TUME YA UCHAGUZI KUAMUA HATMA YA UANDIKISHAJI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ufafanuzi kuhusu suala la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapigakura na siku maalum ya kupiga kura.Amebainisha kuwa kutokana na hali ilivyo, Tume ya Taifa ya...
View ArticleMAHAKAMA YAAMURU MTUHUMIWA ESCROW AKAMATWE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni...
View ArticleBUNGE LATAKA WAHUNI WA MITANDAONI KUBANWA ZAIDI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo...
View ArticleSUMATRA YASISITIZA NAULI LAZIMA ZISHUKE
Siku chache baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kutaka uangaliwe uwezekano wa kushusha nauli za vyombo vya usafiri nchini, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA IJUMAA APRILI 3
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Ijumaa Aprili 3, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleMAJALIWA YA SHEKHE PONDA JULAI, HAKIMU WAKE ANALEA
Majaliwa ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Nchini , Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo ipo kwenye hatua ya utetezi itapatikana miezi mitatu ijayo.Hiyo inatokana na hakimu...
View ArticleKARDINALI PENGO KUONGOZA MISA YA IJUMAA KUU
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, anatarajiwa kuongoza misa ya Ijumaa Kuu, itakayofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jimboni humo.Wakristo wote...
View ArticleMWALIMU WA MADRASA ANASWA NA WATOTO 11
Mwalimu wa Madrasa, Alhaji Maulana Shiraz (71) wa Jumuiya za Wi’yatu LiQadria iliyoko kijiji cha Chikundi wilayani Masasi mkoa wa Mtwara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Masasi kwa tuhuma za...
View ArticleGWAJIMA KUHOJIWA TENA POLISI WIKI IJAYO
Mahojiano baina ya Jeshi la Polisi na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima yaliyokuwa yanatarajiwa kuendelea jana, ikiwa ni siku mbili baada ya kuachiwa kwa dhamana na jeshi hilo,...
View ArticleKURA YA MAONI YAAHIRISHWA HADI DAFTARI LA WAPIGAKURA LIKAMILIKE
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesogeza mbele kwa muda usiojulikana shughuli ya upigaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa.Awali, Watanzania walikuwa waipigie kura Katiba hiyo Aprili 30, mwaka...
View ArticleWAISHIO NJE YA NCHI KUTOPIGA KURA OKTOBA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi...
View ArticleASKOFU GWAJIMA AUKANA UTAJIRI WAKE
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama ni...
View ArticleHIVI NDIVYO MOTO ULIVYOTEKETEZA ABIRIA 18 AJALI YA BASI MOROGORO
Watu 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa...
View ArticleWATANZANIA HATARINI GHASIA ZA AFRIKA KUSINI
Watanzania wanaoishi Afrika Kusini, wako hatarini kutokana na vurugu zinazofanywa na wenyeji wa nchi hiyo, dhidi ya wananchi wengine wa asili ya Afrika wanaoishi nchini humo.Akizungumza na mwandishi...
View ArticleWACHIMBAJI WADOGO 19 WAFA KWA KUFUKIWA NA KIFUSI MGODINI
Wachimbaji wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu 'manyani', wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.Vifo hivyo vilitokana na...
View ArticleASKOFU GWAJIMA APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU
Hatimaye Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (45), amepanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka mawili, ikiwemo la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Askofu...
View ArticleHIVI NDIVYO ‘KIPANYA’ KILIVYOFYEKA WATU 20 MBEYA
Mshituko wa matukio ya mfululizo ya ajali, umeendelea kugubika nchi, baada ya watu 20 kupoteza maisha katika ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace, iliyotokea jana wilayani Rungwe mkoani Mbeya.Ajali...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA JUMAMOSI APRILI 18
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Jumamosi Aprili 18, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA JUMATANO APRILI 22
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Jumatano Aprili 22, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View Article