MAPACHA WALIOUNGANA KUINGIA KIDATO CHA TANO
Mapacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18), wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe, wamefaulu mtihani wao wa kuhitimu kidato cha nne kwa alama sawa isipokuwa masomo...
View ArticleMAMBO MAGUMU KWA NGELEJA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI
Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwamba, aliomba na kupokea Sh milioni 40.4 kutoka kwa James Rugemalira, kwa kujitetea alifanya hivyo kama...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatano Machi 4, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleHOW TO FIND AND KEEP GREAT EMPLOYEES IN AFRICA
Africa will be a $29 trillion economy by 2050, according to Renaissance Capital chief economist Charles Robertson. With a landscape evolving that welcomes entrepreneurs and foreign investment, people...
View Article12 LESSER-KNOWN AFRICAN MILITIA GROUPS
Since colonization of Africa, armed militias of all stripes – Christian, Muslim, and secular opportunist – have become part of the landscape, thriving wherever there is high unemployment and poverty....
View ArticleRENEWABLE ENERGY FIRMS FIND BOON IN POISONOUS WEED
U.S. and African energy investors have found a way to capitalize on a poisonous plant that was introduced into Kenya in the ’80s from South America to stop desertification. Over the decades the...
View ArticleWHAT COUNTRIES SHOULD OBAMA VISIT ON HIS NEXT TRIP TO AFRICA?
Since becoming president of the United States, Barack Obama has visited five African countries: Ghana, Egypt, Senegal, Tanzania, and South Africa.Many felt that, under Obama’s presidency, America was...
View ArticleKOREA KUSINI KUTOA FEDHA ZA DARAJA JIPYA SELANDER
Serikali ya Jamhuri ya Korea ya Kusini hatimaye imekubali kutoa fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa daraja jipya la kisasa la Selander.Korea imekubali kutoa mkopo wa fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa...
View ArticleSUMATRA YAANZA MCHAKATO KUREKEBISHA NAULI ZA MABASI
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imeanza mchakato wa mapitio ya viwango vya nauli za mabasi.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA, mapitio...
View ArticleKILA MTANZANIA KUPATIWA KITAMBULISHO CHA URAIA
Serikali imeahidi kumpatia kila Mtanzania kitambulisho cha uraia mwaka huu. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima alisema hayo mjini Dar es Salaam wakati alipokuwa akifungua kikao...
View ArticleADAI HAJUI SABABU ZA RUGEMALILA KUMPATIA MAMILIONI
Mnikulu Shaban Gurumo amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kwamba alipokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa James Rugemalira na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi, ingawa amekanusha...
View ArticleZITTO AMSHAMBULIA NGELEJA KUMCHONGEA TUME YA MAADILI
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na...
View ArticleBIBI ASIMULIA MVUA ILIVYOUA WAJUKUU ZAKE WANNE NA WENGINE 38 KAHAMA
Maafa makubwa yameikumba Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya watu 42 kufa papo hapo na wengine 82 kujeruhiwa, kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha katika...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatano Machi 5, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleAZAM TV YAZINDUA STUDIO ZA KISASA
Rais Jakaya Kikwete leo atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela. Akizungumza na...
View ArticleWANAJESHI WALIOHUKUMIWA KIFO WAKATA RUFAA
Wanajeshi wawili waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Swetu Fundikira ambaye ni mtoto wa ndugu wa marehemu Chifu Abdallah Fundikira, wamekata rufaa kupinga adhabu...
View ArticleCCM YATANGAZA KUWATOSA WALARUSHWA, WAJENGA MAKUNDI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amezitaka kamati za siasa za wilaya na mkoa za chama hicho, kutowapitisha wagombea wa chama hicho wanaotumia rushwa, kujenga makundi ndani...
View ArticleVIGOGO WA ESCROW WASITISHA BARAZA LA MAADILI
Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, limesitisha kusikiliza mashauri mawili likiwemo la Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko (pichani) hadi pale Mahakama...
View ArticleSOUTH AFRICA TEACHES WORST MATHS IN THE WORLD
South Africa was ranked last out of 148 countries by the World Economic Forum on the quality of its maths and science education, undermining the growth potential of the continent’s second-largest...
View ArticleALIOU CISSE ANNOUNCED AS SENEGAL TEAM COACH
Former Senegal captain Aliou Cisse has been named as the new national team coach for his native country, according to the Senegal Football Federation. Cisse comes into the coaching position following...
View Article