GERRARD SLIP COSTS LIVERPOOL AS CHELSEA BLOW TITLE RACE WIDE OPEN
Demba Ba and Willian struck at the end of each half as Chelsea blew the Premier League title race wide open with a hard-fought 2-0 victory over leaders Liverpool at Anfield.The Senegal international...
View ArticleATLETICO TAKE HUGE STEP TOWARDS TITLE WITH VALENCIA
Atletico Madrid took another huge step towards the Spanish league title with a hard-fought 1-0 win over Valencia.Raul Garcia scored the only goal of the game just before half-time, putting Atleti six...
View ArticleArticle 8
Rais Jakaya Kikwete akimwandikia kitu Rais Joyce Banda wa Malawi wakati wanaagana jana Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Rais Banda alikuwa miongoni mwa marais waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya...
View ArticleArticle 7
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza mgonjwa Manford Kasebele aliyefanyiwa upasuaji wa moyo katika kituo kipya cha upasuaji wa moyo, tiba na mafunzo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, baada ya...
View ArticleArticle 6
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Bw. Erick Mfinanga (kulia) na Bi. Farida Rashid (kushoto) wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa katika semina maalumu ya ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya...
View ArticleArticle 5
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Seif Rashid akisikiliza maelezo kutoka kwa Mshauri wa Masuala ya Afya wa kampuni ya Mafuta ya BG Tanzania, Dk Gerald Lenjima kuhusu namna kampuni hiyo...
View ArticleTWB KUTOA MIKOPO YA VIWANJA KWA WANAWAKE
Benki ya Wanawake (TWB) imebuni mpango wa kuwainua wanawake wajasiriamli, kwa kuwapatia viwanja vilivyopimwa kisheria vyenye hati miliki ili kuwawezesha kukopesheka kirahisi.Mpango huo unatokana na...
View ArticleKAMPUNI ZAHIMIZWA KUUNGANA KUZUIA MALARIA
Kampuni mbalimbali zimehimizwa kuungana katika juhudi za kuzuia na kutibu malaria kupitia mkakati wa pamoja , ujulikanao kama Malaria Safe Initiative.Mkakati huu unalenga kuhamasisha sekta binafsi,...
View ArticleSERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA TAASISI ZA DINI
Serikali imesema inatambua umuhimu na mchango wa taasisi za kidini nchini katika maendeleo. Hayo yamo kwenye hotuba ya Rais Jakaya Kikwete iliyosomwa jana mjini na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyirembe...
View ArticleSIKU YA UHURU WA HABARI KUADHIMISHWA ARUSHA
Wanataaluma na wadau wa habari wanakutana wiki hii mjini Arusha kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani (WPFD) . Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo Vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania...
View ArticleVIZIWI BUGURUNI KUPATIWA VIFAA VYA TEHAMA
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote umeipatia Shule ya Msingi Buguruni Viziwi msaada wa vifaa vya Tehama na huduma ya mtandao wa intaneti, vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 16 kwa ajili ya kufundishia...
View ArticleASILIMIA 98 DARASA LA PILI HAWAELEWI WANACHOSOMA DARASANI
Tathmini ya msingi ya Taifa kupima uwezo wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa wanafunzi wa Darasa la Pili, imebaini kuwa asilimia 98 ya wanafunzi wa darasa hilo nchini, hawaelewi...
View ArticleLIVERPOOL'S LUIS SUAREZ WINS PFA PLAYER OF THE YEAR AWARD
Liverpool’s Luis Suarez didn’t score on the pitch yesterday, but he took away a major haul in the evening when he was named PFA Player of the Year.Chelsea’s Eden Hazard finished second, with Manchester...
View ArticleEGYPT SENTENCES 683 TO DEATH IN MASS TRIAL
MINYA, Egypt — A judge in Egypt on Monday sentenced to death 683 alleged supporters of the country's ousted Islamist president in the latest mass trial that included the Muslim Brotherhood's spiritual...
View ArticleArticle 19
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi na makamanda waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu 2069 kwa ajili ya matumizi katika maktaba za...
View ArticleArticle 18
Mke wa Makamu wa RAis, Asha Bilal akimjulia hali mgonjwa wa saratani, Rahima Gumbo aliyelazwa katika hospitali ya Agakhan, wakati wa ziara ya wake wa viongozi hospitalini hapo, Dar es Salaam jana....
View ArticleArticle 17
Askari wa Usalama Barabarani akizungumza na dereva aliyekuwa akiendesha gari kwa kupanda na njia ya Edward Sokoine ambayo kwa mujibu wa taratibu mpya ni makosa kupandisha na njia hiyo.
View ArticleArticle 16
Baadhi ya wastaafu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika foleni ya kuhakiki majina yao katika mpango unaoendesha na hazina na kufanyika katika wanja vya Karimjee Dar es Salaam jana.
View Article