Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

MWANDISHI WA HABARI MKONGWE AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa Habari Mkongwe, Maurus John Sichalwe amefariki dunia asubuhi ya kuamkia jana  nyumbani kwake Mwananyamala Kanisani akiwa na umri wa miaka 83. Taarifa iliyotolewa na mtoto wa marehemu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CONGO PROVINCE POISED TO START CERTIFIED 'CONFLICT-FREE' TIN EXPORTS

By Peter Jones (Reuters)Democratic Republic of Congo's tin producing North Kivu province may begin exports of certified 'conflict-free' minerals as soon as next week after the roll-out of a new barcode...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOPELESS MOYES SINKS TO MISERABLE NEW LOW AT MAN UNITED

How embarrassing from Manchester United. How feeble. How hopeless. Just how? How on earth has it got quite this bad? Champions in name for only a fortnight longer, it will be 12 months on Tuesday since...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

Uwanja wa Taifa jana jioni muda mfupi kabla ya tamasha la Pasaka kuanza,Tamasha la pasaka limeandaliwa na kampuni ya Msama Promotions Ltd.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLICE INVESTIGATE COCAINE SCANDAL AT MAJOR FOOTBALL CLUB IN ENGLAND

Police have been called in to investigate an alleged drugs scandal at a major football club in England, according to a report.The Observer revealed on Sunday that senior members of staff at the club –...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA BASI YAUA WATU 10, YAJERUHI WENGINE 30

Watu 10 wamekufa  papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya basi la Luhuye Express lililokuwa likitoka wilayani Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza jana.Kamanda wa Polisi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI VYUO VIKUU WAWASIHI UKAWA KUREJEA BUNGENI

Wanafunzi kutoka vyuo 10 vya elimu ya juu nchini, wamewasihi wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na majadiliano. Waliyasema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUDHIBITI WASICHANA KWENDA CHINA

Serikali imesema iko katika mikakati kuhakikisha inadhibiti vitendo vya wasichana kwenda China bila sababu maalumu ikiwa ni njia ya kudhibiti vitendo vya watoto wa kike kujihusisha kwa biashara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO KIKUU INDIA KUWAKOMBOA VIJANA

Chuo Kikuu cha Rajendra Singh cha nchini India kimesema kipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuwapatia vijana elimu ya masuala ya kibiashara waweze kujiajiri na kuwaajiri wengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE ZILIZOACHWA NA NYERERE BADO ZINAFANYA KAZI

Wakala wa Ndege za Serikali umesema  unajivunia kuwa na ndege  mbili zilizoachwa na Hayati  Mwalimu Julius Nyerere zinazohudumia viongozi wote wa Muungano hadi sasa.Ofisa Masoko wa wakala huo, Monica...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WATEKETEZA MADUKA NA NYUMBA YA MBUNGE

Moto umezuka mjini Dodoma na kusababisha maafa katika maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Makilagi iliyoteketea na mali mbalimbali. Wakati  nyumba hiyo ya Mbunge na Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA MOSHI CHANG'A AFARIKI, KUAGWA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Moshi Chang’a amefariki dunia  na mwili wake utaagwa leo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya aliliambia gazeti hili jana kwamba Chang’a alifariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTCL YATOA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA

Wakati Wakristo  duniani  kote wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka, Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imetumia fursa hiyo kutoa msaada wa vyakula kwa vituo vitatu vya watoto yatimaAkikabidhi msaada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA EPZA CHAPATA MASOKO MAREKANI, UINGEREZA

Kiwanda cha nguo katika eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) jijini Dar es Salaam, kimepata masoko  Marekani na Uingereza ambako kinauza jeans na fulana zinazozalishwa. Meneja...

View Article

KAMPUNI ZA WATANZANIA ZAPIGIWA DEBE

Serikali imeombwa kuzijengea uwezo na  kuzipa kipaumbele kampuni za ujenzi za ndani katika miradi mikubwa kwa kuwa zina uwezo wa teknolojia na vifaa vya kisasa.Hayo yalisemwa na Meneja Miradi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUPATA MAABARA INAYOTEMBEA

Katika kupambana na magonjwa ya mlipuko kama Ebola, Tanzania itakuwa nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na maabara inayotembea.Hayo yamebainishwa jana  jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DRC, TANZANIA WATAKA MSAADA KUNUSURU ZIWA TANGANYIKA

Serikali ya Tanzania na ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimetaka Jumuiya ya Kimataifa na marafiki wengine kutoa msaada wa hali na mali katika juhudi za nchi hizo kutekeleza mradi  unaohusisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

Wakazi wa Dar es Salaam wakipita kwenye Daraja la Mto Msimbazi lililoharibiwa na mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini eneo la Jangwani jana.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa magonjwa ya binadamu (NIMR), Dk. Mwele Malecela akizunumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana kuhusu kufanyika kwa kongamano la...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live