Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MSTAAFU MWAIPOPO AFARIKI KATIKA AJALI YA GARI...

Marehemu Jaji mstaafu Ernest Mwaipopo.Jaji mstaafu Ernest Mwaipopo (63) ambaye pia ni mmoja wa wajumbe wa Tume ya kurekebisha sheria, amekufa katika ajali ya gari iliyotokea jana mchana kijijini Mkata,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKONGO YA MAWASILIANO ILIYOKATIKA KUKAMILIKA APRILI 15...

Wataalamu wakishughulika uunganishaji wa mkongo wa mawasiliano chini ya bahari.Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imesema hadi Aprili 15 matengenezo ya mikongo miwili ya mawasiliano ya Easy na Seacom...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA WA KIZUNGU ALIYEWEKWA UTUMWANI NA FAMILIA YA WEUSI AKUTWA AMEKUFA...

KUSHOTO: Happy Sindane wakati alipokuwa na miaka 16. KULIA: Sindane akiwa kazini kuhudumia mifugo.Mtu mmoja ambaye aliwahi kudaiwa kuwa mtoto wa kizungu anayetumikishwa na familia ya watu weusi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MAKANDARASI YASHIKWA KIGUGUMIZI JENGO LILILOPOROMOKA DAR...

Jengo lililoanguka katikati ya jiji la Dar es Salaam.Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini (CRB) hadi jana ilishindwa kuzungumzia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 katikati ya Jiji la Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJAWAZITO WANG'ATISHWA NGE ILI WAPATE UCHUNGU RUKWA...

Mdudu aina ya Nge.Wakunga wa jadi mkoani Rukwa, wamekuwa wakitumia nge kusaidia wajawazito waliopitiliza muda wa kujifungua, kupata uchungu na kujifungua salama.Uchunguzi uliofanywa na mwandishi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI 'WASUSIA' MISA NA MAZISHI YA BILIONEA WA ARUSHA...

Marehemu Nyaga Mawalla.Wazazi wa Wakili Nyaga Mawalla, jana hawakuonekana katika misa, wala maziko ya mtoto wao, yaliyofanyika jijini hapa.Misa ya kumuaga Nyaga, anayetajwa kuwa bilionea kijana,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WAVAMIA STENDI KUU YA DALADALA UBUNGO...

Ni kweli kwamba kila mmoja hutafuta riziki yake kwa namna yake, lakini unapokosekana utaratibu mzuri hali hii hugeuka kero kama walivyonaswa abiria hawa ambao walikuwa wakihaha kutafuta sehemu salama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA WAMBARI WA UDSM AFARIKI DUNIA...

Mhadhiri wa Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Wakili maarufu, Profesa Michael Wambari, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ambako alikuwa akipatiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAJESHI WASAKWA KWA MAUAJI YA DEREVA WA BAJAJI KAWE...

Barabara hii iligeuka uwanja wa mapambano kwa muda.Polisi mkoani Kinondoni inashikilia watu 12 kwa kuvamia kituo cha Polisi Kawe na kuleta vurugu, huku likiwatafuta watu wanaodhaniwa kuwa askari wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MSTAAFU MWIPOPO KUZIKWA KESHO MUFINDI...

Marehemu Jaji Ernest Mwipopo.Jaji mstaafu Ernest Mwipopo (63) aliyefariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro anatarajiwa kuzikwa kesho katika kitongoji cha King’ola, kijiji cha Ibatu, Wilaya ya Mufindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUTOA MSIMAMO WAKE LEO KUHUSU ZIWA NYASA...

Wananchi wakiendelea na shughuli zao za uvuvi kwenye Ziwa Nyasa upande wa Tanzania.Serikali leo inatarajia kutoa tamko kuhusu msimamo wa Tanzania, baada ya Malawi kujitoa kwenye mazungumzo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASITISHA AWAMU YA PILI MATUMIZI YA DIKODA...

Dikoda ama Kisimbuzi.Watazamaji wa televisheni katika mikoa ambayo mfumo wa dijitali haujaanza kutumika wataendelea kuangalia matangazo bila kutumia visimbuzi (decorders).Hiyo imetokana na uamuzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FREEMAN MBOWE ABEBA AHADI ALIYOTOA BILIONEA WA ARUSHA...

Baadhi ya mawakili kutoka Dar es Salaam, Arusha na Moshi wakijiandaa kushusha kaburini jeneza lenye mwili wa marehemu Nyaga Mawalla 'Bilionea wa Arusha' jijini Nairobi, nchini Kenya juzi.Kiwanja cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI ATOA SIKU 30 JENGO LA GHOROFA 16 LIBOMOLEWE DAR...

KUSHOTO: Muonekano wa jengo hilo kutokea upande lilipoporomoka jengo lingine la ghorofa 16. KULIA: Jengo hilo kwa karibu.Wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Profesa Anne Tibaijuka akitoa siku 30...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Baada ya chakula cha jioni, mke kaanza kumlalamikia mumewe kuhusu ndoa yao na mambo yakawa hivi. MKE: Dia mbona siku hizi huniletei zawadi kama ulivyokuwa ukifanya wakati tukiwa wachumba? MUME: We...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAITAKA MALAWI KUACHA KUTAPATAPA ZIWA NYASA...

Bernard Membe.Serikali  imeitaka  Malawi  kuacha  kutapatapa kuhusu mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizi mbili katika Ziwa Nyasa na imesisitiza kuwa na ushahidi wa kutosha wa uhalali wa  mipaka hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZIMAJI MITAMBO YA ANALOJIA KUENDELEA KAMA ILIVYOPANGWA...

Profesa Makame Mbarawa.Serikali imesisitiza kwamba uzimaji wa mfumo wa analojia kwenda dijitali utaendelea kama kawaida na kusema hakuna visimbuzi vitakavyositishwa wakati kazi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASICHANA WADOGO 13 WACHANGAMKIA 'NGONO YA VITA TAKATIFU'...

Askari walioasi nchini Syria wakishangilia moja ya mafanikio yao.Takribani wasichana 13 wa Tunisia wameripotiwa kusafiri kwenda eneo la Kaskazini mwa Syria linaloshikiliwa na waasi kujitolea kujiuza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE AFUKIWA NA KIFUSI CHA JENGO MASAA 36 NA KUTOKA AKIWA HAI...

Wafanyakazi wa ukoaji baada ya kumnasua mwanamke huyo kutoka kwenye kifusi.Mwanamke mmoja aliyejeruhiwa amelazimika kunyofolewa akiwa hai kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoporomoka baada ya kukaa...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live