BENKI YA MKOMBOZI YATINGA KWA KISHINDO SOKO LA HISA DAR
Hisaza benki ya biashara ya Mkombozi, jana ziliingia kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kwa kishindo huku bei yake ikipanda kwa asilimia 50 kutoka Sh 1,000 hadi 1,500."Haya ni mafanikio...
View ArticleAJIZALISHA NA KUTUMBUKIZA KICHANGA KWENYE NDOO
Msichana mmoja mkazi wa Mtaa wa Zaire eneo la Kijenge Kaskazini mkoani Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru chini ya ulinzi mkali wa Polisi baada ya kujizalisha mwenyewe na kisha...
View Article'WALIOMUUA' DK SENGONDO MVUNGI WALETA KIZAZAAZAA KORTINI
Washitakiwa wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi (pichani), jana waligoma kutoka katika chumba cha mahakama na kukaa kizimbani kwa muda hadi...
View ArticleMVUA KUBWA DAR MAJANGA, MTOTO ASOMBWA AKIWA AMELALA
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa jijini Dar es Salaam baada ya mvua kubwa kunyesha kwa takribani saa mbili mfululizo.Mvua iliyonyesha jijini Dar es Salaam, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika...
View ArticleMWANAFUNZI AJIZOLEA MILIONI 3/- ZA BIMA KUTOKA BAYPORT
Taasisi ya kifedha inayojihusisha na utoaji wa mikopo ya Bayport Tanzania, imempatia Sh milioni tatu mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE), Kennedy Kaupenda, kufuatia...
View ArticleMAMLAKA HALI YA HEWA YASEMA MSIMU WA MVUA UMEKWISHA
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema msimu wa mvua za mwisho wa mwaka unaisha leo, ingawaje bado inatarajiwa kuwa na mvua kuanzia mapema mwaka 2015. Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agnes Kijazi...
View ArticleHAKIMU AJITOA KESI YA UGAIDI YA SHEKE FARID
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi...
View ArticleAJALI YAUA WANNE MOSHI, YAJERUHI WATATU HANDENI
Watu wanne wamekufa na watatu wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti, zilizotokea Moshi mkoani Kilimanjaro na Handeni mkoani Tanga.Katika ajali ya Moshi, watu wanne wamefariki papo hapo na wengine...
View ArticleWABUNGE WANAWAKE 19 WA TANZANIA KUZURU CHINA
Wabunge wanawake 19 wa Bunge la Tanzania wako China katika ziara ya siku 11 yenye lengo la kubadilishana na kujifunza kwa wenzao masuala ya uongozi na wanavyojihusisha kwenye shughuli za...
View ArticleMKUU WA MKOA AHIMIZA WATOTO WASOME SHULE JIRANI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki ametaka wazazi kuandikisha watoto wao katika shule zilizo jirani na maeneo wanayoishi kuwaepusha na usumbufu.Akizungumza na mwandishi, Sadiki alisema...
View ArticleALIYELAWITI MTOTO ATUPWA JELA MIAKA 30
Mahakama ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa Madibira wilayani hapa kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka mitano.Aliyehukumiwa kutumikia kifungo...
View ArticleMWILI WA MSIERRA LEONE ALIYEUAWA AKITOROKA WASOTA MUHIMBILI
Wakati mwili wa mtuhumiwa wa dawa za kulevya, Abdul Koroma (33) aliyeuawa wakati akijaribu kutoroka ukiendelea kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi...
View ArticleBEI ZA PETROLI, DIZELI, MAFUTA YA TAA ZASHUKA
Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, imeshuka kuanzia kesho, huku watumiaji wa petroli wakipata nafuu zaidi kutokana na kuuzwa chini ya Sh 2,000 baada ya kipindi cha muda mrefu.Kutokana...
View ArticleRC ATOA SIKU 5 ALBINO ALIYEPORWA APATIKANE AKIWA HAI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ametoa siku tano kuanzia juzi Jumatatu kwa watendaji, sungusungu na wakazi wa kijiji cha Ndami, tarafa ya Mwambashimba wilayani Kwimba kuhakikisha mtoto mwenye...
View ArticleWATANO WAFA AJALINI WAKIMPELEKA MJAMZITO HOSPITALI
Watuwatano wakiwamo watatu wa familia moja wamekufa na wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani...
View ArticleABIRIA WAHOFIWA KUFA MAJI ZIWA TANGANYIKA
Watu saba wanahofiwa kufa maji na wengine 49 wameokolewa kutokana baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kukumbwa na dhoruba katika eneo la vijiji vya mwambao wa kusini wa ziwa Tanganyika.Kamanda wa...
View ArticleAMUUA MDAI WAKE KWA KUKERWA KUDAIWA 80,000/-
Mwanamke mmoja Caseline Mzee (75) mkazi wa kijiji cha Guta Wilayani Bunda, Mkoani Mara, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kunyongwa shingo na kisha mwili wake kutupwa ndani ya mto ukiwa...
View ArticleILALA YAANDIKISHA WATOTO 23,113 DARASA LA KWANZA NA LA AWALI
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imeshaandikisha wanafunzi 23,113 wa awali na darasa la kwanza kwa ajili ya kuanza masomo katika shule mbalimbali za manispaa hiyo.Ofisa Habari wa Manispaa hiyo, David...
View Article