WABUNGE WAOMBA WANAUME WAFUNGWE KIZAZI
Wabunge wametaka kuwepo na udhibiti wa ongezeko la watu nchini kwa kutaka wanaume wadhitibiwe katika uzazi, kama ilivyo kwa wanawake huku wengine wakitaka serikali kuboresha rasilimali bila kudhibiti...
View ArticleRUSHWA YATIMUA KAZI 400 MIZANI, MAGUFULI ASEMA HUO NI MWANZO TU
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuingilia kati suala la rushwa kwenye vituo vya mizani za kupimia uzito wa magari yanayosafirisha mizigo, akisema rushwa hiyo...
View ArticleITS ANYONE'S GAME AS AFCON 2015 QUARTERS KICKS OFF
After twenty-four matches, the group stages of the 2015 Africa Cup of Nations have come and gone. Equatorial Guinea have proved charitable hosts. Though the stadiums in Ebebiyin and Mongomo have been...
View ArticleHUDUMA YA MAJI YAREJEA DAR
Baada ya wakazi wa Dar es Salaam na Bagamoyo kukaa bila maji takribani siku nane, hatimaye baadhi ya maeneo yameanza kupata maji baada ya matengenezo yaliyokuwa yanafanyika kukamilika.Akizungumza na...
View ArticleDEREVA WA OCD MANYONI AJIUA KWA RISASI
Askari aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias...
View ArticleWABUNGE WAMKALIA KOONI WAZIRI NYALANDU AACHIE NGAZI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amebanwa bungeni huku baadhi ya wabunge wakimtaka ajiuzulu, kutokana na kile kilichoelezwa amesababisha Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA) na Mamlaka...
View ArticleWAFANYAKAZI 300 WADHURIKA MGODINI BULYANHULU
Wafanyakazi zaidi ya 300 wa mgodi wa dhababu wa Bulyanhulu wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wameachishwa kazi baada ya kupata madhara wakiwa kazini huku Bunge likieleza kwamba baadhi wako katika hali...
View ArticleELIMU HOLELA KATIBA MPYA MARUFUKU
Wakati nchi ikijiandaa kwa Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, asasi za kiraia na kijamii nchini zinazotaka kutoa huduma ya elimu ya uraia na ya mpiga kura kuhusu Katiba Inayopendekezwa,...
View ArticleMAJAJI WALIOTAJWA SAKATA LA ESCROW WACHUNGUZWA
Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman amesema Kamati ya Maadili ya Majaji imeanza kushughulikia tuhuma za kinidhamu na kimaadili dhidi ya majaji wawili wa Mahakama Kuu, waliotajwa kupata mgawo katika fedha...
View Article17 CELEBRITIES WHO WERE RAISED BY SINGLE MOTHERS
If you ever hear someone say that children from single-parent homes are at a disadvantage, you can prove them wrong by pointing to these stars — 17 celebrities who were raised by single mothers. 1....
View ArticleKUPE WAKUBWA WATUMIKA KUKABILIANA NA UKEKETAJI
Wanawake wa Kimasai wanaopinga suala la tohara kwa watoto wamegundua njia nyingine ya kukabiliana na ukeketaji kwa kutumia kupe wakubwa.Hayo yalielezwa katika warsha ya kujipanga kupokea mradi wa...
View ArticleFEDHA ZAKWAMISHA KUKAMILIKA MRADI WA DART
Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) unakabiliwa na changamoto ya kifedha katika ujenzi wa miundombinu, kutokana na ongezeko la mahitaji ya fedha za kuukamilisha. Bunge lilielezwa...
View ArticleKIPINDUPINDU CHAUA WATANO KIGOMA, 170 TAABANI
Mlipuko wa kipindupindu ulioukumba mkoa wa Kigoma, umesababisha vifo vya watu watano, huku wengine zaidi ya 170 wakilazwa hospitalini.Hayo yalithibitishwa mjini hapa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,...
View ArticleBEI YA MAFUTA YAZIDI KUPOROMOKA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.Mwezi...
View ArticleBUNGE LAMSHAMBULIA DPP KUKWAMISHA JUHUDI ZA TAKUKURU
Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) imetajwa kudhoofisha juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kutokana na ama kuchelewesha au kutokutoa vibali vya kufikisha...
View Article17 BIZARRE LAWS FROM AROUND THE WORLD
It’s already hard enough communicating with a concierge, cab driver or server in a country where you don’t speak the language. Imagine having to convince a police officer you’re innocent! Skip that...
View Article10 FASCINATING TRADITIONS TO HONOR THE DEAD AROUND THE WORLD
Every culture has unique customs to help honor the dead and grieve those who have passed. While many customs and traditions to honor the dead transcend geographic and cultural boundaries, the following...
View ArticleBUNGE LAPATA WENYEVITI WAPYA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepata wenyeviti wapya wawili wa Bunge watakaosaidia na Spika na Naibu Spika kuongoza vikao vya Bunge ambao ni Mbunge wa Viti Maalumu, Lediana Mng’ong’o...
View ArticleKIONGOZI WA WASABATO DUNIANI AJA
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikanisa ya siku nne.Taarifa iliyotolewa na kanisa hilo, jijini Dar es Salaam,...
View ArticleUANDIKISHAJI KIELEKTRONIKI KUHADILIWA NA BUNGE, SERIKALI
Bunge limeingilia kati mchakato wa uandikishaji wapigakura kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa kuamua kujadili kile kilichoelezwa kwamba tume imekiuka...
View Article