Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4571

CHEKA TARATIBU...

$
0
0
Baba mmoja alikuwa akila chakula na binti yake mezani. Mara simu ikaita na baba huyo kwenda nje kuongea.
Baada ya dakika chache baba akarejea mezani na bila kupoteza muda binti akamuuliza: "Eti baba, nikwambie kitu?" Baba kwa ukali akajibu: "Nilishakukataza kuongea wakati wa kula! Subiri kwanza tumalize!" Walipomaliza baba akampa nafasi binti naye akasema: "Ulipoenda kuongea na simu, basi nyau akakojolea chakula chako!!" Kasheshe...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4571

Trending Articles