Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRITISH AIRWAYS YATUA KWA DHARURA BAADA YA KULIPUKA INJINI ANGANI...

KUSHOTO: Moshi ukifuka kwenye moja ya injini za ndege hiyo angani. KULIA: Mafundi wakiichunguza injini hiyo mara baada ya kutua Uwanja wa Heathrow.Abiria mmoja ameelezea jinsi 'moto mkubwa' ulivyokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI SHWARI MTWARA, WALIOKAMATWA SASA WAFIKIA 121...

Polisi wakidhibiti hali ya usalama Mtwara.Mji wa Mtwara ambao kwa siku mbili kuanzia Jumatano wiki hii uligubikwa na vurugu kubwa kiasi cha kuibua hofu ya usalama wa wakazi wake, imerejea katika hali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI ASHITAKIWA KWA KUIBA VIDHIBITI VYA DAWA ZA KULEVYA...

Paul Pozonsky.Jaji mmoja ameshitakiwa kwa kuiba dawa za kulevya aina ya cocaine za ushahidi katika kesi alizoziendesha nchini Marekani.Paul Pozonsky, mwenye miaka 57, alidaiwa kuficha dawa hizo baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MTOTO RAMA 'MLA VICHWA'...

Ramadhani Suleiman 'Rama mla kichwa' (kulia) na mama yake mzazi, Khadija (katikati) walipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza.Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemuachiwa huru Ramadhani Suleiman...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ALIYEZALIWA JELA AREJEA NA KUMTOA MAMA YAKE GEREZANI...

Kanhaiya Kumari (kushoto) akiwa na mama yake, Vijaya mara baada ya kuachiwa huyu.Mtoto mdogo wa kiume wa mwanamke ambaye amedhoofika kwenye jela kwa takribani miaka 20 nchini India kwa upungufu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA AFRIKA SASA WATANGAZA KUMTAMBUA RASMI MWALIMU NYERERE...

Hayati Mwalimu Nyerere.Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ni miongoni mwa Watanzania watatu wanaotarajiwa kutambuliwa na kuenziwa na Umoja wa Afrika (AU) rasmi kama Mwafrika Mashuhuri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LAUNDA KAMATI KUCHUNGUZA YA MTWARA...

Spika Anne Makinda.Spika Anne Makinda ameunda Kamati Maalumu ya Bunge kwenda kuzungumza na wananchi wa Mtwara kuhusu sakata la ujengwaji wa bomba la gesi asilia kutoka mkoani humo hadi Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANO WAFA AJALI YA BASI LA SUPER CHAMPION...

Kamanda David Misime.Watu watano wamekufa papo hapo na wengine sita wamejeruhiwa, watatu wakiwa katika hali mbaya baada ya basi la Super Champion kugongwa na lori la mafuta eneo la Silwa, barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Ili kumdhibiti mkewe, jamaa mmoja akabuni mtindo ambao aliamini kwamba ni dawa tosha. Kila siku anapokuwa kazini mida ya mchana lazima apige simu, na mambo yakawa hivi. Mume: "Uko wapi?" Mke: "Nipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YENYE ABIRIA 297 YASINDIKIZWA NA NDEGE ZA KIVITA BAADA YA TISHIO LA...

Ndege hiyo ya Shirika la Pakistan International Airlines baada ya kutua salama.Ndege za kivita za RAF zilipigania na kuingilia ndege iliyokuwa ikiwasili kutoka Pakistan juzi huku kukiwa na hofu za...

View Article

HILI NDILO BAO LA ARJEN ROBBEN LILILOIPA BAYERN MUNICH UBINGWA WA ULAYA 2013...

  Mabingwa wa soka nchini Ujerumani, Bayern Munich usiku wa kuamkia leo imetawazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwachapa Borussia Dortmund mabao 2-1 katika mechi ya fainali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI AJA KUHUBIRI INJILI TANZANIA...

Rais Pierre Nkurunziza.Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, anatarajiwa kuja nchini Agosti, kuhubiri Injili katika mkutano mkubwa wa Injili unaoandaliwa na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WAWAKA BUNGENI MJADALA WA SERA YA TAIFA YA ELIMU...

Kikao cha Bunge kikiendelea mjini Dodoma.Mjadala mkali umeibuka miongoni mwa wabunge wakati wa kujadili Sera ya Taifa ya Elimu na  Mafunzo iliyowasilishwa na Serikali baada ya kupinga tamko la kutaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKOSI MAALUMU CHAUNDWA KUPAMBANA NA WACHOCHEA VURUGU...

Advera Senso.Polisi imetangaza kwamba imeunda kikosi maalumu kutoka Makao Makuu kwenda mikoani kushirikiana na makamanda kukamata watu wanaotuhumiwa kuchochea vurugu ikiwemo kutumia ujumbe mfupi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Baada ya kumaliza maombi, Mchungaji akawaambia waumini wake wafumbe macho. Akainama na kuingiza mkono kwenye kapu la sadaka na kuiba pesa. Wakati akiinuka akakutana macho kwa macho na mzee mmoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA TIBAIJUKA KWENYE KITI MOTO BUNGENI LEO...

Profesa Anne Tibaijuka.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anne Tibaijuka, leo anawasilisha hotuba yake ya bajeti kwa mwaka ujao wa fedha huku akikabiliwa na kibarua kizito cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHOGA WA KWANZA WA KIISLAMU KUFUNGA NDOA WAOMBA HIFADHI YA KISIASA...

Mashoga hao wakifungishwa ndoa kwenye ofisi ya msajili nchini Uingereza.Wanawake wawili raia wa Pakistan wameweka historia kama Waislamu wa kwanza wa jinsia moja kufunga ndoa nchini Uingereza.Rehana...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live