PASAKA NYINGINE YAJA MACHI 14 MWAKA HUU...
Wakati asilimia kubwa ya Wakristo duniani wakiwa wanaadhimisha Sikukuu ya Pasaka, Kanisa la Watch Tower lililojichimbia nchini na kufanya makao makuu yake ya dunia katika Kitongoji cha Kitika wilayani...
View ArticleHILI NDILO JIJI HATARI ZAIDI KUISHI HAPA DUNIANI...
Baadhi ya ndugu wakiuguza wapendwa zao walioathirika na vurugu za jijini San Pedro Sula.Jiji la San Pedro Sula nchini Honduras linaongoza orodha ya maeneo yenye vurugu zaidi duniani katika sayari hii,...
View ArticleALIYENUSURIKA AJALI GHOROFA LILILOPOROMOKA ASIMULIA MKASA MZIMA...
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Salma wakimjulia hali Mohammed Ally Bhamji, mmoja wa majeruhi wa ajali ya jengo lililoporomoka Ijumaa iliyopita Barabara ya Morogoro na Indira Ghandhi, Dar es Salaam,...
View ArticleCAF YAIPA TAIFA STARS POINTI 3 DHIDI YA IVORY COAST, SASA YAONGOZA KUNDI...
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.Ndoto za Tanzania kushiriki fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil sasa zimekaribia kabisa kutimia baada ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)...
View ArticleUOKOAJI WAKAMILIKA KWA VICHWA KUOPOLEWA JENGO LILILOPOROMOKA DAR...
Wafanyakazi wakihitimisha zoezi la uokoaji jana.Vichwa viwili vya binadamu, ni miongoni mwa miili ya watu 36 waliopatikana wakati wa uopoaji katika jengo la ghorofa 16 lililoporomoka siku ya Ijumaa...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa baada ya maongezi akaamua kuchukua simu ya mpenzi wake na kuanza kutafuta jina lake bila mafanikio. Mwishowe akapata wazo la kujaribu kubipu simu ya mpenzi wake. Toba! Likatokea jina SHABANI...
View ArticleRATIBA YA MAZIKO YA BILIONEA WA ARUSHA YATOLEWA...
Nyaga Mawalla.Ratiba ya maziko ya Wakili Nyaga Mawalla ilitolewa jana, ambapo misa ya kuaga mwili wa marehemu, inatarajiwa kufanyika kesho katika Kanisa la Uhuru Highway Lutheran Church, lililopo...
View ArticleWATU 13 WAFA KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI KATIKA MGODI ARUSHA...
Hali ilivyokuwa eneo la tukio jana.Watu 13 wamekufa papo hapo huku zaidi ya 20 wakisadikiwa kufunikwa na kifusi wakati wakichimba mchanga kwenye machimbo yaliyoko Moshono nje kidogo ya hapa. Tukio hilo...
View ArticleMWILI WA ASKARI WAKAA KWENYE GARI NJE YA BAA MIEZI MINNE BILA KUGUNDULIKA...
Baa ambako mwili wa O'Brien ulikutwa baada ya miezi minne.Mwili wa mwanajeshi wa zamani umelala bila kugundulika ndani ya gari lililoegeshwa kwenye baa kwa miezi minne licha ya majaribio kadhaa ya...
View ArticleABIRIA VIBONGE WAANZA KUONJA MAKALI YA NAULI ZA NDEGE...
Abiria kama huyu sasa wameanza kupata karaha ya nauli mpya kwenye ndege.Ndege za Samoa zimeanza rasmi kuwatoza abiria kwa kiti kufuatana na kiasi cha uzito alichonacho.Chini ya mfumo mpya abiria...
View ArticleKAMANDA CHARLES KENYELA AKANA KULISHWA SUMU...
Kamanda Charles Kenyela.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela amekanusha taarifa zilizoenezwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba alilishwa sumu au alikula sumu badala yake...
View ArticleDALADALA, MABASI YA MIKOANI, TRENI SASA NAULI JUU...
Baadhi ya mabasi yaendayo mikoani yakipakia abiria Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo, Dar es Salaam.Nauli kwa mabasi ya daladala jijini Dar es Salaam, yaendayo mikoani na usafiri wa treni katika Reli ya...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja katika pitapita zake kamkuta chizi akiandika barua na mambo yakawa hivi. JAMAA: Vipi hiyo barua unamtumia nani? CHIZI: Najitumia mimi mwenyewe. JAMAA: Ni ujumbe gani umo katika hiyo barua?...
View ArticleMWANAMKE AUZA MTOTO WA KAKA YAKE SHILINGI MILIONI MOJA...
Kamanda DIwani Athumani.Mkazi wa Kijiji cha Mpemba wilayani Momba, anashikiliwa na polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuuza mtoto wa kaka yake, ili apate fedha ya kusaidia kesi ya baba wa mtoto huyo....
View ArticleYABAINIKA! JENGO LILILOPOROMOKA LILIONGEZWA GHOROFA SITA KINYEMELA...
Jengo lililoporomoka katika mitaa ya Morogoro na Indira Ghandhi, Dar es Salaam Ijumaa iliyopita.Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limedai mbia wake katika ujenzi wa jengo lililoanguka Ijumaa iliyopita...
View ArticleTUCTA YATAKA KODI YA MAPATO IPUNGUZWE...
Nicholaus Mgaya.Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) limeazimia kushinikiza Serikali katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha 2013/14, ipunguze kodi ya mapato kwa wafanyakazi (PAYE) hadi asilimia 11...
View Article