LA LIGA: LIONEL MESSI SCORES HAT-TRICK AS BARCELONA PUT FIVE PAST LEVANTE
Lionel Messi bagged a hat-trick, with Luis Suarez coming off the bench to score a stunning scissor volley, as Barcelona thumped Levante 5-0 to close the gap on Real Madrid to just one point.Luis...
View ArticleFA CUP: OLIVIER GIROUD DOUBLE PUTS ARSENAL INTO QUARTER-FINALS
Arsenalsauntered into the quarter-finals of the FA Cup courtesy of an Olivier Giroud brace in a 2-0 win over Middlesbroughat Emirates Stadium. The Gunners controlled proceedings from start to finish,...
View ArticleKMKM YAJIWEKA PABAYA KLABU BINGWA AFRIKA
Mabingwa watetezi wa Zanzibar, KMKM imeanza vibaya kampeni yake ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 mbele ya mabingwa wa Sudan, Al Hilal katika mpambano...
View ArticleWALIOFAULU LA SABA WATAKIWA KURIPOTI KABLA YA MACHI 28
Serikali imeagiza wakuu wote wa mikoa, kuweka mikakati ya kuhakikisha watoto wote waliofaulu mitihani ya darasa la saba, wanajiunga na shule za sekondari katika kipindi hiki kabla ya Machi 28 mwaka...
View ArticleCCM YAKANA KUANDAA MGOMBEA UBUNGE ARUSHA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, imesema chama hicho hakina mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyeandaliwa hadi sasa.Kimesema mgombea mwenye sifa za kulikomboa jimbo hilo, ambalo...
View ArticleSHULE ZA VIPAJI ZASHINDWA KUFURUKUTA KIDATO CHA NNE
Shule za sekondari za Serikali zinazochukua watoto wenye vipaji, zimeshindwa kung'aa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2014 huku shule ya Ilboru ya mjini Arusha ikiwa ni shule ya kwanza ya Serikali na...
View ArticleWAHITIMU JKT KUANDAMANA IKULU KUDAI AJIRA JUMATATU IJAYO
Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wanatarajia kufanya maandamano ya siku tatu mfululizo usiku na mchana jijini Dar es Salaam kuanzia Jumatatu ijayo, kushinikiza kuonana na...
View ArticleDAWA ZILIZOPIGWA MARUFUKU ZAZAGAA MITAANI
Licha ya Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA) kufuta usajili na kupiga marufuku uuzaji wa dawa duni, zenye madhara na zisizofaa kwa matumizi ya binadamu, dawa hizo zimegundulika kuuzwa holela na...
View ArticleCUF WAITIKISA UKAWA, YATANGAZA LIPUMBA KUWANIA URAIS
Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, kuwa ni mmoja kati ya wanachama wa chama hicho, atakayewania nafasi ya Urais.Pia chama hicho, kimetoa...
View ArticleMAPAMBANO MAKALI YAENDELEA KUWASAKA ‘AL SHABAAB’ TANGA
Kutokana na wahalifu waliopambana jana na polisi na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kutokamatwa, hali ya wasiwasi imeendelea miongoni mwa wakazi wa mjini hapa.Sasa wananchi hao wameiomba Polisi kutoa tamko,...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATATU
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatatu Februari 16, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha...
View ArticleCELEBRITIES WITHOUT MAKEUP
TYRA BANKS: Many celebrities look gorgeous on the red carpet, but it is important to not forget that they have multiple makeup artists at their disposal to give them a quick touch up at a moments...
View ArticleCOTE D’IVORE VETERAN KOLO TOURE RETIRES FROM INTERNATIONAL FOOTBALL
Cote D’Ivoire have lost the services of a long time servant and experienced defender, Kolo Toure, following the Liverpool player’s decision to retire from the Ivorian national team after their 2015...
View ArticleINCUBATORS: WHO NEEDS THEM AND HOW SUCCESSFUL ARE THEY?
Incubators have been exploding across the African continent over the last decade, aiming to maximize economic opportunity, especially for youth, where traditional employment has become less and less...
View ArticleANASWA AKIWA NA LUNDO LA VYETI FEKI
Mtu anayetuhumiwa kwa utapeli, amekamatwa wilayani Hanang’ mkoani Manyara akidaiwa kuwa na vyeti bandia vitatu vya ajira tofauti akidai ni mwalimu, ofisa mifugo na polisi. Mtuhumiwa huyo, Hamis Yusufu...
View ArticleAJIRA 40,735 ZAZALISHWA MIEZI MITATU
Ajira 40,735 zimezalishwa ndani ya miezi mitatu kuanzia Oktoba hadi Desemba mwaka jana na kufanya jumla ya ajira 173,787 kupatikana kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba mwaka jana....
View ArticleBUZWAGI KUSITISHA UCHIMBAJI WA DHAHABU
Kampuni ya Acacia inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi mkoani Shinyanga, imesema ndani ya miaka miwili, itasitisha shughuli za uchimbaji na uzalishaji madini hayo, kutokana na soko kuzidi kushuka....
View ArticleULINZI MKALI KESI YA WAFUASI WA UAMSHO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, iliimarisha ulinzi wakati kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed...
View ArticleMWANAFUNZI WA MIAKA 13 ATAWAZWA CHIFU WA WAHEHE
Mwanafunzi wa Darasa la Saba, Adam Abdul Sapi (13) ametawazwa kuwa Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, aliyefariki na kuzikwa mkoani Iringa. Rais Jakaya Kikwete alishiriki maziko ya...
View ArticleBOSI MAMLAKA YA BANDARI ASIMAMISHWA KAZI
Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande kutokana na kile kilichoelezwa kuwa uendeshaji mbovu wa utoaji wa zabuni.Aidha,...
View Article