‘MAGAIDI’ WATIWA MBARONI TANGA, MWILI WA ASKARI ALIYEUAWA WAAGWA
Serikali imetoa taarifa rasmi kuhusu uhalifu uliotikisa mkoani Tanga, ikisema hali ni shwari na umma wa Watanzania upuuze taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikitia hofu. Aidha, imesema...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMANNE
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumanne Februari 17, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleUNITED SURVIVE PRESTON SCARE TO BOOK ARSENAL SHOWDOWN
Manchester United came from behind at Deepdale to beat Preston North End 3-1 and set up a quarter-final clash with Arsenal. Trailing midway through the second half, two goals in seven minutes from...
View Article12 AFRICAN PLAYERS TO KEEP AN EYE ON IN THE UEFA CHAMPIONS LEAGUE ROUND OF 16
After a lengthy break, the UEFA Champions League returns to action this weekend. AFKSports provides you with a slideshow of twelve African players to keep an eye on in these knockout stages.1. Aymen...
View ArticleWHO’S MAKING IT HARDER, EASIER FOR TOURISTS IN AFRICA?
While South Africa makes life harder for visitors with strict new immigration laws set to go into effect in June, other sub-Saharan countries are doing the opposite, according to a report in...
View ArticleLOCAL NAMIBIANS PLAN MASS LAND GRAB DEMONSTRATION
The leader of a group of land occupiers in Swakopmund, Namibia, said on Monday they would continue their efforts, despite having been arrested over the weekend.“As we started on Saturday erecting our...
View ArticleTANZANIAN ALBINO TODDLER SEIZED IN FEARED WITCHCRAFT ATTACK
An albino toddler has been kidnapped in northern Tanzania, police said, raising fears he may be killed and his body parts used for witchcraft.Unknown attackers broke into the house and slashed the...
View ArticleMADEREVA WA UDA WAPINGA UTARATIBU WA KUWAACHISHA KAZI
Madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) wamelalamikia shirika hilo kuwapunguza kazini hivi karibuni bila kufuata utaratibu unaofaa, ikiwa ni pamoja na mchanganuo wa malipo yao.Wakizungumza...
View ArticleSUMATRA YAZUIA VYOMBO VYA USAFIRI WA MAJINI
Mamlaka ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imevizuia kutoa huduma kwa muda usiojulikana vyombo vyote vya usafirishaji wa majini vya mkoani hapa hadi hapo vitakapokaguliwa.Ofisa Mfawidhi...
View ArticleMAMA WA MTOTO ALBINO ASIMULIA JINSI ALIVYOJERUHIWA
Mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yojana Bahati (1), Ester Thomas aliyelazwa katika hospitali ya Bugando akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa, ameelezea jinsi alivyovamiwa na watu...
View ArticleWAMACHINGA WATAJIRISHA WATU, JANGWANI KUGEUZWA GULIO
Wakati serikali ikianza kutafuta suluhisho la kudumu la matatizo wafanyabiashara ndogo, mama lishe kuhusu upatikanaji wa maeneo, imebainika kuwapo mchezo ‘mchafu’ wa wafanyabiashara wakubwa kutumia...
View ArticleBUNDUKI ILIYOPORWA NA ‘MAGAIDI’ TANGA YAPATIKANA
Polisi mkoani Tanga imesema imefanikiwa kupata bunduki aina ya SMG, ikiwa na risasi 20 ndani ya mapango ya Majimoto katika eneo la Amboni, inayodaiwa ilikuwa ikitumiwa na wahalifu waliorushiana risasi...
View Article15 HOLIDAY FOODS THAT ARE UNHEALHTIER THAN YOU THOUGHT
Try as you might to stick to “just one bite” or “only a sliver” of these holiday favorites, even a tiny morsel of the stuff is packed with fat and calories. Here are 15 holiday foods that are...
View ArticleBREAKING NEWS!!! MTOTO ALBINO ALIYETEKWA AOKOTWA AKIWA AMEKUFA MSITUNI
Mwili wa mtoto Yojana Bahati (1) ambaye ana ulemavu wa ngozi (albino) umeokotwa msituni katika kijiji cha Ilelema.Mtoto huyo alitekwa nyara juzi nyakati za usiku na watu wasiojulikana mkoani Geita...
View ArticleWATAKA SUMATRA IBANWE IPUNGUZE NAULI
Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimewaomba Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sita kuingilia kati na kuagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), isikilize kilio cha...
View ArticleKIWANDA CHA U-FRESH RUKSA KUZALISHA JUISI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekiruhusu kiwanda cha U-Fresh Food Limited cha Tegeta, Dar es Salaam, kiendelee kuzalisha juisi ya U-Fresh, kwa kuwa kimetimiza masharti ya viwango vya ubora vya...
View ArticleASHITAKIWA KWA KUNAJISI MTOTO WA MIAKA MINNE
Mkazi wa Bangulo Hali ya Hewa, Baraka Benson (30) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka minne.Benson alifikishwa mahakamani...
View ArticleCUF YAZOA WANACHAMA WAPYA 891 LINDI
Chama cha Wananchi (CUF) mjini Lindi kimepata wanachama wapya kutoka CCM wapatao 891 kuanzia mwezi Desemba mwaka jana hadi Februari mwaka huu.Katibu wa chama hicho mjini hapa, Rashidi Ndauka alisema...
View ArticleKORTINI KWA TUHUMA YA KUMSHIKA MATITI MWANAMKE
Mchumi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Brown Kajange (42) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu mashitaka mawili, likiwamo la shambulio la aibu kwa kumshika matiti...
View ArticleSUMATRA YASEMA NAULI ZA MABASI HAZIBADILISHWA
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa...
View Article