WAZEE WAKUMBUSHWA MEMA YA HAYATI EDWARD SOKOINE...
KUSHOTO: Gari alilokuwa akisafiria Edward Moringe Sokoine kutoka bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 1984 likiwa eneo la ajali iliyotokea eneo la Dakawa, nje kidogo ya Morogoro baada ya kugongwa na gari...
View ArticleSAKATA LA WILFRED LWAKATARE LAZUSHA MALUMBANO BUNGENI...
Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano mjini Dodoma.Suala la kushitakiwa kwa Mkurugenzi wa Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Teja mmoja katika maongezi yao kamwambia mwenzake: "Unajua mshikaji wangu, kweli siku hizi utandawazi umeshika kasi." Mwenzake akauliza: "Sijakuelewa!" Akaendelea: "Laana imegeuka kuwa baraka!"...
View ArticleAJIFUNIKA MFUKO WA PLASTIKI WAKATI NDEGE IKIPITA JUU YA MAKABURI...
Abiria wakimshangaa jamaa huyo aliyejifunika mfuko wa plastiki ndani ya ndege.Si ajabu kwa watu kuwa na matambiko au miiko wakati wanaposafiri kwenye ndege, kama kuvaa mkufu wa Mt. Christopher au...
View ArticleWANAJESHI WAWILI KORTINI KWA MAUAJI YA KUKUSUDIA YA DEREVA WA BAJAJI KAWE...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.Watu watatu wakiwamo wanajeshi wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kuua kwa...
View ArticleKIBAKA ANASWA AKIMWIBIA MTU SIMU KWA KUTUMIA VIJITI VYA KULIA CHAKULA...
Kibaka huyo akifanya vitu vyake mitaani mchana kweupe.Mwizi mmoja wa mifukoni mjanja nchini China amenaswa kwenye kamera akiiba simu kwa kutumia fimbo mbili za kulia chakula.Wang Hongbo, mwenye miaka...
View ArticleMWANAJESHI WA DRC AKIRI KUBAKA WANAWAKE 53, WAMO WATOTO WA MIAKA MITANO...
Mmoja wa wanajeshi wa DRC akizungumza na watoto kwenye ukanda wa vita.Mwanajeshi wa Congo amekiri kubaka wanawake 53 wakiwamo watoto wenye umri wa hadi miaka mitano wakati yeye na wenzake walipovamia...
View ArticleWALIMU 435 WAGOMEA RATIBA YA UGALI BUNDA...
Chuo cha Ualimu Bunda, mkoani Mara.Wanachuo 435 wa mwaka wa pili katika Chuo cha Ualimu Bunda, mkoani Mara, juzi waligoma kula chakula cha jioni kutokana na madai mbalimbali, ikiwa ni pamoja na...
View ArticleRAIS VLADIMIR PUTIN APITWA MSHAHARA NA MSEMAJI WAKE...
Rais Vladimir Putin (kushoto) na Msemaji wake, Dmitry Peskov.Rais wa Urusi Vladimir Putin inasemekana alivuna Rubles milioni 5.7 (Pauni za Uingereza 119,000 )mwaka jana - lakini msemaji wake alivuna...
View ArticleMBUNGE AIWAKIA CHADEMA KWA 'KUCHEZEA' KATIBA MPYA...
Dk Hamisi Kigwangala.Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala ametaka viongozi wa Chadema waliotoa kauli kuwa wataingilia mchakato wa Katiba wachukuliwe hatua za kisheria na kutishia kuwashughulikia iwapo...
View ArticleABIRIA 108 WANUSURIKA KIMIUJIZA KATIKA AJALI YA NDEGE...
Ndege hiyo baada ya kutumbukia baharini.Zaidi ya abiria 100 wamenusurika kimiujiza jana baada ya ndege kuvuka njia ya kutua/kuruka na kwenda hadi ufukwe wa Bali na kujikita kwenye bahari.Mashuhuda...
View ArticleMZIMU WA MAUAJI YA ALBINO WAMNYIMA USINGIZI PINDA...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akilia bungeni wakati alipokuwa akizungumzia suala la mauaji ya albino.Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema ni aibu kwa nchi kuendelea kushuhudia vitendo vya kuuawa na kukatwa...
View ArticleRAILA ODINGA 'AMVAMIA' RAIS UHURU KENYATTA IKULU...
Raila Odinga.Katika hali ambayo haikutarajiwa kuonekana katika siku za hivi karibuni, Rais mpya wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Ruto, jana walikutana na viongozi wa muungano wa Cord...
View ArticleRUSHWA, UZEMBE VYAITAFUNA TANESCO...
Moja ya miundombinu ya umeme inayomilikiwa na Tanesco.Wakati watendaji wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), wakilalamika kuwa shirika lina hali mbaya ya kifedha, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...
View ArticleMAMA MTAALAMU WA MAABARA AUA BINTI ZAKE WAWILI KWA KEMIKALI...
Heena akiwa na binti zake wawili, Jasmine (kushoto) na Prisha.Mtaalamu wa maabara anadaiwa kuwaua mabinti zake wawili wadogo kwa kutumia mchanganyiko wa sumu kabla ya kujiua katika msiba wa vifo...
View ArticleNDEGE YA BILIONEA WA ARUSHA YAANGUKA, YAMUUA "BABU SEMBEKE"...
Hii ndio ajali ya ndege iliyochukua uhai wa "Babu Sembeke".Mfanyabiashara mashuhuri mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, Peter Joseph (49), maarufu ‘Babu Sembeke’, amefariki dunia katika ajali ya ndege....
View ArticleBIBI MUUZA 'UNGA' ANAYESUBIRIA ADHABU YA KIFO HUKO BALI ATAMANI KUFA KWA...
Bibi Lindsay Sandiford akifuma masweta ndani ya selo yake anakosubiria adhabu ya kifo huko Bali.Bibi wa Uingereza anayekabiliwa na hukumu ya kifo huko Bali amefanya mahojiano yake ya kwanza wakati...
View Article