DOLA YAOMBWA KUSAMBARATISHA UGAIDI NCHINI
Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), imeomba Serikali kutumia dola kusambaratisha mtandao wa ugaidi, ambao umekuwa ukilipua makanisa na maeneo yake.Katika tamko hilo, Tume hiyo ilitaja tukio...
View ArticleMAHAKAMA YAAHIDI KUONDOA MLUNDIKANO WA KESI
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema Mahakama imejipanga kuondoa tatizo la mlundikano wa mashauri ya muda mrefu ndani ya miezi18 ijayo.Kauli hiyo aliitoa jana katika ufunguzi wa...
View ArticleTIC KUENDELEA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI
Kituo cha Uwekezaji (TIC) kitaendelea kusaidia wajasiriamali wadogo, kujenga uwezo katika biashara zao, ili wakue na kukuza uchumi wao na wa nchi kwa ujumla. Mkurugenzi wa Huduma wa kituo hicho,...
View ArticleMAHAKAMA YATUPA OMBI LA MBUNGE WA JIMBO LA BAHI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la Mbunge Bahi, Omary Badwell (CCM), la kusitishwa kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane inayomkabili....
View ArticleHOMA YA DENGUE SASA YATAPAKAA KILA KONA
Wakati watu 400 wakithibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine watatu wakifariki dunia, Serikali imetoa taarifa kuhusu dalili za ugonjwa huo na namna inavyokabiliana nao.Mbali na kutoa...
View ArticleUNDP YATOA DOLA MILIONI 22 KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limetenga dola za Marekani milioni 22 kwa ajili ya kuunga mkono utoaji elimu kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini. Kiongozi wa shirika hilo, Helen Clark...
View ArticleANAYETUHUMIWA KUUA WAZAZI WAKE KWA SHOKA AKAMATWA
Mtuhumiwa wa mauaji ya kutisha aliyekuwa akisakwa na Polisi pamoja na wananchi, kwa tuhuma za kuua wazazi wake wawili, amekamatwa baada ya kujitokeza mwenyewe kuomba chakula, kutokana na njaa...
View ArticleUPANDISHAJI VYEO WAUGUZI WATAKIWA KUREKEBISHWA
Rais Jakaya Kikwete, ameagiza utaratibu wa upandishaji wa vyeo kwa wauguzi, urekebishwe ili wenye sifa wapate stahili zao huku akikemea tabia ya baadhi ya viongozi wenye tabia ya kuwanyima wafanyakazi...
View ArticleMAPATO YA ZANZIBAR KWENYE MUUNGANO YAWEKWA HADHARANI
Fedha zinazopelekwa Zanzibar kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kibajeti, kiuchumi na kijamii, zimewekwa wazi ambapo miongoni mwake zipo zinazotokana...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA BALOZI WA MALAWI
Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, jana aliongoza mamia ya wananchi wakiwamo viongozi wa Serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na wanataaluma, kuuaga mwili wa Balozi wa Malawi nchini, Flossie...
View ArticleMPANGO WA KUSHUSHA GHARAMA ZA UMEME WASITISHWA
Serikali imetangaza na kusisitiza mpango wake wa kupunguza bei ya umeme kwa wananchi, utakaoanza mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Naibu Waziri wa...
View ArticleNIRUSHIE CHENJI YA BUKU-BUKU
Kijana mmoja baada ya kuchanganyikiwa na wingi wa wateja waliofurika dukani kwake wakitaka huduma mbalimbali mida ya asubuhi, akajikuta katika tatizo kubwa la ukosefu wa chenji. Kila aliyetoa fedha...
View ArticleRIO FERDINAND TO LEAVE MANCHESTER UNITED
Former England defender Rio Ferdinand will leave Manchester United after the Old Trafford club did not offer the central defender a new contract. Ferdinand, 35, played in United's final Premier League...
View ArticleArticle 17
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akijaribu kumwelezea Rais wa Malazi, Joyce Banda jinsi alivyopokea taarifa za kifo cha Balozi Flossie Gomile-Chidyaonga. Kulia ni mume...
View ArticleArticle 16
Rais Jakaya Kikwete akikabidhi mfano wa kadi ya uanachama wa NSSF kwa mwanachama mpya aliyejiunga na Mpango wa Madini, Emmanuel Ismael kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC, mjini Arusha jana.
View ArticleArticle 15
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi akisoma Bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2014/2015 bungeni mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 14
Baadhi ya wananchi wa jiji la Blantyre na maeneo mengine wakisubiria mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossie Gomile-Chidyaonga kwenye Uwanja wa ndege wa Blantyre jana.
View ArticleKAHAMISHIWA WODI IMEANDIKWA MOCHWARI
Jamaa mmoja kutoka kijijini alitumwa kuja Dar kufuatilia hali ya baba yake aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili. Alipofika akapigiwa simu na wenzake wa kijijini na mambo yakawa hivi. JAMAA:...
View ArticleBOA YATOA MIKOPO NAFUU KWA SEKTA YA AFYA
Benki ya BOA Tanzania imeanza kutoa mikopo ya riba nafuu kwa sekta ya afya, ili kuwezesha zahanati, vituo vya afya na hospitali kutoa huduma bora kwa wananchi.Meneja Mwandamizi wa Masoko wa benki hiyo,...
View ArticleBALOZI WA MISRI AIPA MUHIMBILI VIFAA VYA MILIONI 400
Balozi wa Misri nchini ametoa msaada wa vifaa vya upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili vyenye thamani ya Sh milioni 400.Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo, Dk Marina Njelekela, alisema hayo...
View Article