Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4550 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGEVITA YA JWTZ YAANGUKA NA KUTEKETEA MWANZA

Ndegevita ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),  iliyokuwa katika mazoezi, imeanguka na kuteketea moto huku rubani wake akiumia wakati akijiokoa katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza.Taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOBE 250 WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR

Kobe wadogo 250, wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakiwa njiani kusafirishwa kwa njia ya magendo kwenda Malaysia.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIVUKO CHA DAR-BAGAMOYO KUTUMIA MASAA MAWILI TU KWA SAFARI

Kivuko cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMA YA WANAOSAKA URAIS WA CCM LEO

Kamati Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumamosi Februari 28, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO, AZAM KIBARUANI LEO

Yanga imeingia raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 2-1 na BDF XI ya Botswana katika mechi ya marudiano ya raundi ya awali usiku wa kuamkia leo mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CELEBRITIES WITHOUT MAKEUP

KATE MOSS: Many celebrities look gorgeous on the red carpet, but it is important to not forget that they have multiple makeup artists at their disposal to give them a quick touch up at a moments...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

12 THINGS YOU DIDN’T KNOW ABOUT DOCTORS WITHOUT BORDERS IN AFRICA

As our hearts go out to Paris and France, recently attacked by anti-Semitic hijackers of Islam and the world, it’s comforting to honor a French-born organization that helps heal the world.During the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS!!! KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema kwamba Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni mstaafu John Damian Komba amefariki dunia.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, Kapteni Komba amefariki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUIS SUAREZ STARS AS BARCELONA CLOSE GAP ON REAL MADRID

Luis Suarez capped a fine week with another goal as Barcelona moved to within a point of Real Madridwith a 3-1 victory at Granada in La Liga. Suarez, who struck twice in the midweek triumph over...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAYNE ROONEY BRACE DOWNS SUNDERLAND

Wayne Rooney grabbed a brace to help Manchester United bag all three points at Old Trafford but there was controversy in the second half as referee Roger East sent off Wes...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EL MERREIKH YAIFUNGASHA VIRAGO AZAM, KMKM NAYO NJE

Safari ya timu ya soka ya Azam FC kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imefikia kikomo baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 mbele ya vijana wa El Merreikh ya Sudan katika mechi iliyomalizika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAIDO BERAHINO STUNNER GIVES WEST BROM 1-0 WIN OVER LETHARGIC SOUTHAMPTON

West Brom moved eight points clear of the relegation zone thanks to Saido Berahino’s outstanding volley in the opening moments of their 1-0 win over Southampton. With just over a minute played, Craig...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAWARARUA MAAFANDE WA PRISONS 5-0

Timuya Simba leo jioni ilitoa kipigo kikali kwa Prisons ya Mbeya kwa kuibugiza mabao 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Ushindi huo mnono wa Simba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA DINI KUCHUNGUZWA MIENENDO YA UTUME WAO

Serikali imetakiwa ichunguze viongozi wa madhehebu ya dini ya Kikristo na Kiislamu nchini, ili ijiridhishe na mienendo ya utume wao wa kuhubiri injili na sala kwa wananchi.Lengo la uchunguzi huo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO MAUTI YALIVYOMKUTA KAPTENI JOHN KOMBA

Ni huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIBAIJUKA, CHENGE, NGELEJA WASIMAMISHWA CCM

Kamati Kuu ya CCM (CC) imewasimamisha uongozi wa vikao vya chama, vigogo watatu wa chama hicho, akiwemo Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumapili Machi 1, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OIL & GAS AFRICA: DISPUTES SIMMER OVER EXPLORATION RIGHTS IN EASTERN AFRICA

The discovery of large reserves of oil and gas has raised the profile of eastern Africa countries, with the potential of joining world’s energy producers. But  the new found reserves have brought a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZARA SASA KUSUKWA UPYA KIMFUMO NA UTENDAJI

Serikali ya Tanzania na Zambia zimekubali kulisuka upya Shirika la Reli la nchi hizo (Tazara), kwa kufanya marekebisho ya kimfumo na kiutendaji ili kutatua matatizo ya kimuundo na kimenejimenti...

View Article
Browsing all 4550 articles
Browse latest View live