RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO KUMBUKUMBU YA MASHUJAA
Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa huku viongozi wa dini walioongoza dua wakiombea Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporudi bungeni kuweka uzalendo...
View ArticleWATU 19 TAABANI KWA KUFUTURU SAMAKI WENYE SUMU
Watu 19 wa familia moja wakazi wa shehia ya Sizini, Tumbe wilaya ya Micheweni, wamelazwa katika hospitali ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kula samaki aina ya Pono na Puju wanaodhaniwa...
View ArticleBUNGE LA KATIBA 'RUKSA' KUENDELEA BILA WAJUMBE WA UKAWA
Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalumu la Katiba imetoa mapendekezo kwa Kamati ya Uongozi kwamba Bunge Maalumu liendelee na mkutano wake wa pili wa Bunge hilo kuanzia Agosti 5 mwaka huu.Katika ngwe...
View ArticleSERIKALI YAIFUNGA HOSPITALI YA IMTU SAKATA LA MABAKI YA MIILI
Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) kinachohusishwa na utupaji wa viungo vya binadamu mithili ya takataka, imefungiwa kwa muda usiojulikana baada ya kugundulika kutokidhi...
View ArticleDIDIER DROGBA RE-SIGNS FOR CHELSEA
Chelsea have announced the return of Champions League hero Didier Drogba on a one-year deal.Drogba, now 36, left Stamford Bridge in 2012 after scoring the winning penalty in the Champions League final...
View ArticleBREAKING NEWS!! MWIMBAJI BAHATI BUKUKU APATA AJALI MBAYA YA GARI
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba, mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili hapa nchini, Bahati Bukuku amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali mbaya katika eneo la...
View ArticleNICE BOSS SAYS WORLD CUP KEEPER OSPINA TO JOIN ARSENAL
Arsenal are on the brink of signing Colombia World Cup star David Ospina after Nice boss Claude Puel confirmed his goalkeeper will join the Gunners.Ospina, who has 44 caps for Colombia, rose to...
View ArticleBENKI YA UCHUMI YAZIDI KUCHANJA MBUGA
Benki ya Uchumi (UCB) iliyopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, imetangaza faida ya Sh milioni 599.2, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14, ikilinganishwa na faida ya Sh milioni 524.2 kwa mwaka...
View ArticleSHULE ZA GREEN ACRES ZADAIWA KUTIRIRISHA MAJITAKA
Shule za Msingi na Sekondari za Green Acres zilizopo Tegeta Salasala, jijini Dar es Salaam, zinadaiwa kutiririsha maji ya kinyesi kupitia mkondo wa maji ya mvua.Imeelezwa kuwa tabia hiyo inaathiri...
View ArticleMANISPAA YA KINONDONI YATIMUA KAZI WATUMISHI WAKE
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imewafukuza kazi watumishi tisa wa idara mbalimbali kutokana na makosa ya utoro kazini pamoja na matumizi mabaya ya madaraka ya ofisi.Kwa mujibu wa taarifa...
View ArticleUTUMISHI KUWAINGIZA WATANZANIA HISTORIA YA MASHUJAA
Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kuingia katika historia ya mashujaa kwa kulitumikia taifa la Tanzania kiuadilifu.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro wakati akizungumza na wakazi...
View ArticleKAYA MASKINI KUOKOLEWA NA TASAF III
Mpango wa awamu ya tatu wa Mfuko wa Maendeleo ya jamii nchini (Tasaf), unatarajia kutumia Sh bilioni 408, kwa ajili ya kunusuru kaya masikini milioni 1.2 zinazoishi kwenye hali duni, imeelezwa....
View ArticlePOLISI YAAHIDI SIKUKUU TULIVU YA IDDI EL FITRI
Jeshi la Polisi nchini limejipanga kuhakikisha wananchi wanasherehekea sikukuu ya Idd el Fitr kwa amani na utulivu.Jeshi hilo limesema kwamba limeweka mikakati thabiti ya kuimarishwa ulinzi katika...
View ArticleLEO NI SIKU YA KULIOMBEA TAIFA
Watanzania bila kujali imani zao wameombwa kujitokeza kwa wingi leo katika maombi maalumu ya kuliombea Taifa amani, utulivu na uzalendo wa kweli na kuliepusha na vurugu na matukio ya kigaidi.Aidha,...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAPA IDD EL FITRI WAZEE WASIOJIWEZA
Rais Jakaya Kikwete ametoa msaada wa chakula kwa kambi ya wazee wasiojiweza ya Bukumbi, wilayani Misungwi mkoani hapa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitr.Msaada huo ulikabidhiwa jana kwa...
View ArticleMAWAKILI KWENDA MAREKANI KUSOMEA SHERIA ZA MAFUTA, GESI
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani...
View ArticleMAASKOFU WANAWAKE TANZANIA 'BADO KWANZA'
Pamoja na majimbo mawili ya kanisa la Anglikana nchini kuruhusu wachungaji wanawake, uamuzi wa kuwapa au kutowapa Uaskofu wanawake unategemea makubaliano ya mkutano wa Sinodi ya Anglikana nchini.Kauli...
View Article