MBINGA YAPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI
Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imefanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito kutoka 79 kati ya 100,000 mwaka 2010 hadi 65 mwaka 2013 hatua iliyotokana na kutekeleza mkakati wake wa kupunguza vifo vya...
View ArticleNEC YAELEZEA MASHARTI YA DAFTARI LA WAPIGAKURA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura linalotarajiwa kuanza hivi karibuni linamhusu kila raia mwenye sifa ya kupiga kura.Ufafanuzi huo...
View ArticleDAKTARI ATIWA MBARONI KWA MADAI YA KUUA MGONJWA
Polisi mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya...
View ArticleMAGUFULI AFIKIRIA KUYAONDOA MALORI YOTE DAR
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema anafikiria namna ya kuondoa malori ya mizigo katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza tatizo la foleni na kuzuia uharibifu wa barabara.Magufuli...
View ArticleASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMLAWITI MTOTO WA MKEWE
Mkazi wa eneo la Majengo Mjini Manyoni, Juma Saidi (32) anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto wa mkewe. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 14, anasoma Kidato cha Kwanza katika shule moja ya...
View ArticleMWANAUME AUAWA KWA KUCHOMWA NA MKUKI KIFUANI
Mkazi wa Kijiji cha Bubutole Mbuyuni, Dogani Lupondije (48) ameuawa kwa kuchomwa mkuki kifuani huku watu wengine saba wakijeruhiwa baada ya kuzuka mapigano kijijini hapo.Mapigano hayo yalizuka baina ya...
View ArticleSITTA AWAPUUZA UKAWA, ADAI WAJUMBE WALIOPO WANATOSHA
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amepuuza maoni ya viongozi wa wajumbe wa Bunge hilo wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutaka Bunge hilo lisitishwe.Akizungumza na...
View Article'MGONJWA WA EBOLA' ASABABISHA TAFRANI SHINYANGA
Wakazi wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa...
View ArticleWAPANDISHWA KORTINI KWA KUINGIZA MAGAIDI NCHINI
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, wanakabiliwa na mashitaka ya kuingiza wageni nchini, ili washiriki katika vitendo vya kigaidi.Jana kiongozi mwandamizi wa Jumuiya hiyo, Mselem Ali Mselem,...
View ArticleWABUNGE WAKATAA KATIBA MPYA ISIWABANE
Baadhi ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za...
View ArticleWATU 13 WAFA BAADA YA MABASI KUGONGANA USO KWA USO TABORA
Mabasi mawili yamegongana uso kwa uso wilayani Sikonge mkoani Tabora na kuua abiria 13, wakiwemo madereva wa mabasi hayo na kujeruhi wengine 73. Moja ya mabasi hayo, lilikuwa likitokea mkoani...
View ArticleUJENZI KITUO CHA VIWANDA, BIASHARA KURASINI KUANZA
Ujenzi wa mradi wa kituo kikubwa cha viwanda na biashara katika eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza hivi karibuni. Matarajio hayo yanatokana na serikali kutenga Sh bilioni 53...
View ArticleCCM YABANA MAWAZIRI BUNGE LA KATIBA
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewabana mawaziri na wabunge wake wasiohudhuria shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.Moja ya hatua iliyochukuliwa na chama hicho tawala ni kupunguza idadi yao kwenye ziara...
View ArticleTAS YAOMBA ULINZI ZAIDI KWA MAALBINO
Katibu Mkuu wa Chama cha Maalbino (TAS), Zakia Nsemo ameiomba Serikali iongeze ulinzi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na maisha yao kuwa hatarini.Nsemo aliyasema hayo wakati akizungumza...
View ArticleSERIKALI YAPIGA VITA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU
Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mmbando amesema pamoja na utafiti wa chanjo ya Ukimwi kuwa katika hatua ya tatu, Serikali bado inajizatiti katika kuhakikisha maambukizi mapya yanapungua. Mmbando...
View ArticleKIU CHATANGAZA UDHAMINI KWA WANAFUNZI 1,800
Chuo cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetangaza kutoa udhamini kwa wanafunzi 1,800 watakaojiunga kuanzia mwaka huu wa masomo kwa kuwalipia nusu ya ada. Mpango huo wa udhamini ambao umetajwa kuwa...
View ArticleRITA YABAINI UDANGANYIFU VYETI VYA KUZALIWA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini udanganyifu uliofanywa na walimu wa shule za msingi na wazazi kughushi taarifa na kuongeza bei wakati wa kusajili na kuwapatia wanafunzi vyeti vya...
View ArticleWAFUNGWA WADAIWA KUNYIMWA HAKI ZAO
Wafungwa wengi hawapewi haki zao za msingi miongoni mwake, ikiwa ni kukaa muda mrefu magerezani na mahabusu bila kuonana na ndugu zao. Aidha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetaja polisi kuwa...
View Article