PAKA ATAFUNA NA KULA MWILI WA MMILIKI WAKE ALIYEFIA JIKONI...
Mwili huo uligunduliwa kwenye nyumba hiyo iliyoko kwenye mtaa huu (kulia).Mwili wa mpenda wanyama umetafunwa na kuliwa na paka wake mwenyewe baada ya kuwa amefariki nyumbani kwake akiwa peke yake,...
View ArticleMWANAMKE AJERUHIWA JICHO BAADA YA KULIPUKIWA NA SIMU YA iPHONE...
Simu ya iPhone 5.Mwanamke nchini China amedai amechubuka mboni ya jicho lake baada ya simu yake ya iPhone 5 kulipuka.Mtumiaji huyo wa simu, aliyetajwa kwa jina la ubini la Li kutoka Dalian, alisema...
View ArticleMSICHANA ABAKWA NA BABA YAKE MZAZI NA KUZAA NAYE WATOTO WATANO...
KUSHOTO: Aziza Kibibi akiwa amembeba mmoja wa watoto zake. KULIA: Aswad Ayinde.Aziza Kibibi alikuwa na umri wa miaka minane tu wakati baba yake - Mwongozaji wa Tuzo za muziki za MTV - alipoanza...
View ArticleMAWAZIRI NA WABUNGE WACHUNGUZWA KWA DAWA ZA KULEVYA....
Kamishna Godfrey Nzowa.Jeshi la Polisi, Kitengo cha Kupambana na Dawa za Kulevya, linazifanyia uchunguzi wa kina taarifa zinazotolewa na wadau mbalimbali za baadhi ya watu wakiwemo mawaziri, wabunge na...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AIBUKIA UWANJA WA NDEGE DAR SAA 10 ALFAJIRI...
Dk Harrison Mwakyembe.Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, ameanza kufanya ziara ya kushitukiza jana saa 10 alfajiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA),...
View ArticleSHEKHE PONDA ASOMEWA MASHITAKA AKIWA KITANDANI MOI...
Shekhe Ponda Issa Ponda.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilihamia kwa muda katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI), ambapo Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu,...
View ArticleBENJAMIN MKAPA 'AFAGILIA' UWEPO WA SHULE ZA SEKONDARI ZA KATA...
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa.Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amepongeza uwepo wa sekondari za kata na kuitaka Serikali isibadili mitaala na vitabu vya kiada kila mara.Amesema sekondari...
View ArticleMAJINA NA PICHA ZA WAUZA DAWA ZA KULEVYA SASA KUCHAPISHWA MAGAZETINI...
Msanii wa filamu Tanzania, Agnes Gerald 'Masogange' alikamatwa na dawa za kulevya Afrika Kusini hivi karibuni.Serikali imeamua kuanza kuchapisha magazetini picha na majina ya wahusika wa biashara ya...
View ArticleSHEKHE PONDA ATOKA MOI NA KUTUPWA GEREZANI SEGEREA...
Shekhe Ponda Issa Ponda akianza safari yake ya kuelekea Segerea ndani ya gari la Magereza jana.Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekhe Issa Ponda, ameruhusiwa kutoka hospitalini katika Taasisi...
View ArticleMTANZANIA ACHAGULIWA KATIBU MTENDAJI WA SADC...
Dk Stergomena Tax.Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax amechaguliwa kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC).Tax, ambaye anakuwa mwanamke...
View ArticleUDA 'KUMWAGA' MABASI YA WANAFUNZI MIKOANI...
Baadhi ya mabasi ya UDA.Wanafunzi wa mikoa mbalimbali nchini wataondokana na kero ya usafiri wa daladala baada ya kampuni ya UDA kuingiza magari 10 kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi ili kuwahi...
View ArticleMAWAZIRI SADC, MABALOZI WATEMBELEA ZIWA NYASA...
Wananchi wakiendelea na shughuli za uvuvi katika Ziwa Nyasa upande wa Tanzania.Mawaziri zaidi ya 25 na mabalozi kutoka nchi 14 wanaohudhuria Mkutano wa 33 ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini wa...
View ArticleMSICHANA ASIMULIA ALIVYOLAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MCHUNGAJI...
Mtandao wa Facebook ambamo shahidi huyo alidai kukutana na Mchungaji huyo.Shahidi wa tano katika kesi ya kutorosha wanafunzi inayomkabili Mchungaji wa Kanisa la TAG, raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya...
View ArticleMWAKYEMBE AWATAJA WALIOPITISHA 'UNGA' UWANJA WA NDEGE DAR...
Dk Harrison Mwakyembe (kulia). Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ametaja watu zaidi ya saba wanaodaiwa kula njama ya kupitisha dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleBASI LAPINDUKA LIKIWA NA ABIRIA WAPATAO 80 TABORA...
Hospitali ya Mkoa wa Tabora ya Kitete ambako majeruhi wamelazwa.Watu 28 wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Tabora ya Kitete huku wanne kati yao, hali zikiwa mbaya, kutokana na kujeruhiwa katika...
View Article