Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPELELEZI KESI YA LWAKATARE NA MWENZAKE BADO KUKAMILIKA

Upelelezi wa kesi ya kula njama ya kudhuru kwa sumu, inayomkabili Mkurugenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilfred Lwakatare na mwenzake bado haujakamilika.Wakili wa Serikali Genes...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAKIRI ‘MADUDU’ KATIKA MFUMO WA KUUZA LUKU

Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme nchini (TANESCO), limekiri kuwepo na matatizo ya mfumo wa kununua Luku, ulioanza Ijumaa jioni wiki iliyopita  hadi jana na kuwa matatizo hayo yanatokana na mfumo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE NA MUME WASOTA RUMANDE KWA KUMWOZESHA BINTI WA MIAKA 10

Mke na Mume wanaotuhumiwa kumuoza binti wa miaka 10 jana walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini huku Mahakama ikifunga dhamana yao hadi kesi hiyo itakapomalizika.Washtakiwa hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAUAJI WA ALBINO SASA WATANGAZIWA HALI YA HATARI

Rais Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo  uvamizi wa vituo vya Polisi,  uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VILIO, SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA KAPTENI KOMBA

Rais  Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMIBIAN PRESIDENT WINS $5M MO IBRAHIM AFRICAN LEADERSHIP PRIZE

Outgoing Namibian President Hifikepunye Pohamba has won the Mo Ibrahim Foundation’s $5 million African leadership prize, an award that recognizes good governance and has been given just five times in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATATU

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatatu Machi 3, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

12 THINGS ISABEL DOS SANTOS HAS THAT YOU DO NOT

Let’s start by listing the one thing she has and that you will never have, which has allowed her to have everything else on this list. Isabel dos Santos is the daughter of a president, the first known...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 BREAKFAST FOODS THAT BOOST YOUR METABOLISM ALL DAY

We all love to blame our weight on a slow metabolism, and want to boost ours, but what is metabolism anyway? Metabolism is the process by which your body converts what you eat and drink into energy....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

12 CLUBS THAT COULD WIN THE 2015 CAF CHAMPIONS LEAGUE

In two weeks, the First Round of the 2015 CAF Champions League will be played. Thirty-two teams from all around Africa will take part, and we at AFKSports have compiled a slideshow of 12 teams we...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 WAYS PATRICE LUMUMBA PAID FOR HIS BELIEFS

Patrice Lumumba was the first prime minister of the Republic of Congo and is credited with making great strides to free the region from Belgian colonization. Many of his tactics were questioned and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC YAMALIZANA NA MAKOCHA WAKE

Uongozi wa Azam FC umesema umemalizana na makocha wake Joseph Omog (pichani) na Ibrahim Shikanda na wako huru kuondoka muda wowote kwani hawana wanachodai.Akizungumza na mwandishi, Meneja wa Azam FC,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASITISHA TIKETI ZA KIELEKTRONIKI UWANJA WA TAIFA

Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa.Kwa mujibu wa taarifa za Shirikisho la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA YATUNGWA KUDHIBITI OMBAOMBA

Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam inakusudia kutunga sheria kadhaa ndogo, ikiwemo ya kudhibiti ombaomba na uendeshaji wa soko la samaki Feri.Sheria nyingine zinazotarajiwa kutungwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANO KORTINI KWA KUMDHALILISHA ASKARI POLISI

Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike  na kumsababishia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAITI WATATU WENYE MAJERAHA WATELEKEZWA MJOHORONI

Watu watatu  wanaume wasiofahamika, wamekutwa wamekufa na kutelekezwa maeneo ya Mjohoroni wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, huku miili yao ikionesha majeraha maeneo tofauti pamoja na kuvuja damu nyingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBARONI KWA KUUA WAZEE WATATU KWA MADAI WANAZUIA MVUA

Watu wanne akiwemo Mwenyekiti wa Kijiji cha Ihanda na wazee wawili wakimila wa kijiji  hicho wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kuhusu kuuawa kwa  wazee wawili mtu na mkewe.Kauli hiyo ilitolewa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMA YATAHADHARISHA UKAME MWAKA HUU

Hali ya ukame inatarajiwa kukabili nchi kutokana na upungufu wa mvua utakaoathiri pia upatikanaji wa nishati ya umeme. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imehadharisha juu ya hali hiyo na kutaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI YA MAFUTA YAENDELEA KUPOROMOKA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kuendelea kushuka kwa bei ya mafuta bei ambazo zinaanza kutumika Jumatano hii.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMWAGA CHOZI MAZIKO YA KAPTENI KOMBA

Rais Jakaya Kikwete jana alishindwa kujizuia kutoa machozi, wakati mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi wilaya ya Nyasa mkoa wa  Ruvuma,  Kapteni John Komba ukishushwa kaburini,  kwenye maziko...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live