneo matatu ya matumizi katika Mamlaka ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI MPIGAPICHA WA KIKE ABAKWA NA KUNDI LA WANAUME AKIWA KAZINI...

Wapelelezi na maofisa wa polisi wakiwa eneo la tukio nyuma ya kiwanda hicho.Mwandishi mpigapicha wa kike amebakwa wakati mwenzake wa kiume akifungwa na kupigwa kwenye kitovu cha biashara nchini India...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENYE MABASI 'WAMPIGA STOP' MNYIKA SAKATA LA WAPIGADEBE...

John Mnyika.Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA) kimemtaka Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kutoingilia suala la uwepo wa wapigadebe katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Ubungo, kwa lengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Jamaa alikuwa akila mihogo na Mzungu kwenye banda moja maeneo ya Manzese. Wakati wakiendelea kula, ghafla muhogo ukamkaba jamaa kooni na maji anayo Mzungu. Kazi ikaanza mambo ya lugha! Jamaa:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ LAFANYA MSAKO MKALI WA OFISA WAKE ALIYETOROKA MIEZI MINANE ILIYOPITA...

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linamtafuta popote alipo ndani na nje ya nchi ofisa wake, Luteni Kanali Celestine Seromba aliyetoroka jeshi zaidi ya miezi minane sasa. Msemaji wa JWTZ, Meja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI ALIYEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA PERU AONJA MACHUNGU YA JELA...

Mabinti hao, Melissa Reid na Michaella.Melissa Reid ameandika barua kutoka gerezani kwenda kwa wazazi wake katika Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake akiwaeleza 'niombeeni'.Melissa ambaye ametimiza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI WA KIKE ALIYEBAKWA NA KUNDI LA WANAUME 'ATOA KALI' HOSPITALINI...

Maandamano kulaani vitendo vya ubakaji.Mwandishi-mpigapicha ambaye alibakwa na kundi la wanaume watano mjini Mumbai amesema anataka kurejea kazini mapema iwezekanavyo.Akizungumza kutoka kwenye kitanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSICHANA ALIYEGEUZWA MTUMWA WA NGONO AANIKA 'UCHAFU' WA KANALI GADDAFI...

KUSHOTO: Kanali Muammar Gaddafi. KULIA: Tingatinga likibomoa makazi yake ya mjini Tripoli.Kanali Muammar Gaddafi aliamuru kutekwa kwa wasichana wa shule ambao baadaye walishikiliwa kama watumwa wa...

View Article
Browsing all 4571 articles
Browse latest View live