Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI, JWTZ WAPONGEZWA KAZI NZURI TANGA

Baadhi ya wakazi wa jijini Tanga wamepongeza hatua ya awali iliyofikiwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na JWTZ kwenye operesheni maalumu ya kusaka wahalifu pamoja na silaha waliokuwa wamejifisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJIJI CHAUNGANISHWA NA UMEME WA KUTUMIA KUNI

Wakazi wa kijiji cha  Uchindile wilayani Ifakara mkoani Morogoro wamepata umeme unaozalishwa kwa kutumia kuni baada ya kuzinduliwa kwa mtambo wa 10kW uliotolewa na kampuni ya kimataifa ya Camco Clean...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI ZILIZOHUSISHA KEMIKALI ZAUA WATU 14

Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), umesema mwaka jana kumetokea matukio ya ajali za kemikali 11 zilizosababisha vifo vya watu zaidi ya 14 na uharibifu wa tani zaidi ya 250 za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JKT YAWASUTA WAHITIMU WANAOTAKA KUANDAMANA

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana waliomaliza katika jeshi hilo, kutambua kuwa walikula kiapo cha utii wakati wa kuhitimu mafunzo, hivyo suala la kuandamana ni kinyume na kiapo chao....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA MZAZI WA MTOTO ALBINO ALIYEUAWA GEITA ATIWA MBARONI

Mtoto Yohana Bahati mwenye ulemavu wa ngozi (albino), aliyetekwa katika Kijiji cha Ilelema wilayani Chato katika Mkoa wa Geita,  mwili wake umekutwa ukiwa umefukiwa huku umenyofolewa miguu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA NA WALIOTEMWA

Rais  Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya kwa kutengua uteuzi wa wakuu wa wilaya 12, kuteua wapya 27 na wengine 64 kubadilishwa vituo vyao. Wakuu wa wilaya 42 ndiyo pekee wameendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OIL PRICES, TERRORISM, AND NIGERIA’S PRESIDENTIAL ELECTION

Democracy has had a relatively strong year-to-date in Africa. Successful transitions in Arab Spring hot spots — Tunisia and Egypt — coupled with a smooth succession of leadership in Mozambique provided...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE 15 BEST WILDLIFE PARKS IN EAST AFRICA

East Africa sees a huge number of tourists, and for good reason. It’s got relatively good infrastructure, political stability, pricing for all budgets, and is connected internationally with hubs like...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 THINGS YOU SHOULD KNOW ABOUT RWANDA

Though Rwanda was once racked by violence and sorrow, today it is a land rich in geographical anomalies, stunning wildlife, and remarkably resilient people. Here are 10 facts about Rwanda, from the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAPAN YAJITOSA TATIZO LA KUKATIKAKATIKA UMEME DAR

Tatizo la kukatika kwa umeme katika Jiji la Dar es Salaam litakwisha baada ya Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo la JICA kutoa msaada wa zaidi ya  Sh  bilioni 66, kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPAA MSOFE ASHINDWA KUTOKEA MAHAKAMANI

Mfanyabiashara mashuhuri, Marijan Abubakar maarufu kama Papaa Msofe (50) anayekabiliwa na kesi ya mauaji, ameshindwa kufika mahakamani kwa kuwa anaumwa.Kesi hiyo ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RITA YAANZA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KINONDONI

Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), unategemea kuanza rasmi mkakati wa kuwasajili na kuwapa vyeti vya kuzaliwa wanafunzi wa shule za msingi za Manispaa ya Kinondoni na mpango huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMUUA MGONI WA MUMEWE KWA KUMCHOMA MOTO

Mkazi wa kijiji cha Ibosa, kata ya Nyakato, Bukoba Vijijini, Amelia Richard (50) anatuhumiwa kumuua mwanamke mwenzake kwa kummwagia mafuta ya taa na kumchoma moto baada ya kumfumania na mumewe. Kamanda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA BASI YAUA ABIRIA WAWILI NA KUJERUHI WENGINE 45

Watu wawili wamekufa papo hapo huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na lori katika kijiji cha Vikonje wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKILISHI KWA TIKETI YA CCM AFARIKI DUNIA GHAFLA

Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni kwa tiketi ya (CCM), Salmin Awadh Salmin (57) amefariki ghafla akiwa katika eneo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui ambapo alikuwa katika shughuli zake za kawaida za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFA WAKICHOTA PETROLI KWENYE LORI LILILOPINDUKA

Takribani miaka 15 imepita tangu ilipotokea ajali  katika kijiji cha Idweli wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, iliyosababisha vifo vya watu walioungua wakichota petroli  kwenye gari lililopinduka.Hata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AGEUKA MBOGO WANAOBEZA UTEUZI WAKE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema wanaobeza uwezo wake kiutendaji baada ya kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo, wasubiri waone atakavyokuwa. Aidha, ameweka wazi kile...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALBINO 76 WAUAWA KIKATILI, WANASIASA WATAJWA KUHUSIKA

Wanasiasa wamenyooshewa vidole, wakihusishwa na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi baada ya matukio hayo kuhusishwa na harakati za kuelekea katika uchaguzi mkuu.Vyama vya watu wenye ulemavu pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Ijumaa Februari 20, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

12 AFRICAN COUNTRIES THAT SCORE HIGHEST FOR FREEDOM OF PRESS

A free press always has a positive influence on the economy and on governance, according to findings in a UNESCO report. It expands participation in political decision making beyond a small inner...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live