Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GHOROFA LAPOROMOKA DAR, 60 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA...

Baadhi ya wasamaria na vikosi vya uokoaji wakitoa majeruhi na baadhi ya miili ya watu.Kama ilivyo kawaida ya 'wabongo'! Umati wa watu ukikimbilia kwenye eneo la tukio bila tahadhari yoyote.Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATAMBA NA KICHWA CHA MWENZAKE MITAANI MWANZA...

Kamanda Ernest Mangu.Mkazi mmoja wa eneo la Bugarika jijini Mwanza ameuawa na wananchi wenye hasira baada ya kufanya mauaji kwa mwenzake kwa kumtenganisha kichwa, kisha kuanza kutamba nacho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA MWANAMIELEKA MKONGWE AFARIKI DUNIA...

KUSHOTO: Reid Fliehr. KULIA: Mwanamieleka mkongwe, Ric Flair.Mtoto wa kiume mwenye miaka 25 wa mwanamieleka mkongwe, Ric Flair amefariki dunia.Wakala wa Flair ameeleza: "Tunasikitika kuthibitisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 40 BADO WAHOFIWA KUFUNIKWA NA JENGO DAR...

Jengo hilo baada ya kuporomoka ambapo inahofiwa bado kuna watu 40 chini ya kifusi hiki.Ni tukio la kusikitisha na kuhuzunisha baada ya jengo la ghorofa 16 lililokuwa likijengwa katika makutano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOGOMA BBC KUREJEA ENDAPO NELSON MANDELA ATAFARIKI DUNIA...

Waandishi na mafundi wa BBC wakitoka ofisini katika kutekeleza mgomo wao.Viongozi wa chama wamesema wafanyakazi wa BBC waliogoma wanaweza kurejea kazini kwa ajili ya tukio la kifo cha Nelson Mandela -...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEMUUA PADRI EVARIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR...

Marehemu Padri Evarist Mushi.Jeshi la Polisi limesema anayedaiwa kuwa muuaji wa Padri Evarist Mushi amekamatwa na ametambuliwa na watu walioshuhudia tukio hilo.Kauli hiyo ya Polisi inakuja siku moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMBAZI ANYWA SUMU MAHAKAMANI AKIJARIBU KUJIUA...

Gereza la Mahabusu Harare ambako Muza alikuwa akishikiliwa kusubiri hukumu yake.Jambazi wa kutumia silaha amekimbizwa hospitali nchini Zimbabwe baada ya kwa namna ya ajabu kujaribu kujiua mahakamani,...

View Article


HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA JENGO LILILOPOROMOKA DAR...

View Article


HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA JENGO LILILOPOROMOKA DAR...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJARIBU KUUA KWA KUMTEGEA SUMU MWANAME KWENYE VIATU...

Mtu mwenye miaka 40 amekamatwa nchini Japan kwa tuhuma za kujaribu kumuua mwanamke mmoja kwa kumwekea sumu ya tindikali ya Haidrofloriki kwenye viatu vyake.Tatsujiro Fukasawa amekana mashitaka kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Jamaa kaomba kazi ya ulinzi. Akajibiwa kwamba aje na cheti chake. Pia lazima awe anajua kuongea Kiingereza. Jamaa akahoji: "Kwani hao wezi wanaokuja kuiba hawajui Kiswahili?" Kasheshe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHURU KENYATTA SASA RAIS HALALI WA KENYA...

Uhuru Kenyatta.Mahakama Kuu ya Kenya imeamua kuwa Rais mteule Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza William Ruto, walichaguliwa kwa njia huru na ya haki katika uchaguzi uliofanyika Machi 4, mwaka huu.Uamuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHANGUDOA WA KINYARWANDA WAKUTWA NA ARVs DODOMA...

Machangudoa wakiwa kazini.Wanawake watatu raia wa Rwanda wanaosadikiwa kuendesha biashara ya ukahaba mjini Dodoma wamekamatwa na kupewa siku tatu kuondoka nchini, huku wawili kati yao wakikutwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI ABAKWA NDANI YA BASI AKITOKA 'SHOPINGI'...

Binti huyo alikuwa akitokea kwenye maduka haya.Msichana mdogo amebakwa na wanaume wawili kwenye sehemu ya juu ya basi baada ya kutoka kwenye eneo lenye maduka mengi akiwa na rafiki yake.Msichana huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOKUFA JENGO LILILOPOROMOKA DAR SASA WAFIKIA 22...

Jengo hilo lililokuwa na ghorofa 16 baada ya kuporomoka juzi.Wakati Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema linamshikilia mmiliki wa kampuni ya Lucky inayodaiwa kujenga ghorofa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA DUNIA YATOA BILIONI 120 KUSAIDIA BAJETI TANZANIA...

Ramadhan Khijjah.Shilingi bilioni 120 zimetolewa na Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia BajetiĀ  ya Serikali ya mwaka ujao wa fedha itakayosomwa mwezi Juni mwaka huu.Fedha hizo ambazo ni mkopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Mwalimu wa Kiingereza kamuuliza mwanafunzi wake katika shule moja ya kata. Mwalimu: "Ikiwa mwanaume anaitwa MAN, mwanamke je?" Mwanafunzi: "Huyo ataitwa ARSENAL!" Kasheshe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDADI YA WALIOKUFA JENGO LILILOPOROMOKA YAONGEZEKA, SASA NI 30...

Waokoaji wakinasua moja ya miili iliyopatikana jana jioni kwenye kifusi cha jengo hilo.Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ajali ya kuanguka ghorofa jijini Dar es Salaam imefikia 30 baada ya...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live