MAMA WA MTOTO WA MIEZI 10 NAYE KORTINI KWA MABOMU ARUSHA
Watuhumiwa 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, jana walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.Walisomewa mashtaka yanayowakabili chini ya ulinzi mkali ndani na nje ya viwanja vya mahakama.Wakati...
View ArticleUKAWA PASUA KICHWA, KIKAO CHAFANYIKA MASAA 10 BILA MAFANIKIO
Licha ya agizo la Rais Jakaya Kikwete la kuwataka viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), kuacha kususa na kurejea katika vikao vya Bunge...
View ArticleNBC YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 100 KWA STAR OILS
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetia saini makubaliano ya mkopo wa Sh bilioni 100 na kampuni ya kusambaza mafuta ya jijini Dar es Salaam ya Star Oils katika mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya...
View ArticlePINDA AAGIZA JIJI LA MBEYA KUONGEZA MAPATO
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya, kuongeza mapato yake ya ndani kwa kuweka mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato. Alitoa agizo hilo juzi wakati akizindua stendi ya kisasa ya...
View ArticleSUMAYE ATAJA SIFA ZA VIONGOZI WAZURI
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye amesema Watanzania wanatamani kupata viongozi wazuri na wanamwomba Mungu awasikilize na awasaidie katika hilo, huku akitaja baadhi ya sifa ambazo wangependa...
View ArticleKIKWETE, MARAIS 46 AFRIKA WAKUTANA NA OBAMA
Rais Jakaya Kikwete yuko Marekani kwa ziara ya siku tisa nchini humo ambako miongoni mwa mambo mengine, atahudhuria Mkutano wa Kwanza wa Kihistoria wa Viongozi wa Bara la Afrika na Marekani ulioitishwa...
View ArticleWANAFUNZI WATUMIA VISODA NA MABUA DARASANI
Upungufu wa vitabu, vifaa vya kufundishia na kuhesabia kwa watoto wa darasa la awali kwa baadhi ya shule za msingi katika Halmashauri ya Iramba, mkoani Singida unasababisha wanafunzi kutumia mabua,...
View ArticleARUMERU WATAKA SERIKALI IWALIPE SHILINGI BILIONI 3.7
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru, limemwagiza Mbunge wa Arumeru Magharibi, kufuatilia malipo yao ya Sh bilioni 3.7 kutoka serikali kuu baada ya serikali kuchukua viwanja...
View ArticleHATARI!! HOMA YA INI INAUA ZAIDI KULIKO UKIMWI
Idara ya afya mkoani hapa imehadharisha jamii dhidi ya ugonjwa wa ini, ikisema ni mbaya zaidi ya virusi vya Ukimwi. Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Emmanuel Mtika alitoa hadhari hiyo kwenye kikao...
View ArticleWATOTO 100 KUFANYIWA UPASUAJI WA MOYO INDIA
Watoto 100 wenye maradhi ya moyo, wanatarajiwa kwenda India kwa matibabu ya moyo, ukiwemo upasuaji baada ya kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam. Kambi ya uchunguzi...
View ArticleDEREVA WA BASI LILILOUA ABIRIA AJISALIMISHA POLISI
Dereva wa basi lililotumbukia katika korongo na kuua watu sita na kujeruhi vibaya wengine 18, waliokuwa wakisafiri kutoka Mbinga mjini kwenda Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, amejisalimisha polisi...
View ArticleBUNGE LA KATIBA KUANZA BILA WAJUMBE WA UKAWA
Bunge Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,...
View ArticleAJIFUNGUA WATOTO WANNE, HOSPITALI 2 NA SIKU MBILI TOFAUTI
Mkazi wa Kijiji cha Lupili wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Tecla Kazimili (24), amejifungua watoto wanne, watatu wa kike na mmoja wa kiume kwa njia ya kawaida katika hospitali mbili tofauti na siku...
View ArticleArticle 5
Washiriki wa Shindano la Redd's Miss Kinondoni 2014 wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mazoezi yanayofanyika kwenye Hoteli ya Piccolo jijini Dar es Salaam. Jumla ya warembo 20 wapo kwenye mazoezi...
View ArticleArticle 4
Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samwel Sitta akiongoza kikao cha Kamati ya uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya bunge hilo linaloanza kesho Agosti 5, 2014 baada ya kuahirishwa Aprili 25,...
View ArticleArticle 3
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na michezo, Said Ali Mbarouk akizungumza na wamiliki wa mahoteli pamoja na wenye kusambaza bidhaa katika mahoteli ili kutatua matatizo yao huko kwenye Ukumbi wa...
View ArticleArticle 2
Mratibu Maafa Ofisi ya waziri Mkuu, Edga Senga akipokea maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Florence Turuka kuhusu masuala ya maafa alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya...
View ArticleKAMPUNI YA SBC WAZINDUA SODA MPYA
Kampuni SBC watengenezaji wa vinywaji baridi, imezindua soda mpya aina ya Mirinda Green Apple. Hayo yalisemwa na Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Godlisten Mende wakati akizungumza na waandishi wa...
View Article