Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4510 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadau kujadili nauli mabasi yaendayo haraka

Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wiki ijayo inakutana na wadau kujadili nauli zitakazotumika kwa mabasi yaendayo kasi.Kwa sasa kampuni ya UDA-RT inapendekeza nauli ya chini kuwa Sh...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waishauri serikali kufufua Nasaco

Jumuiya ya Mabaharia nchini (JMT), imeiomba serikali kufufua Shirika la Taifa la Wakala wa Meli Tanzania (Nasaco), ili kuwa na chombo cha kitaifa kitakachosimamia maslahi ya nchi kwenye sekta hiyo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YAANGAMIZA WANANE WA FAMILIA MOJA, YUKO IGP MSAIDIZI

Watu wanane akiwemo Msaidizi  wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Gerald Ryoba  pamoja na familia yake,  wamekufa maji baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATUHUMIWA KUBAKA NA KUMPA UJAUZITO DADA YAKE

Polisi mkoani Kagera, wanamshikilia mkazi wa wilaya ya Misenyi mwenye umri wa miaka 19 kwa tuhuma za kumbaka dada yake  mwenye umri wa miaka 15 (majina yanahifadhiwa) na kumpa ujauzito.Akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LAWAHALALISHA MAWAZIRI WA MAGUFULI

Mawaziri walioteuliwa na kuapishwa na Rais John Magufuli kabla ya kula kiapo cha ubunge, wanaruhusiwa kushiriki shughuli za Bunge kama wabunge wateule.Aidha, wateule hao wa rais hawalizuii Bunge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YAKOSESHA MAKAZI KAYA 2,857

Kaya 2,857 wilayani Kilosa zimekosa makazi kutokana na nyumba 379 kubomoka na nyingine 997 kuzingirwa na maji yaliyotokana na mafuriko yaliyokumba wilaya hiyo ya Mkoa wa Morogoro. Mafuriko hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAITOLEA NJE UDA NAULI MPYA MABASI YAENDAYO HARAKA

Serikali imekataa viwango vya nauli mpya vilivyopendekezwa na Kampuni ya Uda Rapid Transit (UDA-RT), itakayotoa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam.Pamoja na kukataa imeweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BURIANI AZAM FC, YATANDIKWA MABAO 3-0 NA ESPERANCE...

Wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC usiku wa kuamkia leo wameyaaga mashindano hayo baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa timu ya Esperance ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAAMBIE SIDANGANYIKI... DARAJA LA KIGAMBONI LIKO TANZANIA BHANA...

Daraja jipya la Kigamboni ambalo sasa litajulikana kama "Daraja la Nyerere" lililozinduliwa rasmi jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli, kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAWATOA KAMASI AL-AHLY KWAO, YAJIANDAA KUIVAA ESPERANCE...

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC imedhihirisha kwamba ni Bingwa wa Tanzania baada ya kukataa unyonge wa miaka mingi na kuibana vilivyo Al-Ahly ya Misri katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

8 THINGS YOU DIDN’T KNOW ABOUT SOUTH AFRICAN AIRWAYS

South African Airways (SAA) has been at the centre of a debate over the viability of state-owned enterprises in South Africa, with the national carrier struggling to run without making a loss. The...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIMU WA KIKE AKABILIWA NA KIFUNGO KWA KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE

Mwalimu Cox alipokuwa akitoka mahakamani.Mwalimu wa kike ambaye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16 ametahadharishwa kwamba anakabiliwa na adahabu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA MIEZI MITANO ANYOFOLEWA ‘KICHWA CHA PILI’ BAADA YA WAZAZI KURIDHIA...

Mtoto aliyekuwa na uvimbe unaoonekana kama kichwa cha pili amenusurika kifo katika upasuaji wenye hatari kubwa uliodumu kwa masaa sita kuondoa uvimbe huo mkubwa, ambao madaktari awali walisema hauwezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU RUBANI YAIBUA MAPYA NDEGE YA MISRI ILIYOANGUKA NA KUUA 66...

Utata kuhusu ajali ya ndege ya EgyptAir umeongezeka baada ya madai kwamba rubani wa ndege hiyo alitoa taarifa ya kuwapo moshi uliokuwa ukifuka kuashiria moto.Ilidaiwa mwanzo Mohamed Said Ali Ali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI ZA ZIRO SASA KIGANJANI MWAKO...

 KIMYA KINGI HAKIKA KINA MSHINDO MKUU...Baada ya muda mrefu, mchoraji wako Patrick Eusebio aka ANKO PATI amerejea kwa kishindo kukata kiu yako kwa kurejesha tena katuni yake maarufu ya ZIRO!Hii ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTU MCHAFU ZAIDI DUNIANI AFARIKI BAADA KUOGA

Amou Haji, mtu mchafu zaidi duniani amefariki dunia wiki iliyopita baada ya kuugua.Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA la Iran, Amou aliugua muda mfupi baadaye na kufariki siku ya Jumapili.Mtu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIRO na TINA...

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUAGA MIILI AJALI YA PRECISIONAIR

 Waziri Mkuu, Kassim Majal-iwa ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga miili ya watu 19 waliokufa katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision Air katika Ziwa Victoria mjini Bukoba mkoani Kagera...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA AKWAA MAMILIONI, AJIRA AJALI YA PRECISION AIR

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kijana mvuvi aliyesaidia kwa ujasiri kuokoa abiria waliopata ajali ya ndege ya Precision Air, Majaliwa Jackson kukabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...

View Article
Browsing all 4510 articles
Browse latest View live