UPELELEZI KESI YA WAFUASI WA CUF BADO KUKAMILIKA
Upelelezi wa kesi ya kutotii amri halali ya polisi na kufanya mkusanyiko usio halali inayowakabili wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) haujakamilika.Wakili wa Serikali Joseph Maugo alidai hayo jana...
View ArticleALAMA UFAULU ZATESA WAMILIKI SHULE BINAFSI
Siku chache baada ya Serikali kusema itazifutia usajili shule zitakazokaidi agizo la kuweka viwango maalumu na tofauti vya ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine, wadau wa elimu wamezungumza na...
View ArticleASKARI APIGWA CHUPA USONI ‘VITA’ KATI YA POLISI, BODABODA DAR
Askari wa Jeshi la Polisi amejeruhiwa na madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda katika fujo zilizoibuka juzi jioni katika eneo la Mzinga, Kongowe Mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam katika...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Ijumaa Februari 13, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View Article17 THINGS YOU DIDN’T KNOW ABOUT CLEOPATRA
She was born 69 B.C. and died 30 B.C. and 2,083 years later, we still want to be her. You still see Cleopatra costumes — a sign that the ancient Egyptian queen’s got staying power in the human psyche....
View ArticleYANGA YAANZA KWA KISHINDO, YAICHAPA BDF XI MABAO 2-0
Yanga imeanza vema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga BDF X1 ya Botswana mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya awali ya michuano hiyo.Matokeo hayo yanaifanya Yanga ijiweke...
View ArticleKAMPUNI YA KUSAMBAZA MABATI YAFUNGIWA DAR
Kampuni ya usambazaji na uuzaji mabati Afrika Mashariki, Uni Metal East Africa Limited ya Dar es Salaam, imezuiwa isiuze wala kusambaza mabati, kwa muda usiojulikana, kwa sababu hayana ubora.Sambamba...
View ArticleHUKUMU KUHUSU MWILI UNAOGOMBEWA JUMATATU
Hukumu kuhusu ni familia ipi inayostahili kuuzika mwili wa mwanamke Esther Hoseya unaogombaniwa na familia mbili, itatolewa Jumatatu.Hii ni baada ya Mahakama ya Wilaya ya Bunda kuahirisha kesi hiyo kwa...
View Article‘AL SHABAAB’ WAJERUHI WANAJESHI WANNE TANGA, MAPAMBANO YADUMU DAKIKA 15
Askari sita wakiwemo wanne wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamejeruhiwa vibaya kwa risasi wakati wa mapigano baina yao na watu wanaodhaniwa kuwa ni wahalifu wakati wa Msako Maalum wa kutafuta...
View ArticleARJEN ROBBEN MAGNIFICENT AS BAYERN SMASH 8-0 PAST HAMBURG
Bayern Munich turned on the style to put eight goals past a hapless Hamburg at the Allianz Arena. Hamburg had a goal ruled out inside the first two minutes before a Thomas Mueller penalty put the home...
View ArticleFA CUP: LALLANA NETS WINNER AS LIVERPOOL RECOVER TO OUST PALACE
Adam Lallana scored the winning goal as Liverpoolcame from behind to win at Crystal Palace and book their place in the quarter-finals of the FA Cup. Liverpool enjoyed the best of the early exchanges...
View ArticleCELEBRITIES WITHOUT MAKEUP
KHLOE KARDASHIAN: Many celebrities look gorgeous on the red carpet, but it is important to not forget that they have multiple makeup artists at their disposal to give them a quick touch up at a moments...
View ArticleNAIROBI NAMED AFRICA’S MOST INTELLIGENT CITY
For a second year in a row, Kenya’s busy capital city of Nairobi has been named the most intelligent city in Africa — failing, however, to make it to the world’s top seven finalists.According to the...
View ArticleAFRICAN UNION FORCES MAY EXACERBATE BOKO HARAM THREAT
On Feb. 6, Boko Haram attacked the border town of Bosso in Niger, leaving at least five Nigerien soldiers wounded. Two days earlier, the Nigerian armed group went on a rampage near the town of Fotokol...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAPILI
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumapili Februari 15, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha...
View ArticleNOTED IMPROVEMENT IN FORM IV RESULTS
There is noted improvement of 10.8 per cent in the overall results of the national Form Four examinations held last year, with 10 privately owned schools stealing the spotlight.The National...
View Article10 HEALING PLANTS FROM ANCIENT AFRICAN CULTURES
African healers carry a wealth of knowledge about the properties of healing plants from ancient African cultures. Unfortunately, many of the plants that the ancient healers turned to are quickly...
View ArticleDOES TANZANIA’S NATURAL GAS BOOM MEAN JOBS, ELECTRICITY?
Tanzania is on a boom trajectory due to ongoing natural gas discoveries offshore of the Lindi and Mtwara regions and the government is promising jobs for locals. But it’s not just about gas industry...
View ArticlePACQUIAO AND MAYWEATHER ‘FINALLY AGREE’ £160m LAS VEGAS FIGHT
Manny Pacquiao and Floyd Mayweather will finally meet in the ring after agreeing terms on a record-breaking fight, according to a new report.The Sunday Telegraph reports that a "source close to...
View ArticleKAVUMBAGU, BOCCO WAIBEBA AZAM DHIDI YA EL MERREIKH
Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Azam FC jioni ya leo wameanza vyema kampeni yao ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuizima El Merreikh ya Sudan kwa mabao 2-0.Mbele ya maelfu ya...
View Article