MSAIDIZI ALIYECHOMWA MWILINI AELEZEA MADHILA YA MWAJIRI WAKE
Msichana Yusta Kashinde (20) aliyejeruhiwa kwa kuchomwa na pasi na kung'atwa sehemu za mwili na mwajiri wake Amina Maige (42), ametoa ushahidi wake mahakamani na kueleza kuwa mshitakiwa alimpiga na...
View ArticleMTOTO MLEMAVU ATEKETEA KWENYE MOTO
Mtoto Rebecca James ambaye ni mlemavu wa miguu na aliyekuwa haongei, ameteketea hadi kufa baada ya nyumba yao kuwaka moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto huo...
View ArticlePROFESA SHIVJI AITWA KUSAIDIA BUNGE MAALUMU
Bunge Maalumu la Katiba, limemwalika Mhadhiri mashuhuri wa masuala ya Katiba, Profesa Issa Shivji, kuwasaidia aina ya Muungano na namna mambo yake yatakavyoingizwa kwenye Katiba.Pia Bunge hilo...
View ArticleSHERIA YATUNGWA KUDHIBITI ULAFI WA VIONGOZI
Mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma, kutenganisha viongozi, mali na biashara zao, ili kuzuia ukiukwaji wa maadili ya viongozi wa umma unaoendelea...
View ArticleMIILI YA MAREHEMU 13 WA AJALI YA MABASI TABORA YATAMBULIWA
Maiti za watu 13 kati ya 16 waliokufa katika ajali ya mabasi yaliyogongana juzi mkoani Tabora, zimetambuliwa na ndugu zao. Ajali hiyo ilitokea juzi saa 8 mchana katika kijiji cha Mlogolo wilaya ya...
View ArticleWACHINA WA 'SAMAKI WA MAGUFULI' WAACHIWA HURU
Baada ya kusota rumande kwa miaka mitano hatimaye raia wawili wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali wameachiwa huru katika...
View ArticleWATU SABA WATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA ALBINO
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limewakamata watu saba wanaotuhumiwa kuhusika na kifo cha mlemavu wa ngozi, Munghu Mugata (40) aliyeuawa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwake usiku wa Mei 12 mwaka huu...
View ArticleREAL MADRID WAFANYA KWELI MBELE YA RAIS KIKWETE DAR
Magwiji wa Real Madrid wamethibitisha kuwa timu yao ndio miamba ya soka duniani, baada ya kuishinda timu ya Tanzania XI kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Mbele ya Rais Jakaya Kikwete,...
View ArticleUDA, WAMILIKI WA DALADALA WAUNGANISHA NGUVU DART
Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) na wamiliki wa daladala mkoa wa Dar es Salaam wameunganisha nguvu zao kwa pamoja kwa lengo la kuendesha mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART).Uamuzi huo ulifikiwa...
View ArticleMKAZI WA MAKONGO JUU ATUHUMIWA KULAWITI
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Msose Michael (35) mkazi wa Makongo Juu Jijini Dar e Salaam kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili ambao aliwachukua kwa wazazi wao kwa ajili ya kazi za...
View ArticleMASUALA YA KADHI, URAIA PACHA YAPATIWA UFUMBUZI
Kamati ndogo ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba iliyoundwa na Mwenyekiti Samuel Sitta, kupatia ufumbuzi masuala manne ambayo kamati nyingi zimeshindwa kufikia muafaka, imeyapatia ufumbuzi mambo...
View ArticleWATOTO WAMIMINIKA KITUO MAALUMU CHA ALBINO
Watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo maalumu cha kulea watoto hao Buhangija Manispaa ya Shinyanga, wamezidi kuongezeka kituoni hapo kutokana na wimbi la mauaji ya albino kuibuka tena. Hadi...
View ArticleJIJI, WAFANYABIASHARA WAZIKA TOFAUTI ZAO MWANZA
Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza umesema kuwa umeumaliza mgomo wa takribani siku tatu ambao umekuwa ukifanywa na wafanyabiashara wa kati jijini hapa. Akizungumza juzi, Mkurugenzi wa jiji Hassan...
View ArticleKAMPUNI YAMWAGA MSAADA WA SIMU KWA ALBINO
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Kampuni ya Sapna Electronic, imewapatia simu 20 watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) waishio jijini humo, kwa ajili kuongeza...
View ArticleHII NDIO ZAHANATI YENYE MGANGA MMOJA TU KWA MIAKA SABA
Zahanati ya kijiji cha Nafuba, kilichopo katika kisiwa ndani ya Ziwa Victoria wilayani Bunda mkoani Mara, ina mganga mmoja tu ambaye amekuwa akilazimika kuifunga anapopata dharura na kusababisha...
View ArticleTFDA YAKAMATA 'OFISA WAKE' BANDIA
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na jeshi la polisi imemtia mbaroni mtu aliyejifanya ni ofisa mamlaka hiyo na kutumia mwanya huo kujihusisha na vitendo vya...
View ArticleSITTA ADAI KULIVUNJA BUNGE KWA SASA NI HASARA
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema Katiba ya sasa yenye miaka 50 imewezesha kutungwa kwa sheria na kanuni zinazoleta maumivu kwa wananchi na kusema lengo la kutungwa kwa...
View ArticleWAUMINI WAMBURUZA KORTINI ASKOFU WAO
Askofu wa Kanisa la EAGT Kanda ya Magharibi, Raphael Machimu amefikishwa mahakamani na waumini wa kanisa hilo. Uamuzi huo unatokana na kupinga kufukuzwa kwa Mchungaji wao David Mabushi, wakisema...
View ArticleVIJANA WAJENGA MAJUMBA YA KISASA KUPITIA BODABODA
Jiulize unaweza kufanya nini na Sh 2,000 tu unayoikamata kwa siku? Kwa wengi, wanaweza kukiona kiasi hicho cha fedha kuwa ni kidogo mno, lakini si ukweli.Na katika kuthibitisha hilo, kundi la vijana...
View Article