VODACOM YATOA SHILINGI MILIONI 40 KWA USALAMA BARABARANI
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, imetoa msaada wa Sh milioni 40 kwa Serikali kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.Hii ni kwa ajili...
View ArticleSUNGUSUNGU WADAIWA KUUA WANAKIJIJI WAWILI
Watu wawili wakazi wa Kata ya Ipande – Itigi, wilayani hapa, mkoani Singida wamekufa papo hapo baada ya kupigwa na kisha kuchomwa moto na watu waliojitambulisha kuwa ni sungusungu.Mwenyekiti wa kijiji...
View ArticleBODI YA MAGAVANA WA BENKI KUKUTANA
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki (BOG) utakaofanyikia jijini Dar es Salaam, mwezi huu.Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa jana jijini...
View ArticleCOMORO YAOMBA WALIMU KUTOKA ZANZIBAR
Serikali ya Comoro imeiomba Zanzibar kuwapatia walimu watakaofundisha masomo yakiswahili katika shule na vyuo nchini humo.Hayo yalisemwa na Balozi wa Comoro nchini, Dk Ahmad Badrual-Ahmad, Mazizini...
View ArticleURAIA PACHA WAPASUA VICHWA VYA WAJUMBE
Suala la uraia wa nchi mbili, linaonekana kupasua vichwa vya wanakamati hasa wanaotoka Zanzibar, kutokana na historia ya nchi hiyo.Kutokana na unyeti wa suala hilo imeelezwa na Katibu wa Bunge Maalumu...
View ArticleSTAMICO YATOA SHILINGI MILIONI 800 KWA MAENEO YA MGODI BUHEMBA
Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limetoa takribani Sh milioni 800 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, nyumba ya mwalimu na kituo cha afya katika eneo la mgodi wa Buhemba...
View ArticleDIWANI 'SHEHE BWANGA' AFARIKI BAADA YA KUUGUA GHAFLA KIKAONI
Diwani wa Kata ya Mzingani (CCM), Fadhili Bwanga (60) maarufu kwa jina la ‘Shehe Bwanga’ amekufa akipatiwa matibabu ya awali katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga ya Bombo (pichani) baada ya kuugua ghafla...
View ArticleMJUMBE BUNGE LA KATIBA APIGA KURA AKIWA KITANDANI HOSPITALINI
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi 201, Thomas Mgoli (pichani kushoto), ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, amelazimika kupiga kura hospitalini, kushiriki...
View ArticleTANZANIA KUONGOZA KWA WATAALAMU WA GESI AFRIKA
Utekelezaji wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete, ya kumwachia mrithi wake mazingira ya kuongoza nchi tajiri, umeanza kutoa mwanga, ambapo Tanzania sasa inajiandaa kuongoza Afrika kwa kuwa na wataalamu...
View ArticleUKAWA WATAKA CAG KUKAGUA MATUMIZI BUNGE MAALUMU LA KATIBA
Wajumbe wa Bunge Maalamu la Katiba, kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), limemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu kwenye matumizi ya fedha...
View ArticleHIZI NDIZO HOSPITALI ZITAKAZOTIBU WAATHIRIKA WA EBOLA
Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa mwenye virusi vya homa hatari ya ebola, wala anayehisiwa kuwa na ugonjwa huo nchini, Serikali imeshajiandaa kukabiliana na ugonjwa huo, ambao umeshaua zaidi ya...
View ArticleUNILEVER TANZANIA WAZALISHA AJIRA ELFU SABA
Kampuni ya Unilever Tanzania Limited imesema kutokana na Tanzania kuwa soko kubwa la bidhaa zao wametoa ajira kwa watu 7,000 kwa kuwekeza zaidi ya dola za Marekani milioni 70 (Sh bilioni...
View ArticleVITUO VYA USHAURI KWA WATOTO VYATENGEWA FEDHA
Serikali imetenga fedha kwa ajili ya vituo vyote vinavyotoa ushauri na kurekebisha watoto walio chini ya umri wa miaka 18 vilivyo chini ya Idara ya Ustawi wa jamii nchini.Msemaji wa Wizara ya Afya na...
View ArticleMAGONJWA YA AKILI SASA TISHIO KWA VIJANA
Asilimia 61 ya wagonjwa wa akili katika Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza inasadikiwa kuwa ni vijana, hali ambayo imeelezwa inachangia ongezeko la umasikini katika jamii.Mratibu wa Magonjwa ya Akili wa...
View Article