MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumko wa bei wa taifa kwa mwezi Februari umeongezeka hadi kufikia asilimia 4.2 kutoka asilimia 4.0.Mkurugenzi waSensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa NBS,...
View Article‘WAGANGA’ WALAANI MAUAJI YA ALBINO
Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania limelaani mauaji wanayofanyiwa walemavu wa ngozi, vikongwe na kunajisi watoto yanayofanyika kwa baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleBAAMEDI 700 WATUNUKIWA VYETI VYA KIMATAIFA
Kampuni ya bia ya Serengeti imewatunuku vyeti wahudumu wa baa 700, walioshiriki mafunzo ya kimataifa ya Diageo Master Academy (MBA), yaliyoandaliwa kwa ajili ya kuwapa wahudumu hao ujuzi wa kufanya...
View ArticleMTUHUMIWA FEDHA ZA ESCROW AJIKOROGA
Mkurugenzi Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk James Diu, amejichanganya mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuhusu matumizi halisi ya fedha alizozipokea kutoka kwa...
View ArticleMOTO WACHOMA MAKAZI YA WACHIMBAJI 3,500 MIRERANI
Moto mkubwa uliozuka usiku wa kuamkia jana katika machimbo ya madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara, umeteketeza kabisa makambi ya migodi 17, ikiwemo mitambo ya uchimbaji, na...
View ArticleMWANAFUNZI AHUSISHWA KUUA MWANAJESHI AMBONI
Wakazi 10 wa jijini hapa, akiwemo mwanafunzi wa sekondari wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wakikabiliwa na makosa matano tofauti kuhusu tukio la kuwanyang’anya polisi silaha pamoja na...
View ArticleLOUIS VAN GAAL CRITICISES ANGEL DI MARIA, HITS OUT AT PRESS AFTER FA CUP EXIT...
Louis van Gaal hit out at Angel Di Maria after the Argentinian was sent off for grabbing referee Michael Oliver's shirt in Manchester United's FA Cup quarter-final defeat to Arsenal. The Gunners set up...
View ArticleCUF YAFUNGA PAZIA LA WAGOMBEA UBUNGE, UDIWANI
Chama cha Wananchi (CUF) jana kilihitimisha zoezi la uchukuaji fomu za kuwania ubunge na udiwani.Akizungumzia zoezi hilo, Msemaji wa Chama hicho, Abdul Kambaya alisema mwisho wa kuchukua fomu kwa ajili...
View ArticleHIKI NDIO CHANZO CHA MBU ANAYELETA HOMA YA DENGUE
Asilimia kubwa ya mazalio ya mbu Aedes aliyeambukiza virusi vya Dengue katika jiji la Dar es Salaam mwaka jana, huzaliwa kwenye vyombo vya plastiki na matairi ya magari, utafiti umebaini.Aidha, kiwango...
View ArticleMWANAFUNZI WA CHUO KIKUU ASHINDA MILIONI 10 ZA MENGI
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Viana Mulokozi ameibuka mshindi wa Sh milioni 10 za shindano la 3N, linaloendeshwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Mengi.Licha ya Viana ambaye ni...
View ArticleMJAMZITO AFARIKI BAADA YA KUANGUKIWA NA MTI KOROGWE
Ndugu wawili akiwemo mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba, wamefariki dunia katika kijiji cha Zege kata ya Dindira wilayani Korogwe, wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa vibaya baada ya...
View ArticleBABA WA MTOTO ALBINO, WAGANGA 10 WATIWA MBARONI
Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu 17 wakiwemo waganga wa jadi 10 wakihusishwa na tukio la kikatili katika kijijini cha Kipeta, Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga ambako mtoto mlemavu wa...
View ArticleHIVI NDIVYO ZITTO ALIVYOTIMULIWA CHADEMA NA KUVULIWA UBUNGE
Hatima ya ubunge wa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), sasa iko njia panda.Hali hiyo inatokana na hatua ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatano Machi 11, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleUKWELI KUHUSU MTOTO WA FLORA MBASHA HUU HAPA
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Florence Mayala maarufu kama Flora Mbasha amekiri kuwa mtoto aliyejifungua hivi karibuni ni wa Emmanuel Mbasha (32) na kwamba bado anampenda mumewe huyo.Flora alidai hayo...
View ArticleBREAKING NEWS!!! ABIRIA WOTE WAHOFIWA KUFA AJALI YA BASI LA MAJINJA MAFINGA
Habari zilizotufikia zinasema kwamba watu wapatao zaidi ya 60 wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Changarawe, wilayani Mafinga,...
View ArticlePOLISI WAWAKAMATA WAPIGA RAMLI 225
Jeshi la Polisi nchini limesema limewakamata wapiga ramli 225 katika Mikoa ya Tabora, Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga Katavi, Rukwa na Kagera.Kati ya hao, 97 tayari wamefikishwa mahakamani kwa makosa...
View ArticlePADRI FEKI WA MOROGORO APANDISHWA KIZIMBANI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imempandisha kizimbani Josephat Asenga (47) mhasibu wa kujitegemea ambaye ni padri feki mkazi wa mtaa wa Lusanga, kwa mashitaka ya udanganyifu na kujifanya...
View ArticleUFISADI MWINGINE WA MILIONI 700 WIZARA YA NISHATI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini...
View ArticleWASOMI WAIPIGIA MAGOTI CHADEMA IMSAMEHE ZITTO
Wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa nchini, wamekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumsamehe Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto kwa kuwa bado anahitajika kujenga chama...
View Article