ATENGENEZA GARI LA AJABU KWA KUTUMIA MABAKI YA NDEGE...
JUU: Gari hilo likiendelea kuundwa kwenye karakana ya Jeff. CHINI: Gari hilo la ajabu likiwa tayari kwa mashindano. KULIA: Jeff Bloch akiwa ndani ya gari lake hilo la ajabu.Unaweza tu kuiita...
View ArticleSASA MUME AWEZA KUMNASA KIBAO MKE MBELE YA KADHI...
Waislamu walipoandamana kushinikiza uwepo wa Mahalama ya Kadhi.Upungufu uliopo katika Mahakama ya Kadhi Zanzibar, umesababisha Serikali kuamua kuifanyia marekebisho sheria iliyoanzisha Mahakama...
View ArticleAUA MWANAE KWA RISASI WAKATI AKISAFISHA BUNDUKI SEBULENI...
Mtoto Christopher Stanlane Jr.Mtu mmoja wa North Carolina kwa bahati mbaya amempiga risasi na kumuua mtoto wake wa kiume mwenye miaka 10 wakati alipokuwa akisafisha bunduki yake kwenye sebule...
View ArticleHOSPITALI NA SHULE ZA KANISA KATOLIKI KUWABEBA MASIKINI...
Mwalimu katika moja ya shule zinazomilikiwa na Kanisa Katoliki akiwa darasani.Tabia ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ya kuwa ni mtu asiyetabirika kiutawala, na aliyejitambulisha...
View ArticleWASIOAMINI MATOKEO KIDATO CHA NNE 'WAKATWA MAINI'...
Mkurugenzi Mkuu wa NECTA, Dk Joyce Ndalichako.Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limeeleza kuwa mara nyingi ukataji rufaa na usahihishaji upya wa mitihani hiyo, matokeo yamekuwa hayabadiliki kutokana...
View ArticlePAPA AGOMEA IKULU, ALALA NA KULA VYUMBA VYA WAFANYAKZI...
Papa Francis I.Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ameendelea kuwa kiongozi wa matukio yanayopingana na watangulizi wake, ambapo sasa amekataa kuhamia katika makazi ya kifahari ya...
View ArticleWIFI YAKE WHITNEY HOUSTON ANUSURIKA KUJIUA...
Pat Houston.Wifi yake Whitney Houston, Pat Houston amenusurika kujiua ... ama wanandugu kadhaa walidhani pale walipopiga simu ya dharura -- baada ya kugundua kutokuelewana kwa kiasi kikubwa.Imebainika...
View ArticleMIPANGO YA DK MWAKYEMBE YAGONGA UKUTA...
Dk Harrison Mwakyembe.Utekelezaji wa mipango ya Wizara ya Uchukuzi, inayosimamiwa na Dk Harrison Mwakyembe, kwa mwaka huu wa fedha uliobakiza miezi mitatu kwisha, ni wazi umekwama.Wakati amebakiza muda...
View ArticleBABA WA GARY NA PHIL NEVILLE KORTINI KWA MADAI YA UBAKAJI...
Mzee Neville Neville (kushoto) akiwa na mwanae, Gary.Nyota wa soka Gary na Phil Neville wanasemekana walipatwa na mshituko mkubwa usiku wa juzi baada ya baba yao kukamatwa kwa madai ya shambulio la...
View ArticleMAHALI ATAKAPOZIKWA BILIONEA WA ARUSHA KUJULIKANA LEO...
Marehemu Nyaga Mawalla.Familia ya marehemu Nyaga Mawalla, inatarajia kutoa taarifa rasmi ya wapi maziko ya bilionea huyo kijana, yatafanyika.Mawalla alifariki wiki iliyopita nchini Kenya, katika...
View ArticleHATIMAYE MWIZI MZOEFU WA SIMU ZA MKONONI ATUPWA JELA MIEZI 20...
KUSHOTO: Calin-Lonel Rostas. KULIA: Rostas (aliyezungushiwa duara) akijiandaa kufanya wizi wake ndani ya mkahawa.Kibaka wa Romania ambaye aliwalaghai wateja wa mkahawa kwa kutumia vipande vya karatasi...
View ArticleLOWASSA AONYA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI...
Edward Lowassa.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Edward Lowassa amewatahadharisha wabunge wa Afrika Mashariki kuwa Watanzania hawatawaelewa iwapo vikao vya Bunge vitaendelea kufanyika nje...
View ArticleMWALIMU ADAIWA KUSHAWISHI WANAFUNZI WA KIKE WAMTUMIE PICHA ZAO ZA UTUPU...
Mwalimu wa zamani wa sekondari ya juu anatuhumiwa kuwashawishi wanafunzi wa kike wenye umri mdogo kumtumia picha zao wakiwa watupu na kwa kuwa na mahusiano na msichana mwnye miaka 17.Jon Erik Lilly...
View ArticleMBUNGE AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA NA KIHARUSI...
KUSHOTO: Marehemu Salim Hemed Khamis. KULIA: Baadhi ya wabunge na waandishi wa habari wakisaidia kumbeba Mbunge Salim mara baada ya kuanguka ghafla.Mbunge wa Chambani, Salim Hemed Khamis (CUF),...
View ArticleBILIONEA WA ARUSHA KUZIKWA KENYA KAMA ALIVYOAGIZA...
Nyaga Mawalla.Mgogoro wa maziko ya Wakili Nyaga Mawalla, umeingia katika sura mpya, baada ya wakili wake, Fatuma Karume, kutoa wosia wake ambao ameelekeza azikwe Kenya.Akizungumza jana jijini Arusha,...
View ArticleBABA AUA MTOTO WAKE NA KUMZIKA SEBULENI...
Kamanda Diwani Athumani.Mtoto Debora Riziki (3), mkazi wa kitongoji cha Iponjola katika Kijiji cha Isange wilayani Rungwe, ameuawa na kufukiwa katika shimo ndani ya nyumba ya baba yake mzazi. Baba yake...
View ArticleMZEE MANDELA YU TAABANI, WANANCHI WATAKIWA KUJIANDAA KWA LOLOTE...
Mzee Nelson Mandela.Hali ya Mzee Nelson Mandela ilibadilika na kuwa mbaya sana usiku wa kuamkia leo, kiasi cha kumchochea Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kulitaka taifa hilo kujiandaa kwa taarifa...
View Article