MACHINGA WAJIHALALISHIA UWEPO WAO KATIKATI YA JIJI
Wafanyabiashara ndogo (wamachinga) wamedai hatua ya kuondolewa katika maeneo mbalimbali ya jiji wasifanye biashara, huenda ikachukua muda mrefu kufanikiwa, kwa kile walichodai wana ‘mikataba’ maalumu...
View ArticleBASI LAUA WATU WANNE NA KUJERUHI 35
Ajali nyingine imetokea nchini na safari hii imehusisha basi la Air Bus lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Tabora.Ajali hiyo iliyotokea mkoani Morogoro jana, ilisababisha vifo vya watu wanne...
View ArticleTCRA YAONYA KUHUSU MITANDAO YA BURE
Mamlaka ya Mawasilino Tanzania(TCRA), imehadharisha juu ya matumizi ya mitandao ya bure ‘WiFi’ katika maeneo ya halaiki kufanya miamala ya fedha. Aidha Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Mawasiliano wa...
View ArticleTRL YAKOPESHWA SHILINGI BILIONI 12
Kampuni ya Reli ya Kati (TRL) imepata mkopo wa Sh bilioni 12 kutoka Benki ya Maendeleo (TIB) kwa ajili ya kuongeza mtaji wa uendeshaji. Makabidhiano ya mkopo huo yalifanyika jana kati ya Mkurugenzi...
View ArticleHASHIM ISSA AWA MWENYEKITI BARAZA LA WAZEE CHADEMA
Safu mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa...
View ArticleHAMAD RASHID KUMVAA MAALIM SEIF URAIS ZANZIBAR
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ametangaza kugombea urais wa Zanzibar huku akimtuhumu na kumkosoa Katibu Mkuu wa chama chake, Seif Hamad. Alitumia jukwaa la Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleWACHINA WA 'SAMAKI WA MAGUFULI' WADAI MELI YAO
Raia wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki kinyume cha sheria, wamewasilisha barua kwa Msajili wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kutaka warudishiwe Meli ya Tawariq 1 na samaki...
View ArticleSERIKALI YAOKOA SHILINGI BILIONI 40 ZA MISHAHARA HEWA
Serikaliimeokoa Sh bilioni 40 zinazodaiwa zilikuwa zikiingia kwenye mifuko ya watu wachache kutokana na ulipaji wa mishahara hewa. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alitoa kauli hiyo kwenye...
View ArticleMASHINE ZA KISASA ZAFUNGWA KUJIKINGA NA EBOLA
Katika jitihada za Serikali kuimarisha mifumo ya kukinga taifa na maambukizi ya virusi hatari vya homa ya ebola, mashine mpya sita za kisasa zaidi za kukagua wageni wote wanaofika nchini kupitia...
View ArticleDARASA LA SABA KUANZA MTIHANI WA MWISHO KESHO
Wanafunzi 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo. Akizungumza jana Kamishna wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,...
View ArticleMAKUBALIANO YA KIKWETE, UKAWA KUWEKWA HADHARANI KESHO
Mazungumzo kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa, yamefanyika vizuri katika Ikulu ndogo ya Dodoma na kufikia makubaliano katika baadhi ya maeneo.Akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleHATIMAYE KIMEELEWEKA WAFANYAKAZI TAZARA
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wamelipwa mishahara yao ya miezi minne waliyokuwa wakidai . Hatua hiyo imemaliza mgogoro uliodumu muda mrefu kati ya mamlaka hiyo na...
View ArticleYONA KUANZA KUJITETEA MATUMIZI MABAYA YA OFISI
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona leo anaanza kujitetea mahakamani dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7. Yona pamoja na...
View ArticleMWANAMKE AANGUKA KWENYE BODABODA NA KUKANYAGWA NA GARI
Mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amekufa papo hapo baada ya kudondoka kwenye pikipiki aliyokuwa amepanda na kisha kukanyagwa na gari.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius...
View ArticleWASIMAMIZI WA MITIHANI DARASA LA SABA WAONYWA
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba unaotarajiwa kufanyika leo kufanya kazi kwa umakini na kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.Hayo yalisemwa jana...
View ArticleWATETEA VIONGOZI KUFUNGUA AKAUNTI NJE YA NCHI
Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba wametetea viongozi kufungua akaunti nje ya nchi wakisema uongozi si utumwa. Wajumbe Charles Mwijage (pichani) na Jasson Rweikiza walisema kuwakataza wasifanye...
View ArticleSUALA LA URAIA PACHA BADO 'JIWE GUMU' BUNGE MAALUMU
Uraia pacha kwa Watanzania walioko nje ya nchi jana uliendelea kutawala katika mijadala kwenye Bunge la Katiba huku wengi waliochangia wakikubaliana wasio na uraia Katiba iruhusu wapewe chini ya...
View ArticleMV KIGAMBONI KUANZA TENA KUTOA HUDUMA KESHO
Kivuko cha Mv Kigamboni kilichokuwa kwenye matengenezo, kinatarajiwa kuanza kutoa huduma kesho na Serikali imeokoa zaidi ya Sh milioni 300 kwa kufanya matengenezo hayo hapa nchini.Sambamba na hilo,...
View Article