WAZIRI WA ZAMANI AMGEUKIA MUNGU, SASA NI BABA ASKOFU KANISA LA UTAJIRISHO...
Kilontsi Mporogomyi.Mwanasiasa mkongwe nchini aliyepata kuwa Mbunge wa Kasulu Magharibi kwa miaka 10 na Naibu Waziri wa Fedha enzi za utawala wa Rais Benjamin Mkapa, baada ya kipindi kirefu cha ukimya,...
View ArticleWAPENDA AMANI WAJITOSA UTETEZI KESI YA MIZENGO PINDA...
Mizengo Pinda.Kamati ya Vijana Wapenda Amani Tanzania (VIWATA) keshokutwa itawasilisha maombi kwa Mwanasheria Mkuu, ya kupinga kesi aliyofunguliwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Kituo cha Sheria na Haki...
View ArticleNDEGE YAGEUZA NA KUREJEA UWANJA KUMCHUKUA BINTI WA MIAKA 11 ALIYEACHWA...
Ndege hiyo baada ya kurejea uwanjani hapo.Ndege ya shirika la ndege la Israeli - kwa msaada wa kila mmoja kwenye ndege hiyo - iligeuza ilikotoka kwenda kumchukua mgonjwa wa saratani mwenye umri wa...
View ArticleUCHUNGUZI MPYA WADAI PRINCESS DIANA ALIUAWA NA ASKARI WA UINGEREZA...
KUSHOTO: Princess Diana. KULIA: Gari walilopanda mara baada ya ajali hiyo. PICHA NDOGO: Dodi al Fayed.Polisi nchini Uingereza imesema juzi usiku ilikuwa ikikadiria kusadikika kwa taarifa mpya kuhusiana...
View ArticleMAJAMBAZI YAPORA MAMILIONI DAR NA KUMWAGA KWA WANANCHI...
Majambazi jana yalifanya onesho la aina yake jijini Dar es Salaam, baada ya kuporoa mamilioni katika kituo cha mafuta cha Lake Oil, Buguruni Malapa na kumwaga fedha hizo kwa wananchi maeneo ya Tazara,...
View ArticleVIONGOZI WA DINI SASA WAHOFIA MAISHA YA DK MWAKYEMBE...
Dk Harrison Mwakyembe.Baraza la Viongozi wa Dini la Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, limetaka Jeshi la Polisi kumpa ulinzi Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, kutokana wa ujasiri alioonesha...
View ArticleSHEKHE PONDA APELEKWA MAHAKAMANI KWA HELIKOPTA YA POLISI...
Helikopta ya Polisi.Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekhe Issa Ponda, amefutiwa mashitaka ya kuhamasisha vurugu yaliyokuwa yanamkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es...
View ArticleKUKU ASABABISHA SISTA KATOLIKI KUPIGWA NA KUVULIWA SHELA ZANZIBAR...
Kanisa la Minara Miwili, Unguja ambako Sista huyo na wenzake wanafanyia kazi.Watawa wa kike wa Shirika la Moyo Safi wa Maria, Mgolole, Morogoro, wanaofanya kazi katika Parokia ya Minara Miwili, Unguja,...
View ArticleMSAFARA WA MBIO ZA MWENGE WAPATA AJALI DODOMA...
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio hizo Kitaifa, Juma Ali Simai (kushoto) hivi karibuni. Simai na wenzake 9 wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo.Kiongozi wa...
View ArticleALIYEBAMBWA NA DAWA ZA KULEVYA 'AIRPORT' DAR APANDISHWA KIZIMBANI...
Edwin Monyo.Mtuhumiwa Edwin Monyo (39) anayedaiwa kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 68, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka...
View ArticleWATOTO 11 WAKAMATWA KWA BIASHARA YA NGONO SINGIDA...
Watoto 11 kutoka familia tofauti wamekamatwa mjini Singida, wakidaiwa kufanya vitendo vya ngono kwenye nyumba moja usiku wa kuamkia juzi.Kikundi cha ulinzi shirikishi jamii, ndicho kilikamata watoto...
View ArticleMBUNGE WA CHADEMA ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI...
Ezekiah Wenje.Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (Chadema) anashikiliwa na Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuchochea maandamano yasiyo na kibali.Wenje anadaiwa kuchochea maandamano hayo juzi kutoka...
View ArticleVIWANJA 7,800 VINAMILIKIWA NA WAMILIKI HEWA...
Kabwe Zitto.Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imebaini kuwapo wamiliki hewa wa viwanja 7,800 nchini, ambavyo vimetolewa na kupewa hati. Kutokana na upungufu huo, Kamati hiyo imemwagiza...
View ArticleASKOFU WA KKKT APINGA WACHAGGA KUZIKANA MAJUMBANI...
Dk Martin Shao.Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Dk Martin Shao, amekosoa utamaduni wa wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro, ambao wengi ni Wachaga, wa kuzikana...
View ArticleMKE WA LIYUMBA AMPANDISHA MUMEWE MAHAKAMANI...
Amatus Liyumba.Mke wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba, Aurelia Ngowi amefungua kesi ya madai akipinga mumewe kuuza mali za familia na kumfukuza kwenye...
View ArticleWAHUDUMU HOSPITALINI WADAIWA KUFANYA MAPENZI NA WAGONJWA NZEGA...
Watumishi wawili katika zahanati ya Mwanhala wilayani Nzega, wamekumbwa na kashfa ya kufanya mapenzi na wagonjwa hospitalini.Kutokana na kashfa hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Bitun Msangi, ameiagiza...
View Article