Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMBAYE HAKUSOMEA UUGUZI AWACHOMA SINDANO WAGONJWA MASASI...

Chumba cha sindano.Mwanakijiji anayedaiwa kutokua na ujuzi wa uuguzi, anadaiwa kutibu katika zahanati mojawapo wilayani Masasi katika Mkoa wa Mtwara, baada ya kuombwa na muuguzi amsaidie kufanya kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIKI NDICHO KIINI CHA ANGUKO LA ELIMU TANZANIA...

Wanafunzi wakiwa darasani katika moja ya Shule za Msingi hapa nchini.Mdahalo wa Kitaifa wa Kushuka kwa Elimu nchini uliofanyika jana, umebainisha kiini cha kuporomoka kwa kiwango cha elimu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEJA JENERALI MAKAME RASHID WA JKT AFARIKI DUNIA...

Meja Jenerali Makame Rashid.Aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali mstaafu Rashid Makame (69), amefariki jana jijini Dar es Salaam, katika Hospitali ya Lugalo alikokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ALIYEKIMBIA KOREA KASKAZINI ASIMULIA MATESO YAKE...

KUSHOTO: Mto Amrok unaotenga Korea Kaskazini kutoka China. KULIA: Hyeonseo Lee.Mwanamke kijana ambaye alikimbia Korea Kaskazini ameibua taarifa zake za kutisha wakati akikulia kwenye taifa hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJIRA LUKUKI ZATANGAZWA SEKTA YA AFYA...

Celina Kombani.Serikali inatarajia kuajiri watumishi wa afya 5,000 nchini, ambao wataanza kazi Mei Mosi mwaka huu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAPATA HASARA SHILINGI MILIONI 50 KATIKA MIEZI MITATU...

Jengo la Makao Makuu ya Tanesco yaliyoko eneo la Ubungo, Dar es Salaam.Shirika la Umeme (Tanesco) mkoani Mbeya limesema limepata hasara ya zaidi ya Sh milioni 50 katika kipindi cha miezi mitatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIKETI MPYA KWA NAULI MPYA, TIKETI ZA ZAMANI NAULI YA ZAMANI...

Baadhi ya daladala zinazofanya safari zake katika jiji la Dar es Salaam.Abiria wa mabasi ya daladala jijini Dar es Salaam wameelekezwa kutokubali kulipa nauli mpya iwapo tiketi wanazopewa zitakuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE ATUKANA WENZAKE ETI WANA MIMBA ZISIZOTARAJIWA...

Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, mjini Dodoma.Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi na wale wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameendelea kutupiana vijembe  bungeni kwa lugha zilizoelezwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEJA JENERALI MAKAME RASHID KUSOMEWA DUA KARIMJEE LEO...

Maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiweka jeneza lenye mwili wa Meja Jenerali mstaafu Makame Rashid, katika eneo maalumu lililotengenezwa kwa ajili ya kumuaga jana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA INAYOMSHITAKI WILFRED LWAKATARE HAIELEZI MAANA YA UGAIDI...

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare akitoka mahakama Kuu Dar es Salaam jana, kuelekea rumande baada kusikilizwa tena kesi yake ya kutuhumiwa kwa kukabiliwa na kesi ya ugaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUNGA NDOA SAA CHACHE BAADA YA MILIPUKO YA MARATHONI ZA BOSTON...

Robert Watling (kulia) na Kelli Johnston wakifungishwa ndoa.Huku ugaidi ukichomoza katika milipuko mikubwa ya mabomu kwenye marathoni, kona moja ya jiji ilishuhudia tukio la furaha.Wakimbiaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGOGO ARDHI WASHITAKIWA KWA WIZI WA SHILINGI MILIONI 1OO...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.Vigogo watatu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za ubadhirifu na wizi wa Sh milioni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAMATWA KWA KUPANGA NJAMA ZA KUWAPIKA NA KULA WANAWAKE, WATOTO...

Robert 'Chris' Asch.Mkutubi wa zamani wa shule moja ya sekondari ya juu na mkuu wa gereza wamekamatwa jana kwa kula njama ya kuwateka nyara, kupika na kisha kuwala wanawake na watoto.Kukamatwa kwa watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU SAMBEKE KUZIKWA MAKABURI YA KARANGA KESHO...

Marehemu Ereneus Sambeke 'Babu Sambeke' enzi za uhai wake.Maziko ya aliyekuwa mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, Ereneus  Sambeke, maarufu Babu Sambeke aliyefariki dunia kwa ajali ya ndege,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA SASA KUDHIBITI WABUNGE KWA KUTUMIA POLISI...

Spika Anne Makinda.Baada ya kikao cha juzi cha Bunge kukithiri matusi ya wabunge, hali hiyo imemkera Spika Anne Makinda ametangaza kutumia polisi wa Bunge, kukamata na kumtoa nje mbunge atakayetukana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MEJA JENERALI MAKAME RASHID WAAGWA RASMI...

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (aliyenyoosha mkono) akiongoza swala ya maiti ya aliyekuwa   Meja Jenerali mstaafu Makame Rashid, baada ya dua iliyofanyika katika viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE, MAWAZIRI WAOMBOLEZA KIFO CHA CASSIUS KIBASSA...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mhe. Anne Makinda (wa pili kushoto), Naibu Spika Mhe. Job Ndugai na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi wakihudhuria misa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BI KIDUDE AFARIKI DUNIA MJINI UNGUJA...

Marehemu Bi Kidude enzi za uhai wake.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba msanii mkongwe wa muziki wa taarabu hapa nchini, Kidude Binti Baraka maarufu kama Bi Kidude amefariki dunia mchana...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live