MPAGAZI ALIYEMBAKA NYOTA WA RUNINGA HOTELINI AFUNGWA MIAKA 10 JELA...
KUSHOTO: Mahakama ambako hukumu hiyo ilitolewa. KULIA: Soby John.Nyota wa runinga alibakwa kwenye chumba chake hotelini na mpagazi wa Kihindi ambaye alikuwa akisubiria kurejeshwa kwao, mahakama...
View ArticleKESI YA LWAKATARE YAAHIRISHWA HADI APRILI 30...
Wilfred Lwakatare wakati wa kusikilizwa kesi dhidi yake.Kesi ya ugaidi inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake...
View ArticleMWANAMKE AFANYA MAPENZI NA WATOTO WAWILI HUKU WENZAO WAKISHUHUDIA...
KUSHOTO: Tom Shimandale. KULIA: Jeanine Shimandale.Mwanamke wa Florida aliyeolewa mwenye miaka 42 amekamatwa baada ya polisi kusema alifanya mapenzi na watoto wadogo wawili, mmoja kati yao akiwa mdogo...
View ArticleMBARONI KWA KUFANYA MAPENZI NA BINTI YAKE WA KUMZAA MBEYA...
Polisi mkoani Mbeya inamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa.Anayeshikiliwa ni mkulima na mkazi wa kijiji cha Syukula wilayani Rungwe Asajile Mwamtina(46) ambapo...
View ArticleWATUHUMIWA GHOROFA LILILOANGUKA NA KUUA DAR WAPEWA DHAMANA...
Watuhumiwa hao wakiwa mahakamani Kisutu, Dar es Salaam.Watu 11 wanaokabiliwa na mashitaka ya kuua bila kukusudia watu walioangukiwa na ghorofa katika Mtaa wa Indira Gandhi, wameachiwa kwa dhamana na...
View ArticleHUKUMU YA SHEKHE PONDA KUTOLEWA LEO...
Shekhe Ponda Issa Ponda.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo inatoa hukumu ya kesi ya uchochezi na wizi wa mali zenye thamani ya Sh milioni 59 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu,...
View ArticleMAZISHI YA BI KIDUDE KUFANYIKA LEO KIJIJINI KWAKE KITUMBA...
Fatma binti Baraka Hamisi 'Bi Kidude'.Msanii mkongwe na gwiji wa muziki wa taarabu na ngoma za unyago nchini, Fatma binti Baraka Hamisi ‘Bi Kidude (102)’, amefariki dunia nyumbani kwa watoto wake...
View ArticleKAMA ULIKUWA HUJUI, HUU NDIO USAFIRI WA KWENDA MBAGALA...
Baadhi ya abiria wa kwenda Mbagala wakigombania kupanda kwenye basi kama walivyonaswa na kamera yetu kwenye Stendi Kuu ya Daladala Ubungo, Dar es Salaam jioni ya leo. Abiria wengi wa Mbagala...
View ArticleUPEPO MKALI WASABABISHA NDEGE KUTUA UPANDE UPANDE...
Hili ni tukio la kusitisha mapigo ya moyo wakati ndege ilipotua kuelekea upande mwingine huku rubani akipambana na upepo mkali ulioikumba Uingereza jana.Ndege hiyo ya Ryanair kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticlePROFESA MWANDOSYA AIBUKA NA KUMTETEA KIKWETE KUHUSU UDINI...
Prof. Mark Mwandosya.Kauli ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), bungeni kwamba Rais Jakaya Kikwete ni mdini, imemlazimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark...
View ArticleAFUNGWA MAISHA JELA KWA KUMNAJISI BINTI YAKE KATAVI...
Mkazi wa mtaa Kigamboni, Kata ya Shanwe mjini Mpanda, Katavi , Abisai Joseph (40) ametiwa hatiani na Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Mpanda na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA BI KIDUDE LICHA YA MVUA KUBWA...
Waumini wa dini ya Kiislamu wakibeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Fatma Baraka 'Bi Kidude', wakati wakiingiza jeneza hilo Msikiti wa Mwembeshauri, kwa ajili ya kuswaliwa kabla ya kuelekea kijijini...
View ArticleHUKUMU YA KESI YA SHEKHE PONDA YAAHIRISHWA HADI MEI 9...
Askari Magereza akimfungua pingu Shekhe Ponda Issa Ponda mahakamani.Hukumu ya kesi ya uchochezi na wizi wa mali zenye thamani ya Sh milioni 59, inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu,...
View ArticleWABUNGE WAGHUSHI VYETI VYA SHULE, NECTA WACHUNGUZA...
Wabunge wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.Wakati wananchi wakilaani vurugu zinazofanyika bungeni, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, ametaka wabunge waache...
View ArticleBINTI WA MIAKA MITANO MAHUTUTI BAADA YA KUFUNGIWA SIKU NNE NA KUBAKWA...
Mtoto huyo (akiwa kafunikwa shuka) akiwahishwa hospitalini kwa matibabu.Binti mwenye miaka mitano yu mahututi baada ya kubakwa na jirani yake huko Gandhi Nagar, mashariki mwa Delhi, ambako alishikiliwa...
View ArticleWATAKIWA KUWASILISHA USHAHIDI KUHUSU MATESO YA USALAMA WA TAIFA....
Mathias Chikawe.Serikali imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kama kina ushahidi wa uhakika kuwa baadhi ya maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wanashiriki kuteka na kutesa watu,...
View ArticleMWANAMKE AKAMATWA NA COCAINE ZA SHILINGI MILIONI 28 SEHEMU ZA SIRI...
Mwanamke mmoja amekamatwa akiwa na dawa za kulevya aina ya cocaine zenye thamani ya Pauni za Uingereza 100,000 (zaidi ya Shilingi milioni 28 za Tanzania) alizokuwa ameficha katika nguo zake za ndani...
View ArticleWATANO WAFA KATIKA AJALI YA BASI ULANGA...
Kaimu Kamanda John Laswai.Watu watano wamekufa na wengine 13 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria linalofanya safari kati ya Ifakara, wilayani Kilombero na Malinyi, Ulanga, mkoani Morogoro kuacha...
View Article