Quantcast
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YAIBUKA SAME

Kumezuka mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Jiungeni Lolokai, kata ya Ruvu wilayani Same na tayari wakulima wanne wamejeruhiwa vibaya na silaha za jadi, na mmoja kukimbizwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KKKT WATAKA KATIBA YA WATANZANIA

Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kikristo Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma Mchungaji Samweli Mshana, amewataka wajumbe walio katika mchakato wa Katiba kuhakikisha wanawapatia watanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI KUFAIDI MAPATO YA MAFUTA

Serikali imeandaa sera ya petroli itakayowezesha asilimia tatu ya mapato yatakayopatikana kutokana na uchimbaji wa rasilimali hiyo kubaki katika halmashauri ya eneo hilo kwa ajili ya maendeleo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI WABAKA MWALIMU, MWINGINE APORWA MILIONI 20/-

Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamemteka na kumvamia mwalimu mmoja na kumpora kiasi cha zaidi ya Sh milioni 20 na kisha kumbaka mwalimu mwingine wa kike katika kijiji cha Nassa Ginery wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

URAIA PACHA WABEZWA BUNGE MAALUMU LA KATIBA

Suala la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI 'MADALALI' WA ARDHI WAPEWA ONYO KALI

Rais Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori  ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU WA MIAKA 90 ATEKETEA KWA MOTO AKIWA USINGIZINI

Mkazi wa Kimara Temboni, Felix Makundi (90) amekufa papo hapo baada ya kuteketea kwa moto wakati akiwa amelala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema kuwa mzee huyo aliteketea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 10 WAFARIKI MBEYA BAADA YA HIACE YAJIBAMIZA KWENYE FUSO

Watu kumi akiwemo mama na mtoto wake  wamekufa papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na lori katika mji mdogo wa Mbalizi, Wilaya  ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUBWA YAIBUKA UTAFITI WA NGONO ZA UTOTONI DAR

Sampuli tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, imebainisha haja ya elimu ya afya ya uzazi kukabili hali ya sasa ya tabia hatarishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI WATANO WAUAWA KWA KUZAMISHWA KWENYE MAJI

Watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamepigwa kwa mawe hadi kufa wakijaribu kutoroka nguvu za umma kwa kutumia Mto Mara, wilayani Tarime huku wakiwa na bunduki mbili zinazotumika vitani aina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI MDOGO KUTOKA MTWARA ASHINDA SHILINGI MILIONI 50 SHINDANO LA TMT

Mshiriki kutoka Mtwara, Mwanaafa Mwinzago ameibuka kidedea katika Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO - SEPTEMBA 03

     

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS!!! ZAIDI YA WATU 60 WAFARIKI AJALI YA MABASI MUSOMA

        HABARI KAMILI ZILIZOTHIBITISHWA:        Abiria 36 wamekufa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili katika eneo la Sabasaba, wilayani Butiama katika mkoa wa Mara .Kamanda wa Polisi mkoani Mara,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICROSOFT WAZINDUA SIMU ZA TEKNOLOJIA YA KISASA

Kampuni ya Microsoft imezindua simu tatu aina ya Nokia Lumia zilizounganishwa na  mfumo wa kisasa wa teknolojia ya uendeshaji wa simu wa Windows Phone 8.1. Simu hizo ni Nokia Lumia 530, Nokia Lumia 630...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA DOKTA MANYAUNYAU YASHINDWA KUENDELEA

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imeshidwa kuendelea kusikiliza kesi ya kujipatia Sh milioni 29.6 kwa njia ya udanganyifu inayomkabili  mganga wa jadi, Dunia Salumu (37) ‘Manyaunyau’ baada ya hakimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI 100 WATUMIA CHUMBA KIMOJA CHA DARASA

Wanafunzi 100 katika shule ya msingi ya Elerai ya jijini Arusha wanalazimika kutumia darasa moja kwa ajili ya kujisomea kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa unaoikabili shule hiyo. Hayo yalisemwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA HALMASHAURI KORTINI KWA KUTISHIA KUMUUA YONO

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Antony Mahwata jana alipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Njombe akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kumuua kwa maneno Mbunge wa zamani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI - SEPTEMBA 06

     

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SASA NI JESHI DOGO, LA KISASA NA MASLAHI BORA ZAIDI

Serikali iko katika mkakati madhubuti wa kuliboresha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ili kuwa na jeshi dogo lenye maslahi bora, silaha za kisasa zinazokwenda na wakati na kuwa na vyombo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WATAKA MSAJILI AWEZESHWE KUFUTA VYAMA KOROFI

Baadhi ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza Msajili wa Vyama vya Siasa nchini apewe nguvu na Katiba awe na mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa kinachokiuka masharti ya kusajiliwa,...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live