A MAN FACED USD 525 FINE FOR SODA REFILL
A man who faced a $525 fine for refilling an 89-cent drink at a Veterans Affairs hospital apparently will get off with a warning.When Christopher Lewis of North Charleston, S.C., refilled his drink...
View ArticleZIMBABWE'S MUGABE SLAMS EUROPE'S 'HOMOSEXUAL NONSENSE'
Zimbabwe's strong man ruler Robert Mugabe lashed out at Europe's "homosexual nonsense" and condemned the refusal of its leaders to accept his grip on power in his latest marathon tirade on Friday."The...
View ArticleArticle 21
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano) Samia Suluhu, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Muungano lililofanyika mjini Unguja...
View ArticleArticle 20
Wafanyakazi wa benki ya CBA wakigawa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo cha kulea watoto yatima cha Malaika Dar es Salaam jana kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka...
View ArticleArticle 19
Mabasi ya kampuni ya UDA yakiwa yameegeshwa kusubiria abiria wanaokwenda Kivukoni, Dar es Salaam.
View ArticleArticle 18
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar jana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa...
View ArticleWIMBI LA WAVUVI KUUAWA ZIWANI LATIKISA SENGEREMA
Kumekuwepo na wimbi la wavuvi kuvamiwa, kunyang'anywa mali zao na kuuawa na wahalifu katika Ziwa Victoria wilayani Sengerema.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo, amesema hali hiyo inatishia...
View ArticleTMA: MSIDHARAU TAARIFA ZA UTABIRI WA HALI YA HEWA
Watanzania wametakiwa kutodharau tafiti na taarifa, zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwani mabadiliko ya mara kwa mara ya hali ya hewa yanayotokea yanaweza kuleta madhara. Hayo...
View ArticleWAJUMBE UKAWA WAAPA HAWARUDI NG'O BUNGE LA KATIBA
Licha ya itikio la Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta la kuwa tayari kuzungumza na wajumbe wa bunge hilo wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wajumbe hao wametangaza...
View ArticleMKAZI WA SINZA AUNGUA MOTO USONI HADI MIGUUNI
Mkazi mmoja wa eneo la Sinza jijini Dar es Salaam, amejeruhiwa vibaya baada ya chumba chake kuteketea kwa moto uliozuka ghafla.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa...
View ArticleMICHE 500 YA KARAFUU YAPANDWA UNGUJA NA PEMBA
Zaidi ya miche ya karafuu 500,000 imepandwa Unguja na Pemba katika kipindi cha mvua za masika zinazoendelea nchini kote. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili, Dk Juma Abdallah alisema hayo...
View ArticleHOSPITALI YA TUMBI HAINA CT SCAN WALA X-RAY
Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani ya Tumbi, ina ukosefu wa vifaa vya kupimia magonjwa mbalimbali, vikiwemo CT Scan na X-Ray.Pia, hospitali hiyo iliyopo wilayani Kibaha, inakabiliwa na uhaba wa...
View ArticleABIRIA WA BODABODA APIGWA RISASI TABATA MATUMBI
Mtu mmoja ambaye hajafahamika, aliyekuwa amepakiwa kwenye pikipiki, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni.Abiria huyo ambaye jina lake halikupatikana, anadaiwa kupigwa risasi na askari wanaolinda Benki...
View ArticleSHULE IKO TAABANI, WALIMU WAISHI KWENYE DARASA
Shule ya Msingi Mwamashimba katika Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu Shinyanga, inakabiliwa na ukosefu wa vyoo, madawati na nyumba za walimu, hali inayosababisha baadhi ya walimu kuishi kwenye vyumba...
View ArticleAJALI ZAUA WATU SABA WILAYANI BUNDA
Watu saba wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali za barabarani na majini wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Kwa mujibu wa Polisi, ajali hizo ni za juzi na jana, ambapo ya kwanza ni ya gari ndogo...
View ArticleMVUA YABOMOA NYUMBA 300 RORYA
Nyumba 300 katika kata tano wilayani Rorya, zimeharibiwa na mvua iliyonyesha mwishoni mwa wiki.Sambamba na uharibifu huo, mvua hiyo pia imeharibu ekari 500 za mazao ya mahindi, mtama, muhogo na...
View ArticleNDEJEMBI ATAKA VIJANA NA WAZEE KUJIKITIKA KWENYE KILIMO
Wazee wastaafu na vijana wametakiwa kuelekeza nguvu kwenye sekta ya kilimo ili waweze kujiajiri wenyewe, kwani ndio ukombozi wa maisha.Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pancras Ndejembi...
View Article