Article 13
Sehemu ya malori yakiwa kwenye foleni ya zamu ya kupakia mizigo katika Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo eneo la Obajana, Jimbo la Kogi, kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa jiji la Lagos,...
View ArticleArticle 12
Waombolezaji wakiwa wamebeba moja kati ya miili ya wazazi wawili waliouawa juzi kwa shoka na mtoto wao tayari kwa mazishi katika kijiji cha Masama-Roo, Machame Mashariki, wilayani Hai katika mkoa wa...
View ArticleKIBUKU YAZINDUA BIDHAA MPYA
Kampuni ya Dar Brew maarufu zaidi kama Kibuku, imezindua rasmi bia mpya ya asili ya ‘Kibuku Super’, iliyowekwa katika chupa maalumu, ambayo mteja anaweza kuondoka nayo.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleUTEKELEZAJI MATOKEO MAKUBWA TPA WAENDELEA VIZURI TPAI
Utekelezaji wa mkakati wa Matokeo Makubwa Sasa katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), umeelezwa kwenda vizuri.Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na TPA ya kati ya Julai 2013 na Machi 2014 kuhusu...
View ArticleEXIM BANK YATOA MAGODORO 60 HOSPITALI YA MWANANYAMALA
Benki ya Exim ya Tanzania imeadhimisha Sikukuu ya Mama Duniani kwa kuchangia magodoro 60 katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Imefanya hivyo ili kutoa heshima kwa...
View ArticleMISINGI YA UTAWALA BORA YAENDELEA KUWEKWA
Serikali ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini, kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na...
View ArticleBAJETI YA WIZARA YA KILIMO NA USHIRIKA YAPITA
Pamoja na wabunge kuchachamalia makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kuondoa shilingi mara kadhaa, bajeti hiyo ilipita pamoja na maboresho.Maboresho hayo ni pamoja na...
View ArticleMREMA AIOMBEA HERI NDOA YA CHADEMA, NCCR NA CUF
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP ) ametaja ushirikiano wa vyama vitatu vinavyounda kambi rasmi ya upinzani bungeni kwamba ni ndoa ambayo kama wahusika wangekuwa na nia njema, ungeanza siku...
View ArticlePROFESA TIBAIJUKA ATAJA VIKWAZO VYA UPANGAJI MIJI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema zoezi la upangaji miji, haliwezi kufanikiwa, iwapo wanaohusika hukimbilia mahakamani huku kesi zikichukua muda mrefu...
View ArticleMANUFAA YA MWEKEZAJI KIWANDA CHA SARUJI MTWARA HAYA HAPA
Rais Jakaya Kikwete amejionea manufaa wanayopata wananchi waliozunguka kiwanda kikubwa cha saruji duniani, ikiwemo kujengewa nyumba, kupata huduma za uhakika za umeme, maji na vijana wao kupelekwa...
View ArticleMNYIKA ATAKA BAJETI YA WIZARA YA MAJI ISISOMWE LEO
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika ameshauri bajeti ya Wizara ya Maji isisomwe leo bungeni, badala yake irudishwe kwenye kamati ya bajeti waifumue kwa kuiongezea fedha. Katika mkutano na waandishi wa...
View ArticleMKUTANO WA BUNGE LA BAJETI KUENDELEA LEO
Mkutano wa 15 wa Bunge la Bajeti, unaingia wiki ya pili ya vikao vyake, ambavyo wizara zinawasilisha bajeti zake huku leo Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira zikiwasilisha bajeti zake. Bunge...
View ArticleHIZI NDIZO SABABU ZA KIFO CHA BALOZI WA MALAWI
Maofisa wa Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wenzao wa Serikali ya Malawi, wameendelea na maandalizi msiba wa ghafla wa Balozi wa Malawi nchini, Flossie Chiyaonga.Akizungumza jana na waandishi...
View ArticleVITA DHIDI YA UJANGILI SASA NI KIMATAIFA
Tanzania imesaini mikataba minne na Jumuiya za Kimataifa na wadau wa kuhifadhi mazingira, kwa ajili ya kupambana na ujangili na uhalifu wa wanyamapori katika hifadhi na mbuga za wanyama nchini...
View ArticleBOKO HARAM REVEAL MISSING SCHOOL GIRLS WILL ONLY BE RELEASED IF ISLAMIST...
The schoolgirls kidnapped by Islamic militant group Boko Haram have been paraded on video. The terror group said all of them had been converted to Islam while being held and all were shown wearing...
View ArticleArticle 17
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma wakitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius...
View ArticleArticle 16
Baadhi ya wauguzi waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani) mjini Arusha jana.
View ArticleArticle 15
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), jijini Dar es Salaam jana.
View ArticleArticle 14
Wauguzi wa Zanzibar wakiimba wimbo wa Siku ya Wauguzi Duniani wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kwenye Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Kidongo Chekundu, Zanzibar jana.
View ArticleTIGO YAJA NA NJIA RAHISI ZAIDI YA KUTUMA NA KUPOKEA PESA
Kampuni ya simu za mikononi ya Tigo Tanzania, imezindua huduma mpya ya kutuma na kupokea fedha kwa njia rahisi na ya ufanisi zaidi kwa wateja wenye simu zenye programu aina ya android na iOS, ambayo ni...
View Article