Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4500

CHEKA TARATIBU...

$
0
0
Baada ya chakula cha jioni, mke kaanza kumlalamikia mumewe kuhusu ndoa yao na mambo yakawa hivi. MKE: Dia mbona siku hizi huniletei zawadi kama ulivyokuwa ukifanya wakati tukiwa wachumba? MUME: We uliona wapi samaki anapewa chambo wakati akishavuliwa kwenye maji! Kasheshe...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4500

Trending Articles