KESI YA TRAFIKI FEKI YAAHIRISHWA
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imeendelea kupiga kalenda kesi yaaliyejifanya askari wa Usalama Barabarani, Jemes Hassan (45) kutokana na mshitakiwa huyo kuumwa.Akiahirisha kesi hiyo jana, Hakimu Mkazi...
View ArticleWASHAURI SUALA LA MAHAKAMA YA KADHI LISIINGIE KWENYE KATIBA
Suala la Mahakama ya Kadhi limeleta mjadala mkali katika majadiliano na wabunge wameamua suala hilo lisiingizwe kwenye Katiba. Mjadala huo mkali uliibuka katika Kamati namba Saba ilipojadili sura ya...
View ArticleMTUHUMIWA KINARA WA MAUAJI YA WANAWAKE ARUSHA ANASWA
Mtu mmoja ambaye inadaiwa kinara wa kuua na kujeruhi wanawake maarufu, wafanyabiashara na wenye vyeo katika ofisi mbalimbali jijini Arusha, Adamu Mussa (30) mkazi wa Majengo Juu jijini Arusha ametiwa...
View ArticleSHAHIDI AELEZEA ALIVYOINGILIWA NA MGANGA WA JADI
Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga...
View ArticleRAIS AJAYE WA AWAMU YA TANO APUNGUZIWA MZIGO
Mrithi wa Rais Jakaya Kikwete, atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, ameanza kuandaliwa makao yake Ikulu, yatakayomwezesha si tu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania tajiri, bali pia kuanza...
View ArticleOKWI AZICHEZEA AKILI SIMBA NA YANGA
Mshambuliaji matata wa Uganda Emmanuel Okwi sasa ni kama ameamua kucheza na akili za viongozi wa Simba na Yanga.\Wakati juzi Rais wa Simba Evanse Aveva akisema hawana nafasi ya Okwi kwenye usajili wao,...
View ArticleKAMPUNI ZA SIMU ZATAKIWA KUPELEKA WATUMISHI VYUONI
Kampuni za simu zimeagizwa kupeleka watumishi wake katika vyuo vya mawasiliano, kuwezesha utoaji wa huduma bora.Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa alitoa mwito wakati...
View ArticleWATAKIWA KASI KUHAKIKI MIPAKA NA KUWEKA MAWE
Rais Jakaya Kikwete, ameagiza mamlaka zote za uhakiki wa mipaka na uwekaji mawe katika Mpaka wa Kimataifa wa Tanzania na Burundi na mipaka na nchi nyingine, kukamilisha kazi hiyo mapema...
View ArticleHALMASHAURI ZAAGIZWA KUNUNUA NYUMBA ZA BEI NAFUU NHC
Halmashauri nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akizindua...
View ArticleWATAALAMU WAELEZEA UDHAIFU WA RASIMU YA KATIBA
Wataalamu wa fedha kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Jamhuri ya Muungano wamebainisha hatari ya kufuata Rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa upande wa...
View ArticleKUINUA MAISHA YA WATANZANIA SI KUMWAGA FEDHA MIFUKONI - KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete amesema dhamira ya Serikali ni kuinua maisha ya Watanzania na dhamira hiyo iko pale pale na kwamba wanaofikiri nia hiyo ni kuwajaza wao fedha mifukoni uwezo huo haupo.Rais alitoa...
View ArticleWALIMU 2,000 WA SAYANSI KUPIGWA MSASA
Walimu 2,000 wa masomo ya sayansi nchini, watapatiwa mafunzo maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo katika kuboresha maarifa ya ufundishaji mada ngumu katika masomo ya hesabu, fizikia na kemia.Mradi...
View ArticleBENKI YA DUNIA YAKUNWA NA UTEKELEZAJI MIRADI WA TANZANIA
Benki ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya...
View ArticleMTAMBO WA KIHANSI WAPOTEZA SHILINGI BILIONI 34
Mtambo wa kuzalisha umeme unaotumia maji wa Kihansi, umepoteza takribani Sh bilioni 34 kipindi cha masika, kutokana na udogo wa bwawa lililopo la kuhifadhia maji hayo na hivyo kulazimika...
View ArticleAKAUNTI YA PAMOJA YATIKISA KAMATI BUNGE MAALUMU
Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja, Ummy Mwalimu, amesema pamoja na Kamati yake kupitisha sura zote kwa kupata theluthi mbili kila upande, suala la akaunti ya pamoja kwa Tanzania Bara na Zanzibar,...
View ArticleSITTA AWAJIBU WANAOFANANISHA TUME YA WARIOBA NA BUNGE
Baada ya watu na taasisi kadhaa kudai kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kupokea maoni ya wananchi na kuyaongeza kwenye rasimu ya Katiba mpya, ni kuingilia kazi ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...
View ArticleMKURUGENZI MKUU TBS ATUPWA JELA MIAKA MITATU
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela, baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kutoa msamaha...
View ArticleWABUNGE EAC WAKUNWA NA UFANISI BANDARI, TRA
Wabungewa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), wamepongeza ufanisi wa kazi unaofanywa kwa pamoja baina ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari (TPA), huku wakizitaka nchi wanachama wa...
View ArticleAELEZEA MAHAKAMANI ALIVYOTAPELIWA SHILINGI MILIONI 7
Shahidi wa kwanza katika kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu inayowakabili wafanyabiashara watatu, ameieleza mahakama jinsi alivyotapeliwa na wafanyabiashara hao. Mfanyabiashara wa vyombo...
View Article