11 PARENTS OF NIGERIA'S ABDUCTED GIRLS DIE
About a dozen parents of the more than 200 kidnapped Nigerian schoolgirls will never see their daughters again.Since the mass abduction of the schoolgirls by Islamic extremists three months ago, at...
View ArticleWATU WANANE MBARONI KWA MABAKI YA MIILI YA BINADAMU
Watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio la kutisha na kusikitisha ya kupatikana na viungo mbalimbali vya binadamu eneo la Mbweni Mpigi Majohe, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.Kamanda wa Polisi...
View ArticleBARABARA KUFUNGWA KUPISHA SIKUKUU YA MASHUJAA
Baadhi ya barabara za Jiji zitafungwa kwa muda kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa watu watakaohudhuria maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kesho.Barabara zitakazofungwa ni Lumumba, Uhuru na Bibi Titi,...
View ArticleMLEMAVU ASIYE NA MIGUU AZUIA MSAFARA WA RAIS KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuthibitisha moyo wake wa utu na kupenda watu hasa wahitaji, baada ya kusimamisha msafara wake, kushuka kwenye gari na kwenda kumsalimia mlemavu asiye na miguu.Mlemavu huyo,...
View ArticleMV KIGAMBONI KUPELEKWA KWENYE MATENGENEZO
Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) umetangaza kukipeleka kwenye matengenezo makubwa kivuko cha Mv Kigamboni.Aidha huduma za uvushaji watu pamoja na magari zitaendelea kutolewa na vivuko vya Mv Magogoni...
View Article'UPELELEZI WA KESI YA UGAIDI DAR HAUJAKAMILIKA'
Upande wa mashtaka umeomba kuongezewa muda wa kukamilisha upelelezi katika kesi ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi inayokabili watu 17. Wakili wa Serikali, Peter Njike alidai mahakamani mbele ya...
View ArticleWAUMINI WASEMA ASKOFU MPYA KKKT NI CHAGUO LA MUNGU
Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati, Arusha wamesema Askofu Mteule, Mchungaji Solomon Massangwa ni chagua la Mungu.Wamesema kwa nyakati tofauti kuwa...
View ArticleWALIOPATA DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE KUSOMESHWA BURE UALIMU
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewahakikishia wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka huu waliofaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza na kuamua kusomea ualimu wa Sayansi ngazi ya Stashahada,...
View ArticleMADAKTARI WATAKA IMTU IFUNGIWE SAKATA LA MABAKI YA MIILI YA BINADAMU
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) sanjari na hospitali iliyo chini yake, vinastahili kufungiwa. Tamko hilo la chama limekuja huku...
View ArticleWATU SITA KORTINI KWA ULIPUAJI MABOMU ARUSHA
Watu sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji...
View ArticleSULUHU BUNGE LA KATIBA KUSAKWA LEO
Wajumbe wote wa Bunge Maalumu la Katiba, wanakutanishwa leo katika kikao kilichoitishwa na Mwenyekiti, Samuel Sitta.Kikao hicho kimelenga kutafuta suluhu ya mvutano,uliosababisha baadhi ya wabunge...
View ArticleAIR ALGERIE LOSES CONTACT WITH PLANE OVER WEST AFRICA
Air Algerie said Today it had lost contact with one of its passenger aircraft nearly an hour after takeoff from Burkina Faso bound for Algiers.A company source told AFP that the missing aircraft was a...
View ArticleSURGEONS REMOVE 232 TEETH FROM INDIAN TEENAGER
Surgeons in Mumbai have removed 232 teeth from the mouth of an Indian teenager in what they believe may be a world-record operation, the hospital said Thursday.Ashik Gavai, 17, sought medical help for...
View ArticleNMB YAIPIGA JEKI VIFAA HOSPITALI YA SINZA
Hospitali ya Sinza jijini hapa inakabiliwa changamoto kadhaa, ikiwamo upungufu wa vifaa tiba na vitanda katika wodi ya wazazi.Akizungumza wakati wa kupokea msaada wa vifaa kutoka Benki ya NMB, Mganga...
View ArticleWADAKWA WAKIWA NA HEROIN NA VIFAA VYA KUJIDUNGA
Watu 12 wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya heroini yenye uzito wa gramu mbili pamoja na vifaa vya kujidunga wakiwa wamejifungia katika nyumba ya kulala wageni ya Kenios iliyopo maeneo ya Isevya...
View ArticleSONGAS, IPTL NDIO WAUZAJI PEKEE UMEME KWENYE GRIDI
Kampuni za Songas Tanzania na Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ndio kampuni pekee za binafsi zinazozalisha umeme kwa ajili ya gridi ya Taifa.Hayo yamesemwa na Kaimu Meneja Uhusiano wa...
View ArticleJAPAN YAONGEZA FEDHA UJENZI WA BARABARA ZA JUU
Serikali ya Japan imeongezea Tanzania Sh bilioni 5.7 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara za juu eneo la Tazara, Dar es Salaam zinazotarajia kuanza kujengwa Oktoba na Novemba mwaka huu.Hayo...
View Article