NGASSA KINARA WA MABAO LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Licha ya Yanga kutolewa mapema kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini mshambuliaji wake Mrisho Ngassa ndiye anayeongoza kwa upachikaji mabao mpaka sasa.Michuano ya Ligi ya Mabingwa ipo...
View ArticleKUPELEKWA NJE KUJIFUNGWA KUTENGENEZA MATANGAZO
Kampuni inayojishughulisha na utengenezaji wa matangazo ya Drive Dentsu imepanga kuendeleza wataalamu katika eneo hilo nje ya nchi kuwezesha kupata uzoefu zaidi. Akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleKITENGO CHAUNDWA TAKUKURU KUKABILI 'WALAFI'
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya kukabili watu wenye madaraka serikalini wanaojilimbikizia mali isivyo halali. Alisema vigogo watakaobainika...
View ArticleSABA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUPORA NA KUUA WANAWAKE
Watu saba wamekamatwa Jijini Arusha kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya unyang’anyi wa kutumia silaha kwa wanawake.Wanadaiwa pia kusababisha kifo cha mtoto, Christen Nickos mwenye umri wa miaka...
View ArticleMATAJIRI WAJIMEGEA HIFADHI ZA MISITU
Baadhi ya matajiri wanadaiwa kujimegea maeneo ya hifadhi mbalimbali, ikiwemo maeneo ya hifadhi ya Mikoko jijini Dar es Salaam kwa kutumia ramani bandia. Misitu mingine inayodaiwa kuvamiwa kwa mtindo...
View ArticleWIZARA YAHOFU TAARIFA POTOFU ZA EBOLA KUKIMBIZA WATALII
Wizara ya Maliasili na Utalii imetaka ufanyike utafiti wa kina ukiambatana na utoaji taarifa sahihi kuhusu ugonjwa wa ebola kuepuka kupotosha na kusababisha watalii kuhofu kuingia nchini. Mkurugenzi...
View ArticleMALARIA YAUA MHAMIAJI HARAMU WA ETHIOPIA
Mmoja wa raia wa Ethiopia waliokamatwa kwenye msitu wilayani Bagamoyo wakituhumiwa kuwa wahamiaji haramu na kulazwa hospitalini kutokana na matatizo ya afya, amefariki akipatiwa matibabu. Dawita Alalo...
View Article'HAKUNA MJUMBE BUNGE MAALUMU ANAYEDAI POSHO'
Ofisi ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, akisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna...
View ArticleAELEZA MKE WA KIGOGO TANESCO ALIVYOPATA ZABUNI
Kaimu Meneja Mwandamizi wa Ununuzi wa Shirika la Umeme (Tanesco) Makao makuu, Atanaz Kalikamwe ameieleza mahakama jinsi mke wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa shirika hilo, William Mhando...
View ArticleRAIS KIKWETE KUKUTANA NA WAJUMBE WA UKAWA
Vyama vyote vya siasa nchini vikiwemo vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakutana na Rais Jakaya Kikwete kabla ya mwisho wa wiki hii, kujadiliana na kushauriana juu ya maendeleo...
View ArticleMKAPA AJITOSA VITA DHIDI YA VIONGOZI WALAFI
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi. Akizungumza jana wakati akifungua...
View ArticleADA SEKONDARI SASA KUFUTWA, JK AAHIDI ELIMU BURE
Serikali inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure. Rais Jakaya Kikwete, alisema hayo juzi katika mkutano wake na wanajumuiya ya Chuo...
View ArticleSERIKALI YARIDHISHWA NA MRADI WA DART
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia ameridhishwa na tathmini ya Mkutano wa Mashauriano wa awamu ya kwanza wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka...
View ArticleMWEKEZAJI AAGIZWA KUJENGA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME
Serikali imetaka mwekezaji katika Mgodi wa Chuma wa Liganga na wa Makaa ya Mawe Mchuchuma, Tanzania China International Mineral Resources Limited (TCIMRL), kuanzisha mtambo wa kuzalisha umeme kwa...
View ArticleVIJIJI VITANO KULIPWA FIDIA MILIONI 287/- ZA UHARIBIFU WA WANYAMA
Serikali imetenga jumla ya Sh milioni 287 kuwalipa fidia wananchi wa vijiji 5 karibu na hifadhi ya wanyama Serengeti upande wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara.Fidia hiyo inatokana na uharibifu uliofanywa...
View ArticleTANZANIA YAPOTEZA SHILINGI TRILIONI MOJA KILA MWAKA
Tanzania imekuwa ikipoteza tani 18 za dhahabu kila mwaka, zenye thamani ya zaidi ya Sh trilioni moja, kutokana na ujanja wa wawekezaji katika uchimbaji wa madini.Imeelezwa kuwa watu hao huenda kinyume...
View ArticleKIWANDA CHA DANGOTE KUANZA UZALISHAJI SARUJI MWAKANI
Kiwanda cha saruji cha Kampuni ya Dangote, kinachojengwa mkoani Mtwara kinatarajia kukamilika ujenzi wake na kuanza uzalishaji wa saruji mwishoni mwa mwaka 2015, ambapo mwekezaji wake, raia wa...
View ArticleHATIMA YA KESI YA LUKAZA FEDHA ZA EPA OKTOBA 8
Hatima ya washitakiwa wawili wa kesi ya wizi wa Sh bilioni sita za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), itajulikana Oktoba 8 mwaka huu wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi...
View Article